Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Queen Easter, zingatia elimu....elimu.....elimu......
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
 
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la SINGIDA MASHA LLLITUNDU hawajui maadui Zake , hili litamtesa sana atakumbuka shuka kumekucha ashapoteza Ubunge atabaki kut
Wanasiasa hawa wanajuana mkuu. Ukiwafuatilia sana utaumiza kichwa bure. Cha muhimu tu ni kwamba Tundu Lissu hakufa siku ile. Ni mwanasiasa aliyekomaa na mengine atajua mwenyewe jinsi ya kuendelea. Tumshukuru Mungu kwa uzima wake na tuendelee kumuombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nasema "alietaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.

Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.

Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio hili la kipekee kwa mbunge (sijui kama kulikwishatokea shambulio jingine kama hili), hapa Tanzania.

Yafuatayo ni malumbano ya kifikra ndani ya nafsi yangu kuwa ni nani hawa waliotaka Tundu Lissu afe. Maoni yako yanahusika, tafadhal.

Nimefikiria wahusika katika dhana 4. Nitazichambua hizi dhana moja moja.

Dhana zenyewe ni hizi. Washambuliaji ni:

1. Vichaa fulani tu. (Random act)

2. Raia wenye chuki na Lissu kwa kuikalia kooni serikali.

3. Serikali yenyewe

4. Watu wenye chuki na serikali (false-flag attack) ili waisingizie serikali uovu huu.

1. Vichaa fulani tu. (Random act)
Hii inawezekana lakini inakinzana na taarifa za kuwa Lissu alikuwa anafuatiliwa na magari kwa kipindi kirefu. Huu mpango ulisukwa na pia walijua wanaemtaka hadi kumfuata mpaka nyumbani kwake. Sidhani hii ilikuwa ni Random Act. Dhana hii ni potofu.

Hii inawezekana kabisa. Wengi walimshutumu Lissu kwa kupinga sera zote za serikali (mimi nikiwa mmojawao). Kuna watu walikwenda mbali zaidi na kusema wanataka serikali iwaruhusu wamuue. Ndio maana kuna umuhimu wa kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watu hawa.

Katika demokrasia watu tunashambuliana vikali kwa hoja na sio kwa kuumizana au kuuana. Kama hii itathibitika, basi kuna umuhimu wa kuwapatia ulinzi wanasiasa machachari wanaoibua hisia kali.

Kuna uwezekano mkubwa dhana hii ni sahihi.

3. Serikali yenyewe
Kuna watu mitandaoni wanadhani ni serikali yenyewe ndio imeunda hii mbinu ya kumuua Lissu ili awaondolee kelele. Wengi wanasema Lissu amefichua siri nyingi za serikali kufikia kuwa tishio kwa hii serikali.

Kwa maoni yangu huu ni upuuzi. Serikali hii inakubaliwa na watanzania wengi. Hoja karibuni zote alizotoa Lissu dhidi ya serikali zinaweza kujibiwa kirahisi sana. In fact, baadhi ya shutuma za Lissu zinaipaisha serikali kwa Watanzania. Kelele za Lissu zinaweza kuwa baraka (blessing) kwa CCM ifikapo 2020. Kumuua Lissu kutajenga hisia za uonevu na kuwaonea huruma CDM ifikapo uchaguzi mkuu. Serikali haiwezi kufanya kosa hilo.

Kwa hiyo dhana hii ni potofu

Hii dhana inahusisha watu wanaoichukia serikali (sio lazima wapinzani, inaweza kuwa watu wa nje) wanaotaka kumuondoa Rais Magufuli madarakani ifikapo 2020 kwa kuihusisha serikali yake na mauaji ya Lissu.

Serikali ya Magufuli imeathiri maslahi ya watu wengi sana wa ndani na wa nje. Akiendelea hivi hivi ana uhakika kabisa wa kupita ifikapo 2020. Sasa utaitoaje hii serikali madarakani ifikapo 2020. Jenga chuki kwayo.

Kama nilivyoeleza kwenye dhana namba 3, watu wakiamini kuwa serikali imemuua Lissu kinyama basi watawaonea huruma CDM na kuichukia CCM. CDM watachukua dola ifikapo 2020.

