Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

Mtoa maada anapenda movie za kihindi....,
 
Unadisi movie iliyofanyiwa dubbing ukitoka hapo unaenda kuangalia movie yenye subtitle yenye lugha ya Kiingereza.

Kiazi Pro Max.
 
Nigeria ni classic
 
Kajamaa kanajikuta ka Joker balaa

Sipendi movie yoyote ile ila sikatai watu kuangalia
 
Nakazia..mtu smart hasusi susi hovyo kama mtoa mada hadi anataka kushuka kwenye basi...anataka kutuonyesha ameishi maisha ya kudekezwa..AKA mtoto wa mama...
 
Mtu smart hatazami TV anasoma vitabu...TV ni zetu wapumbavu
 
Fact nikiona mtu anaangalia movie zimetafasiriwa namvua heshima zote
Acha ushamba ndugu, Kwaiyo wewe umewasomea watanzania wote kiasi kwamba uelewa wako nawao wanao.

Kujua kingereza sio ujanja kiasi cha kuwadhihaki watu wengine. Nakushauri achana na huu ushamba mara moja na umshukuru Mungu kwa kile alichokujalia ila wengine hajawapa.
 
Ķomeo la chuma nae ni smart et!!kaanzisha thread kuwaponda watu smart while akiangalia upande mmoja tu wa kuangalia na kufatilia Movies
 
Nakazia..mtu smart hasusi susi hovyo kama mtoa mada hadi anataka kushuka kwenye basi...anataka kutuonyesha ameishi maisha ya kudekezwa..AKA mtoto wa mama...
Mtu smart hawezi kaa chooni alaletewa chakula akala. Anatoka chooni (anashuka kwenye bus ambalo linaonesha upuuzi ili mind yake isiwe corrupt/polluted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…