N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
sasa kama hao walinzi hawajahojiwa what necessitates dereva wa TL kuhojiwa by the way maelezo yameshatolewa na KUB kwamba dereva atarudi Tz na sio kwamba katoroka! kwanini hao askari walokuwa lindo wasihojiwe. ? na kwanini polisi Dodoma haisemi lolote kuhusu hao waliokuwa lindo? !Hujui kama walinzi waliokuwa kwenye lindo hawajahojiwa.
Lakini dereva, mwenye taarifa muhimu kuhusu kilichojiri wakati wa shambulio, amefichwa na CDM Nairobi.
Hii inaitwa OBSTRUCTION OF JUSTICE, na uongozi wa juu wa CDM wanaweza kuwa kwenye matatizo na vyombo vya sheria.