Je ni nani hawa wanaotaka kufanya unyama kama huu na kuisingizia serikali ya CCM (false-flag attack)?

Nina dhana nyingine 2 au 3 hivi (mfano, internal politics within CDM) lakini ni za pembeni sana na uwezekano wake ni karibu na sifuri. Kwa sasa hayo ndio malumbano yanayoendelea kichwani mwangu.

Please tell me I am not crazy.

==============================
Baada ya michango mingi iliyowekwa hapa kuna dhana niliyoigusia tu (Internal politics within CHADEMA) na wengi kuuliza kwa nini sikuifafanua. Hapa chini naiongeza ingawaje mwanzoni sikuipa kipaumbele.

Dhana ya 5.
Maadui wa ndani wa CHADEMA walitaka kumuua Lissu ili watimize malengo 3 yafuatayo.

1. Lissu aondoe ushindani katika uchaguzi ujao wa Uenyekiti.

2. Lissu aondoe ushindani katika uteuzi ujao wa mgombea urais ifikapo 2020.

3. Lissu atumiwe kama kafara ili kuipa CHADEMA mvuto na kuonewa huruma na kuichukia serikali katika uchaguzi wa 2020.

Hizi Propaganda bado zina nguvu tena katika ulimwengu huu ambao teknolojia imekua kwa kiwango kikubwa sana?
 
Lisu alilaza kiti akalala kifudi fudi huko kulala alisaidiwa na dereva wake mwenyewe ndo maana ya ile bond unayoiona Kati ya Lissu na dereva wake. Over
Kwa maelezo yako naweza kuelewa ishu ikoje, big up mkuu umejibu kistaarab na imeeeleweka.
 
**** nyoko mpuuzi wewe,unaleta hoja za kijinga kijinga tu,mtu kaumizwa na unahoji ujinga,kawaulize wajinga wenzio huo ujinga wako
Achana na huyo fala unapoteza mda Kuna watu wazima wazito KABSA hawakupendezwa na jinsi zero brain mmoja alivyokuwa ameigeuza idara nyeti kuwa Kama kijiwe chake,mpaka kukawa na mgawanyiko wa idara ndani ya idara na hao idara wazalendo wamekuwa wakitoa taarifa nyingi tu. Anachotewa na hela anaenda na vijana wa idara mpaka Marekani kufanya kazi za idara wakati yeye ni zero brain fafafafa( in gwajima's voice)
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Mbona hushangai kupigwa nchini na ukavimba juu
 
Unatembea na shetani gizani mwake. Ni hilo tu kama ulikua hujui
 
Nafsi zinawasuta tu nyie!

Una uhakika risasi zilipiga kwenye kioo tu?

Huoni risasi nyingi zilipungua nguvu kwa kupiga mlango kwanza?

Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?

Mkatubu nyie watu!!

Kwanza hata kukujibu tunakosea,tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unaujua ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda za kijinga na kipuuzi!!
Hivi kulala kifudifudi aliambiwa na wale waliomshambulia, kwamba alale kifudifudi akisha lala ndo wataanza kumshambulia? Maana kama si hivyo waliwezaje kuushambulia mguu huo sana kuliko mahali pengine?
 
zilipiga kioo!!!, hiyo picha uliwezaje kuona zilipiga upande wa kulia?!? maana kioo lazima kivunjike na kusambaa kikiminiwa risasi hata 5tu, inawezekana kabisa alilaza kiti na akalalia ubavu. Acha polisi wafanye uchunguzi.
 
Yaani Polisi wawafuate Nnairobi …. ….. …..

Dreva anasema hakukuwa na ulinzi, Je, kwa nini alienda mahali ambapo sio salama wakati wanafuatiliwa?
Kiazi wewe!
 
ukitaka ujute kuzaluwa,mzungumzie dereva wa Tundu lissu
Sijawahi kuona majuha kama wafuasi wa chadema
Badala ya kuwaona majuha halisi wewe unaona vilivyo bora kuwa ndio ujuha. Jibu ni kuwa wewe pia utakuwa juha kama hawa wenzako
mwananchi_official___B2EueBFhTDO___.jpeg
 
Back
Top Bottom