Ni nani anayemuongopea Rais Samia? Rais ajiridhishe na hotuba zake kabla ya kusoma kwa watu

Wabongo tunapenda kulalamika! Kwani huo uchumi wa kati wenyewe una faida gani kwa Watanzania walio wengi?
Nchi ya mapopomaa hii. Watu wanagombea na kugombana kwa vitu vya kijinga kabisa. Hivi hata wangesema Tanzania imeingia kwenye nchi zilizoendelea kuanzia kesho itakuwa na manufaa gani? Badala ya watu kupigania mambo ya msingi ili serikali na viongozi watimize wajibu wao, wengine wanagombana eti tuko kwenye uchumi gani. Hakun tofauti na wale wajinga waliosalimiwa halafu wakabaki kugombana kila mmoja akidai salamu ilikuwa yake!
 
So tutashuka ila si kuwa tulishuka... Na kama tumeshuka ni jambo lililoanza mwezi wa 12 mwaka Jana, maana mwezi wa 11 hakuwa na hii Taarifa na akasema kuwa tutakosa mikopo na misaada sababu tuko uchumi wa kati
Elewa Jambo moja wd Kila baada ya miaka 2 huwa inaupdate data na kuzirank nchi official. Lkn pia Kila baada ya miezi 3 Kila nchi inawasilisha twakimu zake za kiuchumi kwa imf ingawa zinakuwa sio realised official mitandaoni, so lini Jambo hili lilianza wanaojua ni maafisa waandamizi wa serikali hasa wizara ya fedha na nbs pengine tulidrop mapema January 2021 au mapema February 2022.
 
[emoji28] itakuwa wameongea na hao Wazungu kuishusha ili aendelee kupata mikopo ya masharti nafuu.
Maana ukiwa lower/ upper middle income ile mikopo ya nchi masikini huipati tena ambayo mingi ni ya masharti nafuu
 
[emoji28] itakuwa wameongea na hao Wazungu kuishusha ili aendelee kupata mikopo ya masharti nafuu.
Maana ukiwa lower/ upper middle income ile mikopo ya nchi masikini huipati tena ambayo mingi ni ya masharti nafuu
For how long?
 
Huyu bibi urais unamuonea, anafaa zaidi kuimba taarab
 
Tulipanda lini kama turi-drop January 2021?
 
Tushushwe tu..., hakuna faida ya kuwa huko.., ukizingatia sisi ni watu wa kukopa..., hivyo ukiwa uchumi wa juu hata mikopo yake inakuwa sio ya kimsaada msaada tena
What is the direct global business & economic impact from the ongoing Russian-Ukraine war ? How does it affect TANZANIA particularly in domestic based products ?.
[emoji848]
 
Kwani ssa atakusikia na atasoma ssa ?
 
Anataka iwe ajenda ya kupigia kampeni kwenye uchaguzi wa 2025, 😂😂😂
 
Huyu Raisi nyie hamjamuelewa tu na watu wake anatoa hayo maneno yamebeba sura mbili,moja anajijua ametengeneza serikali dhaifu mnooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo ya uswahiba ambayo haita mfikisha popote badala nchi ianze kurudi nyuma kwa Kasi Sana,pili ule wimbo was mafisadi ya ndani ya chama kuwa Tanzania Ni nchi masikini Sana ulikuwa unawanufaisha Sana mafisadi ambao majukwaani walitangaza umaskini was nchi halafu nyuma ya pazia wao wa najimegea,share kubwa kubwa Sana,aliyekuja kuharibu madili hayo ya upigaji Ni magufuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,aliyetangulia Tanzania siyo masikini,Sasa ili turejee kwenye ule wimbo enye kibwagizo Cha Tanzania maskini,ameanza kutuandaa kisaikolojia ili kutukaririsha watanzania kuwa nchi hii Ni maskini sanaaaaaaaaaaaaaa ili waendelee kumega matonge manene manene nyuma ya pazia.watch up
 
Ndg unakunywa soda gani? Hapa nakuelewa sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…