Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Mzee kinana, ungeomba mdahalo ukaja na team Yako,

Lissu akaalikwa aje na team yake,

Maana Badala ya kujibu HOJA ndio umeharibu kabisa.
 
Nimecheka kwa nguvu, mmepuuza halafu msemaji wa ccm kajitokeza kujiliza! Hiyo miungano ya kihuni ifike mwisho. Lisu anaeleweka vizuri asemacho kuliko hayo majizi ya kura.
Wameibuka leo
 
Vyama 11 vimejitokeza,

Badala ya kujibu HOJA nao wameamua kuwa " vuvuzela"!!
 
Labda chadema wenyewe waliomwomba aseme kwaniaba ya chama Chao

Vinginevyo ,ccm iombe msaada kimataifa ,mana ACT wazalendo na yule makamo wakwanza anachosema lisu ndo furaha yake,mana

Enzi ,akiwa mwanasheria mkuu wa serikali ya zanzibar hizo ndo hoja zamuungano alizozikataa na kusema muungano serikali moja ndo sawasawa ,akabebwa mzobemzobe bungeni mpaka nje ya bunge

Lisu ,akamatie hapohapa ,wabaharia(wazanzibar) miaka mingi wanaishi mdomoni pa nyangumi. Lisu wanasue
 
Kwamba CCM iombe msaada Toka mataifa ya nje kujibu HOJA za Lissu?

Tulia anaweza, Sema labda Yuko bussy na hapendi midahalo.
 
Yaani haya uliyoorodhesha hapa ndo majibu ya maswali aliyouliza Tundu?

CCM, nyinyi ndo wanufaika wakubwa wa muungano huu uliojaa maswali

Hamuoni kwamba sasa kuna haja ya mazungumzo ya namna gani muungano wetu uwe?

Badala yake mnatoa matusi tu yasiyo na mbele wala nyuma na hayaendani kabisa na maswali magumu mnayoulizwa

PENA alipayuka tu na hakuna la maana
 
Kwamba CCM iombe msaada Toka mataifa ya nje kujibu HOJA za Lissu?

Tulia anaweza, Sema labda Yuko bussy na hapendi midahalo.
Tulia huyu huyu ambaye hata wabunge wake wanakimbia bunge na hana cha kuwafanya?
 
Hawapo...
 
busara ni kumpuuza tu kama ilivyo sasa
Utapuuzaje hoza za kikatiba? Kwamba Mzanzibari anaruhusiwa kumili ardhi bara, ila Mtanganyika haruhusiwi kumili ardhi visiwani, hilo nalo la kupuuuzwa?
 
Utapuuzaje hoza za kikatiba? Kwamba Mzanzibari anaruhusiwa kumili ardhi bara, ila Mtanganyika haruhusiwi kumili ardhi visiwani, hilo nalo la kupuuuzwa?
kwani ameanza kuongoza leo huyo mzanzibari?,

yaani huyo kibaraka bila kutumwa na kuvhochewa mabwenyenye hawezi fikiria kwa uhuru 🐒

Lakini hata wew mamluki, kweli ndio umeliona hilo leo? au ndio ile kubebwa unyumbu hata huelewi 🐒
 
Jibu hoja za Lissu bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…