Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?
Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia
Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022
Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia
Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?
Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako