Ni ngumu sana kwa mtu smart kufanya haya...

Halafu wanawake wengi hawajue vile wakiwa natural wanapendeza bila hizo additional za makope,mara crazy hairs and colors, sijui tuna shida gani
Ndo ivo tuna mambo mengi sana yasiyo ya maana .Tuwasikitikie tu wanaofanya ivo hakuna namna hawajui walitendalo
 
Nikweli kabisa mfano saivi update za vita huko Ukraine tunazipata kwenye vitabu.

Ujuaji wa kishamba
Watu smart hawapati taarifa kwenye tv..wana source zao makini sana
 
Kuangalia zile movies zinazoelezewa kwa kiswahili. Ukikuta mtu mwenye Elimu anafanya hivi jua ndo vile vyeti

Hakuna UTUMWA mbaya kama wakujiona uko FREE...

Mkuu kujua kiingereza tuseme mara ngapi kuwa haina uhusiano na akili au werevu and whatever...??? ile ni Lugha tu... kwahyo ukimuona mkorea anaangalia Muvi iliyowekwa maneno ya kikorea sio Smart..????
 
Nchi Uhuru Umezidi Sasa Hadi Mnaanza Kufatilia Lifestyle Ya Mtu Binafsi.
 
Watu smart wanajibu mashambulizi kwa mleta mada adi kakimbia uzi wake[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ngumu sana kwa mtu gani vileeee.......?????
 
Ngumu sana mtu smart kujua haya mambo uliyoyasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…