Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.

Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022

Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Labda wamesahau kubadilisha na muda si mrefu wataiondoa tu.
 
Siyo yeye! Ni yule alotoka BBC Swahili
 
WD uwa wanachelewa kutoa updates, unaposoma data angalia tarehe ya mwisho.

Sometimes it can take up to one to three month for them to update things.

Mama anawandaa kisaikolojia tu yeye keshapata hizo habari siku za hivi karibuni.
WD (world dunia !? [emoji1]) = WB (world bank).
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.

Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022

Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Umesoma hizo sources zako ndio, umejiridhisha kuwa zime-be up-dated kwa siku hizi 2 au?? Rais ni mkuu wa nchi ana zote taarifa muhimu. Ungesubiri maximum miezi 3 kusoma sources zako ndio ulete mrejesho humu sio mapema hivyo. Acha kupiga ramli chonganishi.
 
Mkuu nadhani umetetea jambo ambalo pengine hukusikia, raisi amesema tuliondolewa ikiwa na namna tumeshatolewa lakini kiuhalisia bado.

Kwa status ya Sasa bado tupo, ikiwa tutatolewa huko baadae WB watatoa statement
[emoji106][emoji106]
 
Umesoma hizo sources zako ndio, umejiridhisha kuwa zime-be up-dated kwa siku hizi 2 au?? Rais ni mkuu wa nchi ana zote taarifa muhimu. Ungesubiri maximum miezi 3 kusoma sources zako ndio ulete mrejesho humu sio mapema hivyo. Acha kupiga ramli chonganishi.

Mwezi wa 11 mwaka Jana Rais huyu huyu alituambia tumeingia uchumi wa kati tutakosa mikopo, ni miezi kama 6 au 7 Sasa na si uchumi wa kati kulingana na Taarifa za Rais maana yake uchumi wetu ulikuwa kwa negative, mwezi huu nadhani TRA imetangaza kuwa tumekusanya sana kuliko wakati wowote ule, so Huoni Kuna contradictions?
 
Taarifa aliyotoa ni ya kidunia na si ya mtu mmoja, labda kama atadumaza maendeleo ya Nchi, ila mimi nimeshare taarifa ya muda huu ya Benki ya Dunia, inaonesha Tanzania Kundi ililokuwepo 2020 ndio ililopo sasa

uongo 2020 tulikuwa juu alipoingia samia tukashuka
 
Huyu sasa ameambiwa ili afike anakotamani kufika” kuwa rais awamu inayokuja” aponde ya mtangulizi wake. Hii tabia imeanza kumkaa chui jike
Mtangulizi ilikua Tabia yake kuu,yaani alituaminisha barabara na hospitali kajenga yeye,waliopotea walikua wajinga,na bila yeye hakuna kitachofanyika,unadhani wastaafu walipenda!!
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.

Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022

Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Hao waliomudanganya kwamba tulishatolewa kwenye orodha ya lower middle income countries wanapaswa kutumbuliwa na kufumuliwa. Hawatutakii mema. Hadi 1st July 2021 nchi yetu bado World Bank inatutambua kama lower middle income country. Orodha ya mwaka huu wa 2022 bado kwani huwa zinatolewa tarehe 1 Julai ya mwaka uliopita.

Nov 2021 akiwa Bugando tulikuwa uchumi wa kati April akiwa Dodoma tumeshatolewa

Sababu za kushuka na kupanda zinaweza kuwa ni nyingi ila kubwa ni kasi ya ukuaji wa uchumi na per capita

Kama tumeshuka hiyo inamaanisha kumekuwa na maendeleo hasi ya sababu tajwa hapo juu

Kuna wahuni wanapotosha kwa makusudi au kwa kutokujua tuache propaganda anayefanya hizo ranking sio serikali yetu yoyote iwe ya Bi Samia au Mr. Magufuli
 
Mwezi wa 11 mwaka Jana Rais huyu huyu alituambia tumeingia uchumi wa kati tutakosa mikopo, ni miezi kama 6 au 7 Sasa na si uchumi wa kati kulingana na Taarifa za Rais maana yake uchumi wetu ulikuwa kwa negative, mwezi huu nadhani TRA imetangaza kuwa tumekusanya sana kuliko wakati wowote ule, so Huoni Kuna contradictions?
Hapa ndo sijaelewa kabisaa yaani rate yetu ya ukuaji wauchumi imeshuka ila makusanyo ya kodi yameongezeka kwa rate kubwa sanaa hapa sijui ndo kusemaje kwa mujibu wa wachumi!!
 
si memsema nchi imefunguliwa na tunaupiga mwingi vipi sasa ishuke? ina maana badala ya kupanda ndio tunashuka?
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.

Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022

Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
She is just a woman! Very weak indeed! The msoga family is driving her to the fullest!! This can't be repeated any longer.
 
Hapa ndo sijaelewa kabisaa yaani rate yetu ya ukuaji wauchumi imeshuka ila makusanyo ya kodi yameongezeka kwa rate kubwa sanaa hapa sijui ndo kusemaje kwa mujibu wa wachumi!!
Yaani mama alipaswa awe Rais kwa nafais yake, ila bahati mbaya inawezakana anajisikia vibaya anaposikiaa Watanzania wanasema hamna kitu ukilinganisha na matangulizi wake basi inabidi Ashindane nae...

Pia kwa Standards za Urais hata bashungwa ni Mzuri kuliko Samia, hili ndio linamuumiza sana.
 
Screenshot_20220407-194508~2.jpg

CCM msikubali Mwenyekiti wenu haonekane hajui anachofanya
 
Back
Top Bottom