Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida wafanyabiashara nao wanatuponza mno na hizo lonya wanazotuletea. kuna vibrand flani flani hivo vina nguo bei za kawaida, ni nzuri na quality nzuri.Ni kweli hatuwez kumudu nguo og unafikiria ununue nguo laki mbili aisee ni ghali Kwa maisha tunayoishi wengi
Kuna vigauni nilichukua kwa Frank Knows, kamoja ni loose dress material ya cotton. Kila napokifua, nikivaa kinazidi kuwa kifupi.
Kengine kalitoa mapelee [emoji23][emoji23] mifuo miwili tu hakatamaniki.
Hizi bei wana wekeaga sifa au ndo vile wakiuza vitatu kwa mwezi ni sawa tu kwaoPale woolworth zipo mpaka za 500k, hata wakisema wana discount 50% kaa mbali, usiende.
Watu wananunua Magari ya mamilion online Kwa picha sembuse hizo nguo za elfu 10 kumi!Ni kweli inawezekana tumekosa iyo elimu ya kuagiza lkn tunakosa uhakika na unachoagiza mara nying picha sio uhalisia wa kitu
Kim Jong Jr
Sasa mbona kama unanisema jamani😂😂Watu wananunua Magari ya mamilion online Kwa picha sembuse hizo nguo za elfu 10 kumi!
View attachment 2597553View attachment 2597554View attachment 2597555
Shida wafanyabiashara nao wanatuponza mno na hizo lonya wanazotuletea. kuna vibrand flani flani hivo vina nguo bei za kawaida, ni nzuri na quality nzuri.
Mwaka 2018 nilinunua vi body suits vya mafungu SA, vya H&M na Zara. Nikanunua dozen. Ni cheap tu, na quality yake nzuri sana nilivaa hadi nikachoka wakavigawana madogo vikiwa bado vizuri kabisa.
Kuna nguo ni nzuri na cheap huku haziletwi sijui...
We ni seme tuInategemea na jinsi unavyotumia nguo zako, Kuna watu anaweza kaa na nguo mwilini kea muda wa siku 3 kuendelea bila kabadilisha,afu kazi anazofanya Zina nature ya uchafu mwingi sana.
Nguo inakuwa imechafuka Sana na kufua ing'are Ni shughuli pevu Yaani lazima utumie brush ndo itakate.Sasa nguo Kama hiyo itakosaje kuchakaa?
Afadhali hii 🤣Au Nunua nyingi zisizo na ubora uwe unabadilisha Mara kwa mara
Kuna zile za mo29, jamanii zina harufu kali. Nilitumia nikapata mafua, sina hamu nazo!kuna hizi za buku jero wanachanganya na unga wa dona kwanza hazina povu na zinapausha kabisa..
Afadhali hii [emoji1787]
zikiwa nyingi ndani ya mwezi ukivaa mara 2/3 huwezi ona tumefubaa chap chap
Siku ukiwa tayari tuyajenge...... Tukikomaa labda tutatengeneza costumer base yetu.Yaah SA Hii fursa ya nguo nimeiona na ni rahisi sana kwa upande wangu
Shida moja ya waTanzania walio wengi ni wanapenda Vitu cheap jamani yaani Yupo radhi anunue Vya 10.000 hata Mia ajaze ndani ila siyo kitu cha 100,000 kimoja [emoji119]
Siku ukiwa tayari tuyajenge...... Tukikomaa labda tutatengeneza costumer base yetu.
Kule bwana nguo nzuriiiii....Afu bei kawaida sana.
Yes🤣Pale woolworth zipo mpaka za 500k, hata wakisema wana discount 50% kaa mbali, usiende.
Balaa! Sisi ndio aina ya watu tunatamani kufanya biashara ili tujiuzie wenyewe 😀Nipo tayari muda wote
Nikitaka mzigo hata kesho unafungwa unakuja
Shida ni hao watejaa
Yaani wanatulazimisha tuwauzie maronya
Kwa elimu yangu ya Fizikia, Ili nguo idumu na rangi yake(achana na zile zilizopigwa dye )usianike juani.![]()
Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable.
Huwa nasikitika sana nimenunua nguo lakini nikifua tu mara mbili ama mara tatu ni hohe hahe, nguo inakuwa imeanza kufifia na kuchuja, hapa kukwepa aibu ni kununua tu nyingine ila bajeti nayo inapigwa na upepo wa kisuli suli.
Nguo zenyewe hususani ni hizi jeans na cardets hata za mitumba zilizovaliwa sana huko lakini huku zikifika ukifua mara 4 mara 5 shida yani.
Tunakwepa sabuni za unga tunatumia sabuni za vipande lakini wapi, Kuna jeans yangu niliipenda sana niliifua kama mara tano hivi haitamaniki
Ni vipi tunaweza kufua nguo kwa kuhakikisha zinakaa muda mrefu?
[emoji23][emoji23]kuna washkaji wanaloweka nguo mpaka siku tatu mpaka maji yananuka uvundo flani hivi,alafu ndio vinara wa kataa ndoa.