Mkuu nadhani umetetea jambo ambalo pengine hukusikia, raisi amesema tuliondolewa ikiwa na namna tumeshatolewa lakini kiuhalisia bado.WD uwa wanachelewa kutoa updates, unaposoma data angalia tarehe ya mwisho.
Sometimes it can take up to one to three month for them to update things.
Mama anawandaa kisaikolojia tu yeye keshapata hizo habari siku za hivi karibuni.
Ndio tatizo la kuongozwa na mtu aliyeungaunga elimu na super glue
Uchumi wa Tanzania unakua kwa negative percent? Au sijaelewa?Si amekwambia growth rate imeshuka hayo mengine umeleta wewe.
Labda utuelezee uchumi unakuaje at negative percent?
Serikali husika wana pata taarifa mapema kabla ya dunia, if it’s recent development bado itaonyesha tupo middle income.Mkuu nadhani umetetea jambo ambalo pengine hukusikia, raisi amesema tuliondolewa ikiwa na namna tumeshatolewa lakini kiuhalisia bado.
Kwa status ya Sasa bado tupo, ikiwa tutatolewa huko baadae WB watatoa statement
Muoneeni tu huruma huyo mama. Maana hata wakati wa mahojiano na Salim Kikeke wakati ule, alifanya hivyo hivyo.Umesema ukweli lakini concern ya mtoa post ni statement ya raisi kutokua sawa, regardless sisi kutofaidika
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ameshaambiwa tutashushwa? Ila nimekuelewaWao wana pata taarifa mapema
Dogo huzaa kubwaDuh....watanzania hawanaga dogo!
Pengine watu wake wa Karibu wameanza kumuexploit at maximum, kauli ya Rais ni SheriaMuoneeni tu huruma huyo mama. Maana hata wakati wa mahojiano na Salim Kikeke wakati ule, alifanya hivyo hivyo.
Ndio maana yake[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba ameshaambiwa tutashushwa?
Hili lakuwa uchumi wa kati au wa chini pengine halimgusi Kila mtu ila suala la Rais kupewa Taarifa isiyikamilika ndio Baya zaidiDogo huzaa kubwa
Unajifanya unajya sana kumbe mbumbu mtupuSiku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?
Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia
Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022
Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia
Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?
Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Mm nakuelewa, Ila hivi kujichanganya na hotuba nyingi. Kuwepo na cross-checkMuoneeni tu huruma huyo mama. Maana hata wakati wa mahojiano na Salim Kikeke wakati ule, alifanya hivyo hivyo.
Viongozi wa CCM ni Kaole wali changamkaHili lakuwa uchumi wa kati au wa chini pengine halimgusi Kila mtu ila suala la Rais kupewa Taarifa isiyikamilika ndio Baya zaidi
Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.
Je Wanaomuandalia Samia hizi taarifa wanafikiri Watanzania ni watu wajinga wasio weza kufatilia mambo? na ni kwa faida ya nani?
Taarifa ya Tanzania kuwa Lower middle Income country inatolewa na mashirika ya Kimataifa mojawapo ni benki ya Dunia
Hii kurasa ya Benki ya Dunia inayoensha nchi zilizopo lower middle Income Countries Lower middle income | Data
World Population Review Middle Income Countries 2022
Wikipedia List of countries by GNI (nominal) per capita - Wikipedia
Hivi ni vyanzo vichache vya kidunia ambavo vinaiweka Tanzania kwenye middle income countries, Je Samia hizi Taarifa zake anatoa wapi?
Samia uwe unachukua muda kujiridhisha na unayoandikiwa kwenye Hotuba zako
Naunga mkono hojahata hotuba za watendaji zake sio lazima kila kitu waseme ni mama amefanya.
Mfano; yule aliyepunguza shs 100 kwenye petrol kasema mama kapunguza; baada ya muda mama kamruka kasema waziri alipunguza bila kufanya utafiti wa kutosha
Nafikiri kuwe na namna rafiki ya kupeleka ujumbe kwa raia ili kusionekane kuna mkanganyiko
Umbumbumbu wake uko wapi...ukiangalia world bank data ya July 2021-2022 inaonesha Tanzania bado ni Lower Middle Icome country, pengine status itabadilika July 2022 ila kwa sasa bado!Unajifanya unajya sana kumbe mbumbu mtupu
Data ya GNI per capita ni ya 2020 hata hata kama ukiingia leo. Raisi ametumia data ya sasa.Siku ya Leo katika mkutano wa Wanachama wa TDC Rais Samia amesikika akisema Tanzania imepotenza Hadhi ya nchi ya Lower middle Income Country, akidai kuwa tulishushwa hii nafasi.