Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

Ķomeo la chuma nae ni smart et!!kaanzisha thread kuwaponda watu smart while akiangalia upande mmoja tu wa kuangalia na kufatilia Movies
Mtu smart aaangalia kwa upande wake na anawaachia wenzie nao waseme kwa upande wao....
 
Ni ngumu Sana mtu smart kukuta anawapangia watu vya kuangalia kwenye runinga .
 
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..

2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili

3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa

4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k

Ongeze na wewe ...
ngumu sana mwenye akili kuwa na signature kama yako
 
Ngumu mno kwa mwenye akili kushindwa kutofautisha vichekesho na serious matter
 
1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..

2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili

3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa

4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k

Ongeze na wewe ...
Kuvaa zile ndala za manyoya mengi mbele
Kubandika kope na kucha ndefuuu kama jini
Kunyoa kiduku halafu unatia rangi ya njanooo kama yanga
Kuvaa vikuku miguu yote miwili halafu miguu yenyewe michafuuuu
Kubisahana na watu pasipo sababu ya msingi
Kuongea hovyo hata pasipo na sababu ya kuongea
Kutukana watu hapa JF badala ya kujibu hoja
Kutaka kila mtu awe na opinion kama za kwako even when you are wrong
 
Yaani hapo kwenye kiduku na nywele za rangi lah so poah! Mara utakuta kijani oh nyekundu jaman wanawake tuna tabu sie.
 
Mwingine anachanganya zoe, njano, kijani, nyeupe blue halafu ukute kabandika na kucha na kope

Ccm sio ccm, yanga sio yanga yaani unashindwa hata kumuelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]raibow kichwan jumlisha hizo kope na kucha yaani ni kituko hapo wengi ua wamejichubua pia sasa umuone akiwa juani
 
Ngumu sana kumkuta mtu smart anaanzisha uzi kuzungumzia vitu vidogo kama hivi
Ni ngumu mtu asiye smart kuelewa kuwa vitu vidogo ndo huunda vikubwa. Na wasomi tunasema every little action, there is reaction. Bogaz/bogus wanaamini kuna vitu vidogo.😁
 
Mwingine anachanganya zoe, njano, kijani, nyeupe blue halafu ukute kabandika na kucha na kope

Ccm sio ccm, yanga sio yanga yaani unashindwa hata kumuelewa
Anakuwa Utopolo kweli kweli.....
 
Mimi la 7 C nasoma comments
Acha nisiwe mjuaji niwaachie nyie wasomi mpambane naye huyu smata
 
Back
Top Bottom