Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Sababu namba 4 ikaboreshwa na sababu namba 3. Ukapangwa mchezo mmoja saafi
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Habari wana Jf ,Hivi kati ya hawa watano tukiachana na story za kufikirika na za vijiweni ni nani hasa alihusika na shambulio la Tundu lissu ?

Binafsi nimemuelewa Tundu Lissu hataki kurudi nchini inawezekana kabisa hajui adui yake halisi ni nani

sasa kati ya hawa mwenye maelezo ya kutosha amtoe wasi wasi Tundu lissu ili arudi Tanzania :-
1.Vibaka au Majambazi kwa Ajili ya kutaka Mali

2.Serikali ya Awamu ya tano ikiongozwa na Hayati JPM kwa ajiri ya faida za kisiasa au Maendeleo ya Nchi kwamba alikuwa kikwazo

3.CHADEMA ili kuchafua serikali kwa faida ya kisiasa au migogoro Chamani

4.WanaCCM wasio kuwa wanapenda kinachoendelea Awamu ya Tano na Uongozi wa JPM

5.Wengineyo ,kama kwa ajiri ya wivu wa kimapenzi na n.k

Ni nani hasa ? Ujue kwenye Siasa kuna mambo mengi unaweza aminishwa kitu kumbe ni Propaganda tu .
Usihangaike number 2 hapo iko wazi kwa ushahidi wa kimazingira na mwingine:
  • Hivi amiri jeshi mkuu anasema wasaliti wanajeshi mnajua jinsi ya kudeal nao na kumalizia "he does not deserve to live". Ulitegemea ni nani alihusika?
  • Hivi matibabu ambayo ni haki yake unamsikia Spika anasema kuwa "rais amekataa kusaini fedha za matibabu" ulitegemea ni nani alihusika?
  • Hivi haki za kibunge kunyimwa kwa amri ya amiri jeshi mkuu! Ulitegemea nani alihusika na mauaji?
  • Hivi wabunge na mawaziri kupigwa marufuku kumtembelea mwenzao hospitali - Ulitegemea ni nani alihusika na mauaji?
  • Hivi watu kunyimwa kumchangia damu na hata kuvaa Tshirt za TL: Ulitegemea ni nani alihusika na mauaji?
  • Hivi Kukataa kufanya uchunguzi na kufanya vigisu za kuficha ushahidi kama vile kuondoa camera zilizochukua tukio! Kuondoa walinzi wakati wa tukio! Ni nani alihusika na attempted assassination?
Usituletee tena stori za oh Chadema, oh Vibaka; oh UVCCM.
Wauaji wapo waliokuwa waajiriwa wa Mwendakuzimu.
Wapo wanafuatilia hata uzi huu.
In the meantime let us pray justice for TL and while that devil is rotting and roasting in hell fire.
Hivi yako mangapi ambayo ulitegemea kwa kiongozi mkuu wa serikali?
 
ushahidi wa maneno ambayo hayataji hata jina la Mtu hauna maana
 
Wewe unafikiri kwann Lissu huwa anakuwa mzito kupokea simu za mwenyekiti wake? ,Namba 3
 
Habari wana Jf ,Hivi kati ya hawa watano tukiachana na story za kufikirika na za vijiweni ni nani hasa alihusika na shambulio la Tundu lissu ?

Binafsi nimemuelewa Tundu Lissu hataki kurudi nchini inawezekana kabisa hajui adui yake halisi ni nani

sasa kati ya hawa mwenye maelezo ya kutosha amtoe wasi wasi Tundu lissu ili arudi Tanzania :-
1.Vibaka au Majambazi kwa Ajili ya kutaka Mali

2.Serikali ya Awamu ya tano ikiongozwa na Hayati JPM kwa ajiri ya faida za kisiasa au Maendeleo ya Nchi kwamba alikuwa kikwazo

3.CHADEMA ili kuchafua serikali kwa faida ya kisiasa au migogoro Chamani

4.WanaCCM wasio kuwa wanapenda kinachoendelea Awamu ya Tano na Uongozi wa JPM

5.Wengineyo ,kama kwa ajiri ya wivu wa kimapenzi na n.k

Ni nani hasa ? Ujue kwenye Siasa kuna mambo mengi unaweza aminishwa kitu kumbe ni Propaganda tu .

acha kuzunguka mbuyu, jibu unalo. lipo kwenye namba mbili na alifanya hivyo kwa maslahi binafsi anayoyajua yeye.

huwezi kudhamiria kuondoa uhai wa raia mwenzango kwa kisingizio cha maendeleo ya nchi au sababu yoyote iwayo.

yule alikuwa na roho kikatili sana.
 
