Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

WD uwa wanachelewa kutoa updates, unaposoma data angalia tarehe ya mwisho.

Sometimes it can take up to one to three month for them to update things.

Mama anawandaa kisaikolojia tu yeye keshapata hizo habari siku za hivi karibuni.
Mkuu nadhani umetetea jambo ambalo pengine hukusikia, raisi amesema tuliondolewa ikiwa na namna tumeshatolewa lakini kiuhalisia bado.

Kwa status ya Sasa bado tupo, ikiwa tutatolewa huko baadae WB watatoa statement
 
Tatizo ni mlioenda moja kwa moja kuanzia Nursey hadi PhD kwa ma first class hamna confidence…

Mtaani hawahitaji vyeti vyako…wanahitaji uwathibitishie unajua…Mwakyembe aliulizwa maswali na mtu wa darasa la nne akaanza kejeli na kebehi wakati watu walitaka kujua wana Kyela wamepata faida gani kuwa na Mbunge mwenye PhD tofauti na Mbeya mjini waliokuwa na Mbunge alieishia Form two Sugu

Badala ya kujibu swali akaanza kuorodhesha shahada anazomiliki na kejeli kuwa unachonishinda ni kujua mfuko wako wa suruali una shilingi ngapi sio jambo lingine

Nyie wasomi mkija huku 'field' mjipange msidhan mpo kwny vyumba vya madarasa
Ndio tatizo la kuongozwa na mtu aliyeungaunga elimu na super glue
 
Si amekwambia growth rate imeshuka hayo mengine umeleta wewe.

Labda utuelezee uchumi unakuaje at negative percent?
Uchumi wa Tanzania unakua kwa negative percent? Au sijaelewa?
 
Mkuu nadhani umetetea jambo ambalo pengine hukusikia, raisi amesema tuliondolewa ikiwa na namna tumeshatolewa lakini kiuhalisia bado.

Kwa status ya Sasa bado tupo, ikiwa tutatolewa huko baadae WB watatoa statement
Serikali husika wana pata taarifa mapema kabla ya dunia, if it’s recent development bado itaonyesha tupo middle income.
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022
Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Unajifanya unajya sana kumbe mbumbu mtupu
 
Muoneeni tu huruma huyo mama. Maana hata wakati wa mahojiano na Salim Kikeke wakati ule, alifanya hivyo hivyo.
Mm nakuelewa, Ila hivi kujichanganya na hotuba nyingi. Kuwepo na cross-check
Raisi anapoenda public ni Jambo kubwa, chochote anachosema huchukuliwa kwa uzito
Kipindi kile ameenda UNGA, alisema mojawapo wa chanzo cha umeme Tz ni geothermal, kitu ambacho sio kweli. Wanazuoni waliona wakaguna alafu wakapotezea. Ila hii itakua inashusha credibility yake
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022
Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako

hata hotuba za watendaji zake sio lazima kila kitu waseme ni mama amefanya.
Mfano; yule aliyepunguza shs 100 kwenye petrol kasema mama kapunguza; baada ya muda mama kamruka kasema waziri alipunguza bila kufanya utafiti wa kutosha
Nafikiri kuwe na namna rafiki ya kupeleka ujumbe kwa raia ili kusionekane kuna mkanganyiko

Lakini pia kumekuwa na baadhi ya mifano unaweza kusikia baadhi ya viongozi wakitulinganisha na Ulimwengu wa kwanza (kiuchumi) kitu ambacho sio sawa. Mf; bei ya mafuta Ujerumani imefika .....wakati kwetu ipo ......
Sijui kama wanajua purchasing power (Kipato) cha mwananchi wa Ujerumani) ukilinganisha na kipatao cha mwananchi wa Tanzania nk
 
hata hotuba za watendaji zake sio lazima kila kitu waseme ni mama amefanya.
Mfano; yule aliyepunguza shs 100 kwenye petrol kasema mama kapunguza; baada ya muda mama kamruka kasema waziri alipunguza bila kufanya utafiti wa kutosha
Nafikiri kuwe na namna rafiki ya kupeleka ujumbe kwa raia ili kusionekane kuna mkanganyiko
Naunga mkono hoja
 
Unajifanya unajya sana kumbe mbumbu mtupu
Umbumbumbu wake uko wapi...ukiangalia world bank data ya July 2021-2022 inaonesha Tanzania bado ni Lower Middle Icome country, pengine status itabadilika July 2022 ila kwa sasa bado!
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022
Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Data ya GNI per capita ni ya 2020 hata hata kama ukiingia leo. Raisi ametumia data ya sasa.
GNI huwa inabadilika.
Ni vizuri nawe uka ji update
 
Toka mwaka 2015 kilakitu kimekuwa kiki panda hadi leo hii 2022.
Mafuta bei juu
Unga bei juu
Vifurushii bei juu
gharama ya post kuingiza vitu vidogo dogo bei juu

Kilakitu kimepanda bei ila vipato vya watanzania viko palepale
Yani mishahara kwa watumiahi wote wa binafsi na umma
Faida kwenye biashara hata haijapanda kutokana na kodi na mifumuko mwa bei kwa vitu.

Tanzania kitu pekee ambacho naona hakijapanda ni mishahara kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi.

Uwezo wa watanzania kununua unazidi kupungua kila iitwapo sikuu kitu kinachopelekea biashara nying kufanya vibaya hata kama ukitumia akili ya kibiashara kustawisha biashara yako.
 
Kwani inasaidia nini!?!? Hata tujali'
 
Back
Top Bottom