Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
- Thread starter
-
- #41
Mtu smart aaangalia kwa upande wake na anawaachia wenzie nao waseme kwa upande wao....Ķomeo la chuma nae ni smart et!!kaanzisha thread kuwaponda watu smart while akiangalia upande mmoja tu wa kuangalia na kufatilia Movies
Yeap hakika.Ngumu sana kumkuta mtu smart anaanzisha uzi kuzungumzia vitu vidogo kama hivi
Hili jibu limeenda shule. Ni la mtu smart sana...😁Nikweli kabisa mfano saivi update za vita huko Ukraine tunazipata kwenye vitabu.
Ujuaji wa kishamba
Mtu smart hawezi kuwa na lengo fulani ambalo mwishowe hulia kwa kwikwi.Mtu smart kila anachojibu anakuwa na lengo flani....😁
ngumu sana mwenye akili kuwa na signature kama yako1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..
2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili
3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa
4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k
Ongeze na wewe ...
Kuvaa zile ndala za manyoya mengi mbele1. Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti ....vileeeee. ..
2. Kuangalia tamthiliya za azam zinazungumzwa kiswahili wakati zilikuwa na lugha yake ya asili
3. Kuangalia vichekesho vya kipuuzi vya akina majuto,mkonjani n.k hawa nliwahi mwambia dereva kwenye bus ni bora anishushe kuliko kuweka upuuzi wa watu hawa
4. Kuangalia tamthiliya za kinaijeria, ghana, wale waasia wengine n.k
Ongeze na wewe ...
Yaani hapo kwenye kiduku na nywele za rangi lah so poah! Mara utakuta kijani oh nyekundu jaman wanawake tuna tabu sie.Kuvaa zile ndala za manyoya mengi mbele
Kubandika kope na kucha ndefuuu kama jini
Kunyoa kiduku halafu unatia rangi ya njanooo kama yanga
Kuvaa vikuku miguu yote miwili halafu miguu yenyewe michafuuuu
Kubisahana na watu pasipo sababu ya msingi
Kuongea hovyo hata pasipo na sababu ya kuongea
Kutukana watu hapa JF badala ya kujibu hoja
Kutaka kila mtu awe na opinion kama za kwako even when you are wrong
Mwingine anachanganya zoe, njano, kijani, nyeupe blue halafu ukute kabandika na kucha na kopeYaani hapo kwenye kiduku na nywele za rangi lah so poah! Mara utakuta kijani oh nyekundu jaman wanawake tuna tabu sie.
[emoji23][emoji23][emoji23]raibow kichwan jumlisha hizo kope na kucha yaani ni kituko hapo wengi ua wamejichubua pia sasa umuone akiwa juaniMwingine anachanganya zoe, njano, kijani, nyeupe blue halafu ukute kabandika na kucha na kope
Ccm sio ccm, yanga sio yanga yaani unashindwa hata kumuelewa
Halafu wanawake wengi hawajue vile wakiwa natural wanapendeza bila hizo additional za makope,mara crazy hairs and colors, sijui tuna shida gani[emoji23][emoji23][emoji23]raibow kichwan jumlisha hizo kope na kucha yaani ni kituko hapo wengi ua wamejichubua pia sasa umuone akiwa juani
Ni ngumu mtu asiye smart kuelewa kuwa vitu vidogo ndo huunda vikubwa. Na wasomi tunasema every little action, there is reaction. Bogaz/bogus wanaamini kuna vitu vidogo.😁Ngumu sana kumkuta mtu smart anaanzisha uzi kuzungumzia vitu vidogo kama hivi
Ni ngumu sana mtu asiye smart kuelewa ujumbe kwenye signature yangungumu sana mwenye akili kuwa na signature kama yako
Mtu asiye smart hudhan mambo ya kipuuzi ni vichekesho....Ngumu mno kwa mwenye akili kushindwa kutofautisha vichekesho na serious matter
Kabisa..... Wale bogaz ndo wanapinga kwa nguvu sana .....Ni ngumu kwa watu smart kumpinga mleta uzi jukwaani
Anakuwa Utopolo kweli kweli.....Mwingine anachanganya zoe, njano, kijani, nyeupe blue halafu ukute kabandika na kucha na kope
Ccm sio ccm, yanga sio yanga yaani unashindwa hata kumuelewa