Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

Somalia,Syria,Afghanistan, Yemen yani napenda sana hizi Nchi cz napenda sana kupigana pigana na mabunduki na mafataki

Hata mimi napendelea nchi zenye vita kwa sababu fursa huwa nyingi za biashara
Ila sio kupigana bali kufanya biashara ya uhakika kama kuwahudumia wakimbizi kwa tenda ya UNHCR
 
Labda kiburi cha fedha ila wewe nenda Rwanda ukawaone ni watu wa kawaida tu..fedha nyingi hubadilisha tabia za watu katika mataifa karibia yote.


Ntaenda dec..iko kwa ratiba tayari!...ik watz tumezid sana ukarimu ndo maana hatuendelei
 
Mimi napeta Comoro ,hapo kuna rais ni kanali yeye katika uongozi wake kipaumbele kikubwa ni kukaa madarakani milele(afrika)
 
Una akili nyingi sana!
 
Huyo hubby wako alikudanganya. India haijui vizuri
 
Kwa kuishi Ningependa hizi sehemu.

1. Peru- Machupicchu. ( Pure nature and tranquility).

2. Brazil- Pantanal ( Pure nature and culture).

3. Tibet ( Culture and nature)

4. Mongolia ( Culture and nature).

5. Bahamas ( Bata)

6. Islamabad, Peshawar , Riyadh , Abu Dhabi, Bahrain and Doha ( Culture and espionage).
 
Hebu kamilisha kipenzi..siku ile ile nilopomaliza kuongea na ww nikaangusha simu usk..!kurudisha line ndo kimbembe!am happy too to see u again!basi tu hujaamua😅!
Ooh pole mpenzi nitakucheck yani plan haijawahi kutoka kichwani na nimepania sana nadhani ndio maana kunakuwa na obstacles,mambo yalipandiana lakini Nov Mungu jalia. Nitakupigia tuongee
 
Sijawahi toka nnje ya hii nchi TZ

natamanije sehemu ambazo naziona kwa pcha au kuzisikia?

ntafia TZ japo kabla ya kufa nahamu sana kuingia USA na ISRAEL japo tu nikaone

hizo nchi zikoje koje....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…