Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

BUSARA ni kuitisha mdahalo Ili akufundisheni msiyoyajua Kwa manufaa ya umma,

Kiongozi anawezaje kupuuza HOJA za msingi?
vibaraka na watu wenye mihemko ni hatari sana kuwajumuisha kwenye midahalo yoyote ile, busara ni kuwapuuza kuepusha uharibifu na usumbufu na kutoa fursa kwa wenye dhamana ya kuongoza na kuwatumikia waTanzania wachape kazi vizuri zaidi
 
Nimecheka kwa nguvu, mmepuuza halafu msemaji wa ccm kajitokeza kujiliza! Hiyo miungano ya kihuni ifike mwisho. Lisu anaeleweka vizuri asemacho kuliko hayo majizi ya kura.
umeilazimisha furaha sio, ingawao moyoni una majonzi
 
Hivi,ukirudia kupitisha macho yako kwa hicho ulichokicharaza unakielewa ndugu "avocado "?
 
AG Hana uwezo wa kujibu hoja za ukweli, yeye atakuja na majibu ya kulazimisha. Akiingia kwenye mdahalo ataishia kumwambia Lisu aache uchochezi.
Sasa huu ulikuwa muda muafaka kutatua changamoto hizi kabla ya kuingia uchaguzi.

Mdahalo kati ya team Lissu na team Serikali ni muhimu sana Kwa sasa.
 
CCM NI MAJIZI YANAKATAA KATIBA MPYA ITAWAFUNGA JELA
 
Lucas Mwashambwa
 
Tundulisu huyu huyu aliekuwa anasapati usho ga
 
Kama Yaliisha Naomba Unijibu Hili swali Mkuu!

Kwanini Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hana Usemi Zanzibar???
Kwanini waziri wa Afya wa JMT hana usemi Zanzibar??
huo ni mtazamo na maoni yako tu kwamba ati kiongozi fulani hana usemi mahala fulani...

hapana haiko hivyo,
viongozo uliowataja wana heshima zote na wanawajibika kikamilifu kwa mujibu wa sheria, katika masuala yote yahusuyo Jmuhuri ya Muungano wa Tamzania, kwa heshima zote, mila na desturi za kiTanzania
 
Kwahiyo wewe ndo Think tank ya Lumumba wamekutuma? Huna uwezo wa kujibu hoja za Lissu kaite Wengine
 
Setina na Chama cha Mapinduzi, Tanganyika na Zanzibar, in wasomi wengi na wenye weledi wa kujibu hoja za msomi TAML lkn hawana hoja za kisheria au kikatiba ndiyo maana ni lazima tu wabwajaje ili mama aendelee kuwatunza ktk nafasi zao.
 
Huyu aliyemchokoza Lissu kuhusu Muungano atajuta bora angenyamaza.

Tundu Lissu anajua aises hana wa mfano wake mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…