Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
" (Oh Muhammad) wanakuuliza kuhusu habari za roho, waambie nyinyi elimu yake mnayo kidogo tu, Elimu yake iko Kwa Allah"- Qur'an tukufu
Hivi mambo ya Qur'an yametokea wapi hapa, na wapi ameuliza habari za roho hapo....?!?
 
Hapa nilipo kuna jamaa watatu wasomi wazuri tu wa chuo kikuu wanajaribu kudadavua tukio la lisu pamoja na mwenendo wa serikali aisee ni aibu sana

Ningekua na uwezo ningewarecord aisee ni aibu sana kuona wasomi wazur tu tena nahisi ni walimu wanajenga hoja kua serikali inausika na hili daaa

Tujifunze kutafakali mambo tena kwa kina,kila jambo linalotokea linasababu

Wasomi wetu wanaendeshwa na mitandao ya kijamii masikini na wanasiasa wameshajua kua sisi watanzania tunaudhaifu sana kutafakali ya kwenye mitandao

Wababa watu wazima kila siku kufatilia comments za mange kimambi hii ni aibu

Sana
Naliwe wa lumumba
 
Mbona thread iko huku??????

Biashara Uchumi na ujasiriamali?????

Si ya JUKWAA LA SIASA HII
 
Hapa nilipo kuna jamaa watatu wasomi wazuri tu wa chuo kikuu wanajaribu kudadavua tukio la lisu pamoja na mwenendo wa serikali aisee ni aibu sana

Ningekua na uwezo ningewarecord aisee ni aibu sana kuona wasomi wazur tu tena nahisi ni walimu wanajenga hoja kua serikali inausika na hili daaa

Tujifunze kutafakali mambo tena kwa kina,kila jambo linalotokea linasababu

Wasomi wetu wanaendeshwa na mitandao ya kijamii masikini na wanasiasa wameshajua kua sisi watanzania tunaudhaifu sana kutafakali ya kwenye mitandao

Wababa watu wazima kila siku kufatilia comments za mange kimambi hii ni aibu

Sana
Naliwe wa lumumba
hahaha na anayefikiria kinyume cha hilo hana akili kabisa mpaka watoto wa chekechea ukiweauliza wanajua juzi nilikuwa kwenye marathin kuna mabint wa darasa nadhani 5 wanaulizana hivi kutakuwa na magufuli day tutembee hivi waliishia kusema aka nani atembee hahaha nikawaza kwa sauti kuubwa kumbeeeeeeee okkk
 
Hapa nilipo kuna jamaa watatu wasomi wazuri tu wa chuo kikuu wanajaribu kudadavua tukio la lisu pamoja na mwenendo wa serikali aisee ni aibu sana

Ningekua na uwezo ningewarecord aisee ni aibu sana kuona wasomi wazur tu tena nahisi ni walimu wanajenga hoja kua serikali inausika na hili daaa

Tujifunze kutafakali mambo tena kwa kina,kila jambo linalotokea linasababu

Wasomi wetu wanaendeshwa na mitandao ya kijamii masikini na wanasiasa wameshajua kua sisi watanzania tunaudhaifu sana kutafakali ya kwenye mitandao

Wababa watu wazima kila siku kufatilia comments za mange kimambi hii ni aibu

Sana
Naliwe wa lumumba

Kwanza umeandika kishoga shoga wewe ni me au ke ??

Pili we unadhani nani anahusika

Mwisho pole sana kuzaliwa nchi ya wajinga
 
Unataka uwajue ili ufanye nini? Kazi ya polisi waachie polisi
 
Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.

Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
 
Back
Top Bottom