Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Nachojua kila nguo inakuwaga na maelekezo yake namna ya kuitumia ili ikae mda mrefu
Mfano kuna ambazo hutakiwi kutumia sabuni kali hutakiwi kuanika kwenye mwanga mkali wa jua etc
 
Ina haki ipaukee πŸ˜‚πŸ˜‚
Hyo haipauki sasa mana niliamua kutest kununua huko huko, yani hyo cadet boss huku inauzwa 45000 , wakat huku ukinunua cadet zetu hz za 17000-25000 , aisee andaa ndoo nzima kufulia jeans moja tuu mana hyo rangi sjui kama utamix na nguo zingine
 
Kuna vigauni nilichukua kwa Frank Knows, kamoja ni loose dress material ya cotton. Kila napokifua, nikivaa kinazidi kuwa kifupi.

Kengine kalitoa mapelee πŸ˜‚πŸ˜‚ mifuo miwili tu hakatamaniki.
πŸ˜‚Inakera mno unatamani uirudishe dukani mie napata tabu sana na mitandio Yani ukiweka kwenye maji yanabadilika rangi sikuhiz nitakuwa nanunua yenye asili ya shiffon hata magaun nilojaribu kununua ya dizain hiyo Yako vizuri ila hiz zingine ni majanga
 
Kuna vigauni nilichukua kwa Frank Knows, kamoja ni loose dress material ya cotton. Kila napokifua, nikivaa kinazidi kuwa kifupi.

Kengine kalitoa mapelee πŸ˜‚πŸ˜‚ mifuo miwili tu hakatamaniki.
πŸ˜‚πŸ˜‚Magauni yakuwa km kijora Sasa ukute Ina kampira siku mbili inatoka kiunoni🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…