Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Mmeambiwa leteni Scotland Yard wachunguze mnagwaya. Halafu mnakuja na viswali vya kijinga hapa. Luna mjinga gani humu was kujibu uharo. Peleka Lumumba kwenye vilaza was aina yako
 
Nafsi zinawasuta tu nyie!

Una uhakika risasi zilipiga kwenye kiio tu?

Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?

Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?

Mkatubu nyie watu!!

Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!
Kwa nini kupoteza muda kumjibu mtu ambaye anajionyesha wazi ni kahaba mpumbavu?
Sorry, wakati mwingine hasira zinakuja kwa kasi tukikumbuka wiki mbili za hofu na mashaka pale Nairobi kila dakika tukitegemea kusikia lolote baya kutangazwa. Halafu majitu punguani yanaleta kebehi
 
Back wewe ni senior hapa JF majibu ya hovyo waachie watoto, we wawakee picha ya gali na mguu alioumia lisu itakuwa umejibu kitaalam zaidi na kikubwa
Tena huyo ndio mpumbavu kuliko wote pale chadema
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Lissu hakupigwa risasi,haya nenda kachukue Buku 7 zako lumumba.
 
Back wewe ni senior hapa JF majibu ya hovyo waachie watoto, we wawakee picha ya gali na mguu alioumia lisu itakuwa umejibu kitaalam zaidi na kikubwa
Hata Mugabe alikuwa akijibu watu wanaosema upumbavu makusudi ili kuuzi watu.
Hata kama alikuwa dikteta lakini atakumbukwa kwa majibu yake kwa wapuuzi
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
 
Yaani Polisi wawafuate Nnairobi …. ….. …..

Dreva anasema hakukuwa na ulinzi, Je, kwa nini alienda mahali ambapo sio salama wakati wanafuatiliwa?
 
..kwa nini watuhumiwa hawapelekwi mahakamani na kurudishwa mahabusu huku uchunguzi ukiendelea na vyombo vikisubiri TL arejee?

..mashekhe wa uamsho wako mahabusu wakisubiri uchunguzi ukamilike.

..Kabendera yuko mahabusu na amefishwa mahakamani kabla ya uchunguzi kukamilika.

..Nini kinaizuia serikali kuwafikisha mahakamani, na kuwahifadhi mahabusu mpaka pale TL atakaporudi na kukamilisha uchunguzi?

Cc Pascal Mayalla, Nguruvi3

Watuhumiwa ni akina nani? Ati wapelekwe mahakamani, Je, nyinyi mnawafahamu? Kwa nini hawawasemi hao waliofanya hayo majaribio?

Mashehe walio ndani si walikamatwa kwa kile walichokua wanakifanya.

Kabendera yuko ndani kwa sababu alikataa wito wa polisi na ameshitakiwa kwa kutakatisha pesa na kushindwa kulipa kodi.

Polisi haiwezi kukamata watu tu ili mradi kuwaridhisha wapinzani kwa ujinga wao.

Wacheni kulialia kama kasuku.
 
ukitaka ujute kuzaluwa,mzungumzie dereva wa Tundu lissu
Sijawahi kuona majuha kama wafuasi wa chadema
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Nilikua sijui kwamba kuna hadi wadada wapumbavu
 
Wewe demu angalia usijekosa mume.

Nani alikuambia Lissu aliendelea kukaa position ileile???

Risas ya kwanza pili paaaaaa

Dereva anavuta, unahisi sehem gan ya mwili ilikua Exposed???

Kama iyo haitoshi Madaktar tulijitahidi sana kuokoa maisha yake tumethibitisha kua alipigwa Risasi.

Ili nalo linaitaj Akili ya Waisrael??

NDO MAANA CCM INAONGOZA TU KWA MAWAZO KAMA HAYA
 
Tunajadili hapa kutokana na habari tunazozipata kwenye mitandao etc hakuna hata moja mwenye ushahidi kamili nini kilitokea. Hivyo basi tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Tundu Lisu na Adam Bakari waende wakatoe ushahidi wao. Hii habari ya kulikuwa na camera etc. inawezekana ni kweli na kama Polisi walichukua lazima itakuwa na vielelezo warudi nyumbani washirikiane na polisi huo ndio utamaduni wetu.
 
Kama kweli ameumia mguu wa kulia kweli inafikirisha kwani kwa magari yanayotumika Tanzania dereva hukaa upande wa kulia na anayemuendesha kushoto. Labda kama alikaa nyuma ya dereva, kama alikaaa mbele mhh
Lisu alilaza kiti akalala kifudi fudi huko kulala alisaidiwa na dereva wake mwenyewe ndo maana ya ile bond unayoiona Kati ya Lissu na dereva wake. Over
 
Back
Top Bottom