Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

Kwani inasaidia nini!?!? Hata tujali'
Mkuu kwa sisi huku ndio hatuoni maana yake hasa...ila kwa wakubwa ina maana, kadiri unavyopanda rank za uchumi unaponguza nafasi ya kukopesheka! ukiwa mkopo inaopewa nchi ya higher middle income country ni mdogo kuliko nchi ya lower middle income country...na pia mkopo wa nchi ya lower income ni mkubwa kuliko wa lower middle incomecountry...labda "tumejishusha hadi lower income country" ili wadau wa maendeleo watupe zaidi!
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022
Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Tulushaambiwa Uraisi ni Taasisi. Hajakosea, hii ni breaking news.
 
Huyu sasa ameambiwa ili afike anakotamani kufika” kuwa rais awamu inayokuja” aponde ya mtangulizi wake. Hii tabia imeanza kumkaa chui jike
 
Inasaidia
Mama Samia mwenyewe amewahi kusema sisi kuwa uchumi wa Kati imesababisha misaada na mikopo kupungua. Na jua kuwa mama yeye anapenda pia kukopa
Basi tujishukiage tuh!!
 
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.

Je, Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?

Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia

Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022

Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia

Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?

Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Kama wamemwandikia hiyo ni hujuma...Mimi mwenyewe nilistuka sana kusikia nchi imeshuka maana kushuka kwa nchi si kazi nyepesi kama ilivyokupanda...Lakini niliwaza labda hizo percapita zilichanhiwa na miradi makubwa na pengine kwa sasa iliyopo si mikubwa hasa nikikumbuka sekta ya ujenzi inachamgia pakubwa kwenye GDP yetu jambo ambalo pia si jema sana kwa uchumi kuwa endelevu
 
Mpango ni kwamba ikifika 2025 Samia anataka atambe kuwa ameirudisha tena Tanzania uchumi wa kati ili kuwapagaisha wapumbavu ambao ndiyo wengi kwenye hii nchi.
 
Hii tabia ya kuwa 'anaongopewa' mara 'anahujumiwa' ,is finding excuses..Ni mwaka sasa,,anajua fika kbsa anachokifanya,,what they hope is that you (raia) believe them
 
Yeye ameshachungulia kibubu huko magogoni anaona kabisa hali ni mbaya na hataki kufake ,hatufai kukaa hapo sijui middle income ujinga mtupu ..!
 
Taarifa aliyotoa ni ya kidunia na si ya mtu mmoja, labda kama atadumaza maendeleo ya Nchi, ila mimi nimeshare taarifa ya muda huu ya Benki ya Dunia, inaonesha Tanzania Kundi ililokuwepo 2020 ndio ililopo sasa
Kila baada ya miaka 2 wd huwa ina- update data zake so Maza keshazipata za jikoni mapema.
 
Data ya GNI per capita ni ya 2020 hata hata kama ukiingia leo. Raisi ametumia data ya sasa.
GNI huwa inabadilika.
Ni vizuri nawe uka ji update
Mwaka Jana mwezi wa 11 alisema kuwa nchi yetu itakosa misaada kwa sababu tupo uchumi wa kati
 
Kila baada ya miaka 2 wd huwa ina- update data zake so Maza keshazipata za jikoni mapema.
So tutashuka ila si kuwa tulishuka... Na kama tumeshuka ni jambo lililoanza mwezi wa 12 mwaka Jana, maana mwezi wa 11 hakuwa na hii Taarifa na akasema kuwa tutakosa mikopo na misaada sababu tuko uchumi wa kati
 
Kama wamemwandikia hiyo ni hujuma...Mimi mwenyewe nilistuka sana kusikia nchi imeshuka maana kushuka kwa nchi si kazi nyepesi kama ilivyokupanda...Lakini niliwaza labda hizo percapita zilichanhiwa na miradi makubwa na pengine kwa sasa iliyopo si mikubwa hasa nikikumbuka sekta ya ujenzi inachamgia pakubwa kwenye GDP yetu jambo ambalo pia si jema sana kwa uchumi kuwa endelevu
Kushuka kwa uchumi si rahisi Kama unavyosema lakini kumbuka rank za wd sio constant miaka yote, huwa inabadilika mfano 2020 middle income inaanzia 1062-12399 so 2022 wanaweza raise may be middle income ikawa inaanzia 1092-12470 so unajikuta tz 2020 upo middle income by gni ya 1080 halafu 2022 ukawa lower income kwa gni ya 1090 so kwa kuangalia marks za rank za wd utakuwa umedrop ila kwa kuangalia namba za gni utakuwa umekuza gni kwa digit 10 kabisa.
 
Au labda kuna yale mambo ya ujieleze kwa nini usitolewe kama .... Halafu sisi tukaamua kutokaza ili kutotetea hiyo nafasi ili TUFIKILIWE zaidi kwenye KUKOPA.
 
Back
Top Bottom