Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

Serikali ijikite kwenye Simu na email na Simu za kwenda kwa Lisu na kwenda kwa diaspora toka nchini.TCRA chekini Email na Simu zote za Tanzania zilizokwenda kwa Lisu au nje ya nchi nchi yeyote miezi miwili kabla ndege kushikwa
Pumbavu
 
Sidhani kama kule South Africa tulishinda kesi. Hapa kuna mambo tunadanganywa ndiyo maana ya hiki kinachoendelea kutokea.
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
 
Unamuuliza nani sasa?
Pelekeni wale Mawakili Nguli
15 wairejeshe.
 
Loo Usalama wa taifa na jeshi muonyeni Magufuli Aache uropokaji .mkuu wa majeshi nenda kamwambie hiyo Ni kazi yako .Sio kila kitu Cha kuongea kwenye majukwaa.TISS mumlazimishe awe anasoma hotuba za kuandikwa ili asivuke mipaka huyo.
Hilo lilishashindikana.
 
Inawezekana ni Lissu na watu wa cdm
Waziri Prof Kabudi ameuliza swali zuri sana kwamba.......Mbona Dream liner zote mbili zilizotokea Marekani zilifika salama hazikukamatwa??.......kulikoni Canada?

Waswahili walisema " kikulacho ki nguoni mwako".......Prof aliangalie jambo hili kwa umakini mkubwa maana hawa wapinzani wa kisiasa wa hapa Bongo pamoja na usaliti wao ujanja wao unaishia humu humu ndani labda kidogo wanaishia SA.

Swali lako Prof Kabudi ni la maana sana........Kwanini Canada?

Maendeleo hayana vyama!
 
Hii ni
Loo Usalama wa taifa na jeshi muonyeni Magufuli Aache uropokaji .mkuu wa majeshi nenda kamwambie hiyo Ni kazi yako .Sio kila kitu Cha kuongea kwenye majukwaa.TISS mumlazimishe awe anasoma hotuba za kuandikwa ili asivuke mipaka huyo.
Hii ni wewe umeandika au mkeo asiekupenda maana wewe sio wa kuandika hivi
 
Prof. Kabudi ni mwalimu wangu, anajua kabisa justice system ya US sio common law system hivyo foreign awards za common law are only applicable kwenye commonwealth countries. Ndio maana baada ya South Africa ni Canada, wanasubirua safari za Mumbai na UK. US na China ni salama kabisa na Kabudi analijua hili vizuri tuu.
.
P
Kama in mwalimu wako ndo maana huna akili kama yeye. Mimi si mwanasheria lakini sheria zetu ni zetu tu na zao Jumuiya yote ni zao ingawa zinaweza zikafanana. Ile meli ya Lord Rajpar ilikamatiwa Somalia ikitoka Ulaya na kurudishwa Ulaya ikapotelea hukohuko.
 
Back
Top Bottom