Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Mkuu jeans zetu hizi za bongo zinatoa rangi zinachuja kipindi inachuja na kutoa rangi pia na uchafu unatoka directly

Na the more you soak in soapy water the more it bleach and kupauka so solution

Usiziloeke, ukitaka kufua chukua maji yako bila soap au eka kiduchu sana then fua suuza anika

But hii ni theory yangu tu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ mi ndo hufua hivo jeans zangu na bado zinamuonekano mzuri hata zilizonirruka
Nachojua kila nguo inakuwaga na maelekezo yake namna ya kuitumia ili ikae mda mrefu
Mfano kuna ambazo hutakiwi kutumia sabuni kali hutakiwi kuanika kwenye mwanga mkali wa jua etc
 
Ina haki ipaukee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hyo haipauki sasa mana niliamua kutest kununua huko huko, yani hyo cadet boss huku inauzwa 45000 , wakat huku ukinunua cadet zetu hz za 17000-25000 , aisee andaa ndoo nzima kufulia jeans moja tuu mana hyo rangi sjui kama utamix na nguo zingine
 
Kuna vigauni nilichukua kwa Frank Knows, kamoja ni loose dress material ya cotton. Kila napokifua, nikivaa kinazidi kuwa kifupi.

Kengine kalitoa mapelee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mifuo miwili tu hakatamaniki.
๐Ÿ˜‚Inakera mno unatamani uirudishe dukani mie napata tabu sana na mitandio Yani ukiweka kwenye maji yanabadilika rangi sikuhiz nitakuwa nanunua yenye asili ya shiffon hata magaun nilojaribu kununua ya dizain hiyo Yako vizuri ila hiz zingine ni majanga
 
Kuna vigauni nilichukua kwa Frank Knows, kamoja ni loose dress material ya cotton. Kila napokifua, nikivaa kinazidi kuwa kifupi.

Kengine kalitoa mapelee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mifuo miwili tu hakatamaniki.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Magauni yakuwa km kijora Sasa ukute Ina kampira siku mbili inatoka kiunoni๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom