Ni njia ipi nzuri ya kufua Nguo ili zidumu na ubora wake kwa muda mrefu bila kufifia rangi/kuchuja?

Ni kweli hatuwez kumudu nguo og unafikiria ununue nguo laki mbili aisee ni ghali Kwa maisha tunayoishi wengi
Shida wafanyabiashara nao wanatuponza mno na hizo lonya wanazotuletea. kuna vibrand flani flani hivo vina nguo bei za kawaida, ni nzuri na quality nzuri.

Mwaka 2018 nilinunua vi body suits vya mafungu SA, vya H&M na Zara. Nikanunua dozen. Ni cheap tu, na quality yake nzuri sana nilivaa hadi nikachoka wakavigawana madogo vikiwa bado vizuri kabisa.

Kuna nguo ni nzuri na cheap huku haziletwi sijui...
 
Its simple bro,kwa jeans nunua zile original ingawa ni bei kali. Zipo hadi laki moja kwa jeans moja au tshirt 50,000. Pili kuwa na nguo nyingi ili usirudie sana nguo na hence usifue mara kwa mara. Tatu nguo kama jeans haifuliwi mara kwa mara kwa mwaka iwe hata mara 4 hadi 5( uwe nazo nyingi). Nne tumia sabuni original kama vile Omo acha na zile sabuni za kupima tsh 500. Tano ukianika nguo anua mara tu baada ya kukauka,sio nguo unafua asubuhi inashinda siku nzima hadi kesho jioni.
 
Yaah SA Hii fursa ya nguo nimeiona na ni rahisi sana kwa upande wangu

Shida moja ya waTanzania walio wengi ni wanapenda Vitu cheap jamani yaani Yupo radhi anunue Vya 10.000 hata Mia ajaze ndani ila siyo kitu cha 100,000 kimoja [emoji119]
 
We ni seme tu
 
Au Nunua nyingi zisizo na ubora uwe unabadilisha Mara kwa mara
Afadhali hii 🤣
zikiwa nyingi ndani ya mwezi ukivaa mara 2/3 huwezi ona tumefubaa chap chap
 
Afadhali hii [emoji1787]
zikiwa nyingi ndani ya mwezi ukivaa mara 2/3 huwezi ona tumefubaa chap chap

Ila kwa mwanaume Hapana
Ajichange tu
Jeans zake 10
Za kitambaa 5(depends na majukumu)
Cardet 10
Track 5
Shorts Kama anavaa 5
T shirt round 10
T shirt V 6
T shirt form 6 10
Shati mikono mifupi 10
Shati mikono mirefu 10
 
Yaah SA Hii fursa ya nguo nimeiona na ni rahisi sana kwa upande wangu

Shida moja ya waTanzania walio wengi ni wanapenda Vitu cheap jamani yaani Yupo radhi anunue Vya 10.000 hata Mia ajaze ndani ila siyo kitu cha 100,000 kimoja [emoji119]
Siku ukiwa tayari tuyajenge...... Tukikomaa labda tutatengeneza costumer base yetu.

Kule bwana nguo nzuriiiii....Afu bei kawaida sana.
 
Siku ukiwa tayari tuyajenge...... Tukikomaa labda tutatengeneza costumer base yetu.

Kule bwana nguo nzuriiiii....Afu bei kawaida sana.

Nipo tayari muda wote
Nikitaka mzigo hata kesho unafungwa unakuja
Shida ni hao watejaa
Yaani wanatulazimisha tuwauzie maronya
 
Nipo tayari muda wote
Nikitaka mzigo hata kesho unafungwa unakuja
Shida ni hao watejaa
Yaani wanatulazimisha tuwauzie maronya
Balaa! Sisi ndio aina ya watu tunatamani kufanya biashara ili tujiuzie wenyewe 😀
 
Kwa elimu yangu ya Fizikia, Ili nguo idumu na rangi yake(achana na zile zilizopigwa dye )usianike juani.
 
Inategemea na nguo yenyewe, grades (Wenyewe wanaita malonya), hasa zinazo chuja rangi.
Pia;
1. Kuifua mara kwa mara (kupendelea kuivaa/kauka nikuvae).
2. Kuianika juani muda mrefu
3. Aina ya sabuni tunazofulia (Nafikiri Omo na Ariel ni best).
4. Maji ya chumvi yanapausha nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…