Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

Hahahaha,tafuteni hela wadogo zangu maisha hayataki mbwe mbwe zote hzo.
Ni ngumu sana kumkuta mtu smart anatoa ushuti pumba kama huu "tafuten hela"

Hela zimepotea? , au kuna uhaba wa hela tuprint ziadi?
 
Watu bogaz wamejaribu kunishukia lakini wamekuta watu smart tupo wachache ila smart....😁😁😁 Mtu mzima kabisa anakaa kuangalia movie inasimuliwa na Rufufu... Huyu si ni bogaz/bogus kipeuo cha pili? Au unakaa kuangalia movies za Azam zile zimefanyiwa dubbing zenye maneno ya kipumbavu ...na mdada wa kazi mnaanza simuliana. Badala ya kuangalia movies au series zenye akili za kukuburudisha na kukufundisha..... Unakaa kuangalia Kulfi?

Mtu smart hajisaidii pembeni ya choo. Anahakikisha amelenga tundu la choo na pia anaMwaga maji au ana flash kuondoa uchafu ...

Huwezi kuta mtu smart ni mshabiki wa team ,chama au mtu. Hata siku moja. Mtu smart hupenda mchezo au jambo lenyewe zaidi ya mhusika au wahusika wachache.
 
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..

2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili

3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa

4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k

Ongeze na wewe
Uzi una miaka miwili na miezi miwili ila nimeguswa tu kutia neno hapa.

WE NI FALA.
 
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..

2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili

3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa

4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k

Ongeze na wewe
Mwenye akili hawezi kuanzisha thread kama hii
 
Mtu smart hawezi kuwa free na kupatamuda wakupondea waalimwengu
 
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..

2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili

3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa

4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k

Ongeze na wewe
Ila hii ya tamthiliya za Nigeria... Nakubali mi sio smart ..
Hata usemaje siiachi faza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni ngumu sana mtu smart kudharau kazi ya mtu mwingine au kumpangia mtu mwingine
 
Unawajua Arusha Djz kweli wewe?.

Bado tunapiga bao! ( in Dj OmmyD's voice)
 
Back
Top Bottom