Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Hivi huwa sikii wananchi wanachukua hatua mkononi baada ya polisi kuwa wanaachia wahalifu muda mchache tu baada ya kuwa mikononi mwao?
Credibility ya taasisi ni muhimu sana,kama ni ya mashaka usitarajie ikaaminika.
Unaporipoti polisi unakuwa na evidence kiasi kwamba hata kitu kibaya kikitokea, km ilivyotokea kwa lissu, unakuwa on the safe side kwamba ulitoa taarifa kwenye vyombo husika. Kutaka watu wasiende kutoa taarifa polisi na badala yake waitishe press conference ni kaujuha ka aina fulani.
 
Unaelewa nini kuhusu intelijensia ya polisi?
Unajua nini kuhusu polisi kupata taarifa na kufhibit uhalifu?
Mtu anayetoa taarifa kwa siri na yule anayepaza sauti hadharani juu uhalifu unatarajia kuwezekana kufanyika wanatofauti gani?
 
Hivi wakuu serikali ya magufuli ina nini cha kunawa juu ya tukio la lissu?
Watajisafishaje?
Mtu akitenda jambo utamjua tu hakuna aliye juu ya mungu

Hivi magufuli na makonda mnajisafishaje?
Makonda ijumaa siku ya tukio ulikua wapi?
Kwanini alhamis usiku ulionekana dodoma hotelini ulikua unafanya shughuli gani?

Kwanini polisi wazuie watu kumuombea lissu?

Kwanini polisi wazuie raia kumchangia damu lissu kama kweli ww magufuli ulisikitika sana na haukuhusika baada ya kuona mkuu wa polis kakaa kimya kuhusu polis kuwazuia watu kumchangia lissu damu kwanini usitoe tamko kama amiri jeshi? Kwanini usihusike?
Una nini la kujisafisha nalo?
Matamko yako ya kusema
"ndugai wathibiti ndani mm nitapambana nao nje" unamaana gani kama siyo hilo?
Maneno kama ya kuwashughulikia bila huruma yanamaana gani kama hukuhusika?

Makonda unataka kusema huusiki?
Kwanini lissu alisharipot polis akiwa dar kwamba kuna watu wanamfatilia mbona polis mlikaa kimya kama hamjui?
Mtajisafishaje kuhusu sakata la lissu

Nije kwako mheshimiwa rais unajiita rais wa wanyonge hao wanyonge ni kina nani? Wanaishi wapi? Au ni watu wasiojulikana?
Kama kweli hamkuhusika ruhusuni uchunguzi wa kimataifa
Mkikataa uchunguzi wa kimataifa ujue hamtakua na la kujisafisha
 
Lisu anapigania maisha yake. Tunamwombea . Hali yake naona haijakaa sawa.
 
Lisu anapigania maisha yake. Tunamwombea . Hali yake naona haijakaa sawa.
Tumuombee apone hata kwa kutumia akili za kuvukia barabara unajua hao watu wasio julikana wakoje swali je Walinzi wa naibu spika walishindwaje hata kupiga risasi kwenye taili za gari la hao wasiotakiwa wajulikane je karibu hakuna CCTV
 
Inauma sana. Gentamycine anasema kwa mafumbo kuwa tujiandae kisaikolojia. Nimemuelewa ingawa hakuweka wazi.
 
Watu wasiojulikana walitoa hukumu ya Kifo kwa Tundu Antipas Lissu ili asiishi tena hapa duniani kwa sababu ya makosa aliyoyafanya - alistahili hukumu ya KIFO kwa sababu hakuna adhabu nyingine mbadala iliyo nafuu ambayo ingemfaa.

Watu wasiojulikana si tu waliona kwamba Lissu hastahili tena kuishi duniani kwa makosa aliyofanya bali pia hata Familia yake nayo isononeke daima kwa kukosa uwepo wake - Mke wa Lissu awe mjane na watoto wa Lissu waishi bila baba hapa duniani, wazazi na ndugu zake wa karibu wasimuone tena mpendwa wao, lazima afe tu.

Kisheria unaweza kuhukumiwa KIFO kama wewe ni Jambazi Sugu ama Gaidi sugu la kimataifa. Na hapo utahukumiwa kunyongwa hadi kufa ama kifungo cha maisha jela - sasa Kosa la Lissu ni kubwa zaidi ya haya mawili kwani alitakiwa kufa bila kusikilizwa kokote, bila kujitetea wala kusubiri aandike wosia ama neno moja kwa Mkewe ama watoto wake, hakutakiwa kabisa - afe kwa ghafla. Hati ya kifo chake ikapitishwa ili itekelezwe.

Yote haya watu wasiojulikana waliyatafakari kwa kina kabla ya kutoa HUKUMU YA KIFO kwa LISSU ila wakaona ni lazima binadamu huyu ayaonje mauti - tena auawe si kwa risasi moja ama mbili bali auawe hadi afe kwa idadi yoyote ile ya risasi. Kwa hiyo mtekelezaji yeye anaamua kuzimimina zaidi ya 38 ili ahakikishe huyu Mwanadamu habaki hata na chembe moja ya uhai - SMG siyo mchezo ni Bunduki ya kivita hii.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kawaida yeye ndiyo huidhinisha adhabu hizi kutimilika, mara nyingi huwa haingilii sana lakini kwa hili la Lissu akasema HAPANA. Kilichofanyika pale wakati wa zoezi la kuteketeza uhai wa Lissu ni siri kubwa, Je ni kipi kilimzuia Lissu asifungue mlango wake ili atoke na watesi wake wazimimine hizo risasi watakavyo?

