Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Aliyetangaza kuwa serikali imeingia mkataba na kampuni ya Bombadia kununua ndege mwaka huu ndiye aliyetoa siri, haya yote ni bure serikali imlipe deni iachane na mtindo wa mdaiwa kubadili njia, huo ni uswahili.
SERIKALI IMLIPE MKULIMA ANACHOKIDAI TANGU AKIWA KIJANA ANACHEZA TWIST PALE ARUSHA BY NIGHT CAVE KWA MAREHEMU CHOGGY SLAY.
 
Sijui anakwama wapi. Ila professor anajua kuwa mpokeaji wa hiyo taarifa hajui hili wala lile kwenye mambo ya common law. Mpaka anashushia uongo wake na mistari ya maandiko. Anyway.
 
Well said Dkt.Pasko
 
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
Taifa la wajinga mlipeni mkulima
 
Hapa ndo pakuanzia. Haiwezekani mtu mmoja akashindana na serikali nzima kwa kushirikiana na serikali za mataifa makubwa. Huo ushawishi unatokea wapi?
Ana akili timamu ndio maana
 
Mbona safari za Mumbai zilishaanza kitambo..
 
Yule Mkulima Anatakiwa Ndege Anayoipanda Iwe Via Julius Nyerere International Airport. Akifika Dar es salaam Tumkamate Akale Ndani
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]taifa la wajinga bwana mnawaza ujinga tuuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]taifa la wajinga bwana mnawaza ujinga tuuu
HaaπŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
 
Mkulima ni nani,
Nani aliopo nyuma ya mkulima,
Nani aliyempa taarifa kama ndege yetu ipo kanada na itatoka na tarehe hiyo.
Ni wakati mzuri wa kushughulika nao.
WAKIWEKA UGOKO WEKA CHUMA!
Unafikiri akili za mkulima huyu ni kama wale wa korosho kule Mtwara ambao Jiwe amewadhumu hela zao za korosho..!?
 
Pole Paskali kwa kutoeleweka na wengi kiasi hata unaowakejeli wanakushangilia. Pole sana maana elimu elimu elimu elimu na fasihi imetupita kando. Pole washadidiaji wa Kabudi sababu hata ndege irudi tutakuwa tumetumia kiasi gani kwa Ticket za ndege za hao mawakili, DSA na mapochopocho mengine ya kuwafanya wajisikie wanawakilisha ndege ya wale wanaoipanda ingawa kodi tunalipa wote na wale ambao hawajui hata ndege hata kwa nje zinafanana je.
 
Samahan Ndugu mjumbe, eti ndie huyu?
Mkulima mwacheni auze mazao yake kwa bei yake mwenyewe, msimpangie.
 
Kuna Kitu Kipo Sehemu Ila Itajulikana, Siyo Rahisi Anakofika Mkulima Serikali Za Mabeberu Zinampokea Kwa Vicheko πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…Halafu Zinamuonyesha Mali Za Tanzania
Tutajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…