Mi naona ikikuwa kiini macho tindo lusu hakupigwa risasi ni urongo!
 
Usihangaike number 2 hapo iko wazi kwa ushahidi wa kimazingira na mwingine:
  • Hivi amiri jeshi mkuu anasema wasaliti wanajeshi mnajua jinsi ya kudeal nao na kumalizia "he does not deserve to live". Ulitegemea ni nani alihusika?
  • Hivi matibabu ambayo ni haki yake unamsikia Spika anasema kuwa "rais amekataa kusaini fedha za matibabu" ulitegemea ni nani alihusika?
  • Hivi haki za kibunge kunyimwa kwa amri ya amiri jeshi mkuu! Ulitegemea nani alihusika na mauaji?
  • Hivi wabunge na mawaziri kupigwa marufuku kumtembelea mwenzao hospitali - Ulitegemea ni nani alihusika na mauaji?
  • Hivi watu kunyimwa kumchangia damu na hata kuvaa Tshirt za TL: Ulitegemea ni nani alihusika na mauaji?
  • Hivi Kukataa kufanya uchunguzi na kufanya vigisu za kuficha ushahidi kama vile kuondoa camera zilizochukua tukio! Kuondoa walinzi wakati wa tukio! Ni nani alihusika na attempted assassination?
Usituletee tena stori za oh Chadema, oh Vibaka; oh UVCCM.
Wauaji wapo waliokuwa waajiriwa wa Mwendakuzimu.
Wapo wanafuatilia hata uzi huu.
In the meantime let us pray justice for TL and while that devil is rotting and roasting in hell fire.
Hivi yako mangapi ambayo ulitegemea kwa kiongozi mkuu wa serikali?
Magufuri alikuwa ni shetani kwenye sura ya mwanadamu.

Kifo chake kimeokoa taifa. Hebu fikiria asingekufa leo hii tungekuwaje kama taifa?

Tumshukuru mungu
 
Usihangaike number 2 hapo iko wazi kwa ushahidi wa kimazingira na mwingine:
  • Hivi amiri jeshi mkuu anasema wasaliti wanajeshi mnajua jinsi ya kudeal nao na kumalizia "he does not deserve to live". Ulitegemea ni nani alihusika?
  • Hivi matibabu ambayo ni haki yake unamsikia Spika anasema kuwa "rais amekataa kusaini fedha za matibabu" ulitegemea ni nani alihusika?
  • Hivi haki za kibunge kunyimwa kwa amri ya amiri jeshi mkuu! Ulitegemea nani alihusika na mauaji?
  • Hivi wabunge na mawaziri kupigwa marufuku kumtembelea mwenzao hospitali - Ulitegemea ni nani alihusika na mauaji?
  • Hivi watu kunyimwa kumchangia damu na hata kuvaa Tshirt za TL: Ulitegemea ni nani alihusika na mauaji?
  • Hivi Kukataa kufanya uchunguzi na kufanya vigisu za kuficha ushahidi kama vile kuondoa camera zilizochukua tukio! Kuondoa walinzi wakati wa tukio! Ni nani alihusika na attempted assassination?
Usituletee tena stori za oh Chadema, oh Vibaka; oh UVCCM.
Wauaji wapo waliokuwa waajiriwa wa Mwendakuzimu.
Wapo wanafuatilia hata uzi huu.
In the meantime let us pray justice for TL and while that devil is rotting and roasting in hell fire.
Hivi yako mangapi ambayo ulitegemea kwa kiongozi mkuu wa serikali?
Very complicated. Bado huu ni ushahidi wa dhahania na endapo ingefanya haya uliyoyataja! Nani ungemuona mhusika wa tukio?
 
Back
Top Bottom