Je ni kipi kilimpata huyo mfyatuaji wa Risasi hizo apate kitete na kulenga shabaha hata moja kati ya hizo 38 akiwa mita chache tu toka kwa mlengwa. je kuna kipi kilimzuia yeye kufika na kuchungulia ndani ya gari na kuhakikisha anammaliza kabisa Lissu?

Hapo ndugu zangu, ndipo uwezo wa mwanadamu kufikiri hufikia mwisho, na hata ukiwa mpagani basi unaanza kuamini uwepo wa Mwenyezi MUNGU muumbaji wa ulimwengu huu.

Mwenyezi Mungu aligoma kusign file la Lissu alilokuwa analetewa na Islaeli mtoa roho - akasema "NO". Lissu bado hajamaliza kazi yake niliyompa, lazima arudi aimalizie - file la Islaeli mtoa roho halikupokewa akaamriwa alirudishe duniani haraka, kwa hudhuni kubwa Islaeli akawakabidhi watesi wa Lissu hilo file la hukumu ya kifo.

Sasa tatizo linakuwa kubwa sana kwa wale watesi wa Lissu; maisha yao yanakuwa magumu mno kwa mawazo kwa mantiki kuwa uliyetaka awe kaburini yupo kitandani anauguza maumivu makali; majonzi yake yote yanakurudia, vilio vya wapendwa wake wanavyosikitika vinakurudia wewe, hilo linakupa mawazo makuwa mno na msongo wa mawazo; kila ulifanyalo unasikia sauti ya Lissu ikilalama wakati ule wa shambulio - sauti yaweza kusema (si hakika) " mnaniua kwa nini? kwa nini mnaniua kwa nini jamani, nikekosa nini mimi?" Sauti hii ndiyo inawasumbua wale wasiojulikana kila usiku na kila kukicha masikoni mwao.

Sasa wa ninyi mnaojifanya hamjulikani kwa MUNGU mnajulikana fika; adhabu yenu ya kifo imekataliwa (imetenguliwa) na Muumba wa mbingu na nchi, mna kazi ngumu ya kumwomba msamaha muumba wenu maana mmemkosea kwa kitendo cha kuamua kutoa roho ya mwanakondoo wake bila idhini yake. Sasa kwa ushauri tu mnaweza kupitia vitabu vitakatifu mkaona wale wenzenu waliomkosema Mwenyezi Mungu walifanya nini ili wasamehewe, hii ni adhabu kubwa kwenu na msipoangalia inaweza kuwatafuna kizazi hadi cha tano na sita. (Pitieni Biblia adhabu aliyopewa Kaini baada ya kumuua Abel mdogo wake)

Kwa sisi wengine tujue fika kwamba hakuna mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa mwenzake hapa duniani, kama unaona mwenzio amekukosea basi kuna Mahakama ambazo Mwenyezi Mungu anazitambua tangu enzi za kale; waweza mpeleka huko akahukumiwa wa mujibu wa sheria.

MUNGU Aligoma kupolea file la kifo akaamuru lirudishwe duniani kwani kazi aliyopewa bado hajaimaliza. ( Fikiri mara mbili ewe mwanadamu).
 
Nasoma huku natetemeka ahadi yangu ni kuua polisi wawili na viongozi wawili ngazi ya wilaya moja hapa tz mwaka hauishi. Time will tell
 
Nasoma huku natetemeka ahadi yangu ni kuua polisi wawili na viongozi wawili ngazi ya wilaya moja hapa tz mwaka hauishi. Time will tell
Nachukia yote yaliyotokea lakini hichi ulichosema nakipinga na naomba futa huu uzi kabisa, muombe Mungu akusaidie hiyo roho ikutoke, sio jambo jema kabisa na kamwe usiweke ahadi kama hizo. Hata huyo Lissu mwenyewe hawezi fikiria uovu wa jinsi hii.
 
Mungu ni wa ajabu daima tena hadhihakiwi na wanadamu elimu yake ni kubwa mno tofauti na hii ya wanadamu..wanaosema imposible yeye anaishi kwenye ulimwengu wa imposible kua posible..never and never underestimate the power of Jah..Jah guide, jah rule the earth and heaven..
Jah of right..never stay with wincked people
 
Nachukia yote yaliyotokea lakini hichi ulichosema nakipinga na naomba futa huu uzi kabisa, muombe Mungu akusaidie hiyo roho ikutoke, sio jambo jema kabisa na kamwe usiweke ahadi kama hizo. Hata huyo Lissu mwenyewe hawezi fikiria uovu wa jinsi hii.
mnaotetea hao wauwaji mtakipata mkifanyacho, chuki inayosambazwa na serikali ya magufuli inapanda kila leo ole wenu,
 
mnaotetea hao wauwaji mtakipata mkifanyacho, chuki inayosambazwa na serikali ya magufuli inapanda kila leo ole wenu,
Sijawahi kutetea wauaji lakini hakuna kosa kubwa kama kufikiria kuua mtu na Mungu kwenye sheria zake kasema USIUE, hao wamechagua njia mbaya na hukumu yao inawangoja wewe bado una nafasi ya kuchagua lililo jema, kamwe usitende uovu. Mungu ndie atalipa kisasi sio wewe.
 
Back
Top Bottom