Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wewe fyatuwa tu hujakatazwa uongeze idadi ya panya road mitaani.Kumekuwa na tatizo la watu kutozaa watoto wengi kama zamani; kisingizio kikiwa ni ugumu wa maisha au kuonyesha kuwa wamestaarabika.
Hii imepelekea baadhi ya wazee wengi kuishi pekee yao, pamoja na kuwaongezea misongo ya mawazo; ikiwa ni pamoja na kujutia kwa nini katika ujana wao walizaa watoto wachache.
Sasa najiuliza, huyu aliyeleta hiyo formula ni nani na alikuwa na malengo yapi; au tunaiga tu?
Kanunue [emoji1636] kwa mangi siji kulipaWewe fyatuwa tu hujakatazwa uongeze idadi ya panya road mitaani.
Ya nini ujaza msururu wa Watoto uje kuwatesa duniani ilihali wewe mwenyewe tu tia maji tia maji.
Zamani jukumu la malezi ya mtoto lilikuwa la serikali, tulisoma bure na ilikuwa ni fahari ukifaulu darasa la saba kuanza secondary school ya serikali, ilikuwa ni heshima na fahari kubwa ila Kwa Sasa ni kinyume chake.
Madame Salamba upo?mkuu wewe umeifata hio formula?? ni mapendekezo tu, sasa hivi hali halisi yamaisha ni ngumu, hivo kujizalia bila kupangilia ni kuzidi kujididimiza kwenye shimo usilojua urefu wake, ni heri uzae watoto ambao wanaendana na kipato chako na sio kufata mkumbo et wazee kua wapweke kisa tumezaa watoto kidogo ndio ujizalie tu kuja kuwaliwaza hao wazee
watoto wanahitaji basic needs fikiria tu kwa uwezo wako utaweza kuwapatia mahitaj yao wakiwa kumi au sita?? mimi naunga mkono kupanga uzazi kutokana na kipato chako
Nipo naona umebadili jina jamani nisingekukumbuka kama sio hilo jinaMadame Salamba upo?
Ndani pako wazi au umefunga na kufuli? Naomba nikusalimie nikiwa ndani.nipo naona umebadili jina jamani nisingekukumbuka kama sio hilo jina
Hakikamkuu wewe umeifata hio formula?? ni mapendekezo tu, sasa hivi hali halisi yamaisha ni ngumu, hivo kujizalia bila kupangilia ni kuzidi kujididimiza kwenye shimo usilojua urefu wake, ni heri uzae watoto ambao wanaendana na kipato chako na sio kufata mkumbo et wazee kua wapweke kisa tumezaa watoto kidogo ndio ujizalie tu kuja kuwaliwaza hao wazee
watoto wanahitaji basic needs fikiria tu kwa uwezo wako utaweza kuwapatia mahitaj yao wakiwa kumi au sita?? mimi naunga mkono kupanga uzazi kutokana na kipato chako
kuna kufuli halaf sjui ufunguo nimeutupa wapiNdani pako wazi au umefunga na kufuli? Naomba nikusalimie nikiwa ndani.
Kisingizio hakiwezi kuwa gharama za malezi; mashamba/mapori yapo, shule za serikali msingi/sekondari zipo, vyuo vya serikali vipo, hospitali zipo; mi naona lawama zote ziende kwa wazazi tuWewe fyatuwa tu hujakatazwa uongeze idadi ya panya road mitaani.
Ya nini ujaza msururu wa Watoto uje kuwatesa duniani ilihali wewe mwenyewe tu tia maji tia maji.
Zamani jukumu la malezi ya mtoto lilikuwa la serikali, tulisoma bure na ilikuwa ni fahari ukifaulu darasa la saba kuanza secondary school ya serikali, ilikuwa ni heshima na fahari kubwa ila Kwa Sasa ni kinyume chake.
Mfano umezaa mtoto mmoja, akanyakuliwa mbinguni, hapo itakuwaje?mkuu wewe umeifata hio formula?? ni mapendekezo tu, sasa hivi hali halisi yamaisha ni ngumu, hivo kujizalia bila kupangilia ni kuzidi kujididimiza kwenye shimo usilojua urefu wake, ni heri uzae watoto ambao wanaendana na kipato chako na sio kufata mkumbo et wazee kua wapweke kisa tumezaa watoto kidogo ndio ujizalie tu kuja kuwaliwaza hao wazee
watoto wanahitaji basic needs fikiria tu kwa uwezo wako utaweza kuwapatia mahitaj yao wakiwa kumi au sita?? mimi naunga mkono kupanga uzazi kutokana na kipato chako
Huo sio uzalendo, taifa lolote linahitaji watuUnawaleta duniani wafanye nn,wewe mwenyewe inakuliza then bado unataka na wanao nao wateseke
VizuriHuo sio uzalendo, taifa lolote linahitaji watu
Mbona hatujaona wanaojenga viwanda vya magari, ndege au uchimbaji wa mafuta?; hoja yako haina mashiko.Maskini anazaa sana tajiri azai sana SABABU maskini anawaza sana NGONO tajiri anawaza Sanq pesa
Safari ya kwenda wapi mkuu?; wanaopigana Urusi/Ukraine ni watu, bila watu hakuna kitu.Dah..kwa akili hIzi bado tuna safari ndefu sana[emoji144]