Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huwezi kuta mtu smart anajibu text ambayo haImhusu. Angeacha tuNi ngumu Sana mtu kuanza kuongelea yasiyomuhusu, haya Ni matumiz ya ovyo ya ubongo.
Ni ngumu sana mdada.smart kudandia wanaume sababu ya majina.Ngumu sana mtu smart kuishiwa user name akajiita koleo lachuma.
Mtu smart hatukani ovyo.
umemaliza ndg yangu5.ni ngumu sana mtu smart kuponda yale wanayoyapenda wenzake na kuona upuuzi.
6.mtu smart hajisemi bali husemewa na watu.
7.mtu smart ni ngumu sana kwake kutokuwa na subira kiasi kwamba akiona kitu asichpenda kwenye basi angairishe safari kisa kitu hiko.
Mfano mtu smart hawezi kusitisha safari kwa sababu tu kwenye basi amewekwa binadamu mwenzie anaongea na kuigiza,huyo siyo smart ni mtu gubu.
8.mtu smart ni ngumu sana kudharau jitihada za wengine wanazofanya kujipatia mkate wa siku.
Ukute jamaa ikifika saa 5 anaangalia hivi vipindi vya Azam Tv5.ni ngumu sana mtu smart kuponda yale wanayoyapenda wenzake na kuona upuuzi.