Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Yah😂Huwa nanunua ndefu ila zile fupi ni nzuri sana na hat Bei zake ni nzuri pia
25/35. Me ndefu nitaanguka 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah😂Huwa nanunua ndefu ila zile fupi ni nzuri sana na hat Bei zake ni nzuri pia
😂😂😂Kwakweli mwaka Jana nimemnunulia mdogowangu cadet mtumba aisee anadunda nazo had Leo nilishauriwa humu nakumbuka ngoja June nikasaule Tena hakuna namna 😂😂😂95% ya nguo zinazouzwa Madukani Bongo ni Fake au Reject za Viwandani ambazo wafanyabiashara wakienda China au Uturuki wanazinunua kwa Bei poa na wakileta huku wanapata faida zaidi ya 100%. Ni wabongo wachache sana wanaoweza kumudu kuvaa nguo OG.
Na kwa Bongo kuipata nguo OG utaikuta kwenye Mtumba iliyokwisha jambiwa na wazungu huko ilikotoka.
Ndio hivyo. Dukani zimejaa fake tupu. Na kwa vile wengi hawajui pamba basi wanapigwa mnoo.😂😂😂Kwakweli mwaka Jana nimemnunulia mdogowangu cadet mtumba aisee anadunda nazo had Leo nilishauriwa humu nakumbuka ngoja June nikasaule Tena hakuna namna 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣NimechekaYah
25/35. Me ndefu nitaanguka 🤣
Yani zile cadet acha kabisa hazichuji Wala hazipauki tutavaa tu malonya ya wazungu 😂😂KwakweliNdio hivyo. Dukani zimejaa fake tupu. Na kwa vile wengi hawajui pamba basi wanapigwa mnoo.
Beigani wanauza labda nitapat mchumba nikamfanyie shopping😀Nenda kanunue jeans na kadeti Orijino pale Oilcom Veterinary Kuna duka Huwa wanaouza OG tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Beigani wanauza labda nitapat mchumba nikamfanyie shopping[emoji3]
Hakuna namna. Ukitaka nguo au kiatu cha mchina OG kwa Bongo utakipata kwenye mtumba na siyo Dukani. Na ukitaka kujua kwamba hizi nguo za Dukani Bongo ni fake hata wachina wenyewe hawazivai🤣🤣Yani zile cadet acha kabisa hazichuji Wala hazipauki tutavaa tu malonya ya wazungu 😂😂Kwakweli
Nguo za Frank nimenyoosha mikono sina hamuKuna vigauni nilichukua kwa Frank Knows, kamoja ni loose dress material ya cotton. Kila napokifua, nikivaa kinazidi kuwa kifupi.
Kengine kalitoa mapelee 😂😂 mifuo miwili tu hakatamaniki.
Heri hata vunja bei.Nguo za Frank nimenyoosha mikono sina hamu
Hamna kitu, ni midosho iliyochangamka, I know the place. Kama unataka nguo kali OG mitumba grade A, nenda Kinondoni kabla hujafika mataa ya Morocco ukiwa unatokea Biafra kuna jamaa anajiita White Collection. Yupo karibu na Safari Automotive. Achana na hayo maduka yao ya midosho. Or jipange uingie WoolWorths.Beigani wanauza labda nitapat mchumba nikamfanyie shopping😀
Kwa Fred za watoto vipi nisije kujichanganya na kaela kangu ka mawazo😂😂Heri hata vunja bei.
Naona T shirt zake angalau
Frank kwenye heels yuko poa.
Hao uliowataja wote hakuna anaeuza nguo. Mnauziwa reject za Viwandani. Huwezi nunua jeans mpya OG kwa 20k. Never ever.Heri hata vunja bei.
Naona T shirt zake angalau
Frank kwenye heels yuko poa.
SijajuaKwa Fred za watoto vipi nisije kujichanganya na kaela kangu ka mawazo😂😂
Kuna kale karaha babe kavaa kapendeza jamni Sio mnafatana ke umependeza mwenzio jeans anapandisha pandisha inaporomoka 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya Jeans me sijui.Hao uliowataja wote hakuna anaeuza nguo. Mnauziwa reject za Viwandani. Huwezi nunua jeans mpya OG kwa 20k. Never ever.
Alooo sikuwahi ku imagine kama upo na masikhara kiasi hicho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kale karaha babe kavaa kapendeza jamni Sio mnafatana ke umependeza mwenzio jeans anapandisha pandisha inaporomoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]