Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Kwa iyo mbowe ana uwezo wa kulizuia jeshi LA polisi lisifanye uchunguzi juu ya tukio hilo??
Haya mazuzu yanafikiri kwa kutumia kile kiungo alichosema Masaburi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa iyo mbowe ana uwezo wa kulizuia jeshi LA polisi lisifanye uchunguzi juu ya tukio hilo??
Nenda kwenye report ya CAG alafu utuletee hiyo page inaonyesha wizi wa 1.5trnMkuu ungeanza kumshauri yule mwizi wa tirion 1.5 ili tuamini kama hajaiba yy.
Hayo ya CCTV yamesemwa na huyohuyo mtuhumiwaHawa watu wa ajabu sana na akili yao ni ndogo sana bora wangenyamaza. Kwa hiyo waliondoa CCTV ili Mbowe asikamatwe? viazi kabisa
Mimi sio Shabiki wa Mbowe wala CDM, lakini kwa hili hapana. Hebu tutende wema maana huku duniani tunapita. Ni imani yangu kuwa kama ile kitu ingepangwa na kuratibiwa na Mbowe, wahusika wote aikwemo Mbowe sasa hivi wangekuwa Quantanamo Bay ya Tanzania.Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
Sasa kwa nini zisitumike kuwafichua waliotenda hayo makosa kama zipo, kwa kazi CCTV ni nini hasa.Hayo ya CCTV yamesemwa na huyohuyo mtuhumiwa
Habari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
mavi uharo newsHabari wanajamvi, nilikuwa sijui kama madaraka ni matamu kiasi hiki! Hakika laana ya mauaji inawakimbiza wengi CHADEMA.
Wakajisafishe kwa lipi?Jiwe na Bashite walishawahi kwenda mahakamani kujisafisha?