Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

1. KUangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..

2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili

3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa

4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria,ghana,wale waasia wengine n.k

Ongeze na wewe ...
Mtoa maada anapenda movie za kihindi....,
 
Unadisi movie iliyofanyiwa dubbing ukitoka hapo unaenda kuangalia movie yenye subtitle yenye lugha ya Kiingereza.

Kiazi Pro Max.
 
Nigeria ni classic
1. KUangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..

2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili

3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa

4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria,ghana,wale waasia wengine n.k

Ongeze na wewe ...
 
Kajamaa kanajikuta ka Joker balaa

Sipendi movie yoyote ile ila sikatai watu kuangalia
 
5.ni ngumu sana mtu smart kuponda yale wanayoyapenda wenzake na kuona upuuzi.

6.mtu smart hajisemi bali husemewa na watu.

7.mtu smart ni ngumu sana kwake kutokuwa na subira kiasi kwamba akiona kitu asichpenda kwenye basi angairishe safari kisa kitu hiko.

Mfano mtu smart hawezi kusitisha safari kwa sababu tu kwenye basi amewekwa binadamu mwenzie anaongea na kuigiza,huyo siyo smart ni mtu gubu.

8.mtu smart ni ngumu sana kudharau jitihada za wengine wanazofanya kujipatia mkate wa siku.
Nakazia..mtu smart hasusi susi hovyo kama mtoa mada hadi anataka kushuka kwenye basi...anataka kutuonyesha ameishi maisha ya kudekezwa..AKA mtoto wa mama...
 
Mtu smart hatazami TV anasoma vitabu...TV ni zetu wapumbavu
 
Fact nikiona mtu anaangalia movie zimetafasiriwa namvua heshima zote
Acha ushamba ndugu, Kwaiyo wewe umewasomea watanzania wote kiasi kwamba uelewa wako nawao wanao.

Kujua kingereza sio ujanja kiasi cha kuwadhihaki watu wengine. Nakushauri achana na huu ushamba mara moja na umshukuru Mungu kwa kile alichokujalia ila wengine hajawapa.
 
Ķomeo la chuma nae ni smart et!!kaanzisha thread kuwaponda watu smart while akiangalia upande mmoja tu wa kuangalia na kufatilia Movies
 
Nakazia..mtu smart hasusi susi hovyo kama mtoa mada hadi anataka kushuka kwenye basi...anataka kutuonyesha ameishi maisha ya kudekezwa..AKA mtoto wa mama...
Mtu smart hawezi kaa chooni alaletewa chakula akala. Anatoka chooni (anashuka kwenye bus ambalo linaonesha upuuzi ili mind yake isiwe corrupt/polluted
 
Back
Top Bottom