Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Mtumzima alifariki kwa na aibu huchutama sasa nyinyi badala vya kukaa kimya mnazidi kuanika taulo linalo wastiri.
 
Mbona simple sana hili, Serikali kupitia vyombo vyake vya usalama ifanye uchunguzi na mwisho ituambie nani mhusika kama ni Mbowe imtaje, imkamate na kumfungulia mashitaki. Kama pia serikali yetu inajiamini juu ya hili iitishe vyombo huru vya kiuchunguzi kama Scotland yard waje wachunguze na mwisho wa siku watupe majibu na tusilete siasa kwenye hayo majibu kifupi wahusika woote watiwe mkononi na kushitakiwa.
 
Kuna watu ni wajinga kiasi kwamba hawakukeri ila wanakuchekesha.

Msenge we
 
Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
Mimi sio Shabiki wa Mbowe wala CDM, lakini kwa hili hapana. Hebu tutende wema maana huku duniani tunapita. Ni imani yangu kuwa kama ile kitu ingepangwa na kuratibiwa na Mbowe, wahusika wote aikwemo Mbowe sasa hivi wangekuwa Quantanamo Bay ya Tanzania.
 
Naona leo WAPUMBAVU wa Buku 7 mmejipanga kupost kagazeti uchwala hako. Wewe naona kama wa 4 mnaanzisha uzi na kuweka kagazeti kenu hako. Wachukuliwe waandishi waeleze kina huyo Muhusika Mbowe ashikwe.
Kama mmemjua mhusika si akashikwe ili sheria ichukue mkondo?
Kwa hali hii nakubali Mbowe ni kipoko yenu nyote.

Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
 
Leo jf kuna nini aisee, kila dakika Mbowe mara Lissu

Huko lumumba kwenyewe siku hizi hata buku saba hampati, vyeo wanapewa wapinzani, ninyi mnasaga vidole tu, endeleeni hivyo hivyo
 
Basi serekali ya Ficm ni yaajabu,kwanini isichukue hatua dhidi ya huyu aliyetaka kumuua Lisu?
 
Back
Top Bottom