Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika.
Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto wachache.
Sasa najiuliza, huyu aliyeleta hiyo formula ni nani na alikuwa na malengo yapi; au tunaiga tu?