Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

Achilia mbali kufariki unawezakua na watoto 10 na wasikufae chochote uzeeni yaani watoto 10 wakashindwa kuwafanyia ihsani nyie wawili uzeeni ukawa hauna tofauti na mgumba, mifano mingi tunaiona kwenye jamii
Kuacha kizazi chako kuna umuhimu mkubwa sana kiafrika; tatizo tunawasikiliza hawa watu weupe, na mbaya zaidi wanaongeza kasi ya kuwafanya wanaume wawe wanawake.
 
Alikuwepo mshenzi mmoja wa kuitwa Thomas Malthus aliwaambia wenzie kuwa watu wakiendelea kuzaliana itafika miaka chakula kutakuwa hakitoshi

Kwahiyo lazima wapunguze watoto wa kuzaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…