Kama Bado unaamini wewe ni mwafrika uliyelaaniwa,Huyo Mungu anatafutwa kwani amejificha?
Anacho jifichia ni nini? Hadi atafutwe?
Kwamba kigezo cha bara au taifa fulani kufanikiwa ni kuwa na hofu ya Mungu?
Je Ulaya na America walikuwa na hofu ya Mungu, ndicho kilicho wafanya wafanikiwe?
Una elezea nadharia zisizo na uhusiano wowote wala mantiki kwenye mafanikio ya Taifa.
HAKUNA uhusiano wowote wa Taifa kumjua Mungu na kufanikiwa.
Huyo Mungu anatafutwa kwani amejificha?
Anacho jifichia ni nini? Hadi atafutwe?
Kwamba kigezo cha bara au taifa fulani kufanikiwa ni kuwa na hofu ya Mungu?
Je Ulaya na America walikuwa na hofu ya Mungu, ndicho kilicho wafanya wafanikiwe?
Una elezea nadharia zisizo na uhusiano wowote wala mantiki kwenye mafanikio ya Taifa.
HAKUNA uhusiano wowote wa Taifa kumjua Mungu na kufanikiwa.
Lumumba ni mawakala/madalali wa imperialist wanaotufanya watumwaDuh
Kwani ni Lini tulitoka huko Utumwani?
CHAWA na Waandishi Makanjanja siyo Watumwa?
Ufipa st siyo Utumwani?!😂😂🔥🌟
Ndivyo Dini na imani ilivyo kupumbaza?Hukusoma kuwa,
Kumcha Mungu ni chanzo Cha HEKIMA na MAARIFA?
Naona nchi kama Niger, Bukina Faso na Mali wao wameamua kufanya mabinduzi kuondoa vibaraka madarakani na kuwafukuza wanyoji kwa nguvu! Wakati wenzetu wakiwafukuza vibaraka sisi tunaendelea kugawa mali asili zetu kwa wanyonyaji na mbaya zaidi tunafunguliana kesi kwa kila atayekataa mali zetu apewe mnyonyaji.Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara.
Huwa naumia sana nikiona na kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni.
Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina onekana wazi wazi.
Kwa hiyo tumeamua kuipuuza historia ya utumwa na ukoloni ya kale na sisi tunataka kutengeneza ya kwetu mpya ?
Katika jambo linalo niumiza na kuwa kama laana kwangu basi mimi kuzaliwa mwafrika hii ni laana kubwa sana kwangu mpaka sasa.
Nimezaliwa katika bara la ajabu ambalo halijali kuhusu future ya vizazi vyake bali matumbo yenye njaa.
Hata kama mimi nimekataa kupata mtoto Afrika lakini naona huruma kwa ndugu zangu kurudishwa utumwani na kwenye ukoloni tena.
Hatujifunzi, kwa nini hatujifunzi ? na kwa nini hatukaki kujifunza ?
Tunaidharirisha ngozi nyeusi duniani kote kuonekana ya kipumbavu na inastahili kubaguliwa kwa kiwango cha juu, kama sio laana Afrika ina nini cha kuifanya isionekane imelaanika.
Afrika ndio bara pekee population kubwa haijitambui kabisa ipo usingizini.
R.I.P Abushiri
R.I.P Kinjekitile
R.I.P Mkwawa
KUZALIWA AFRIKA NA KUWA MWAFRIKA NI LAANA KUBWA SANA
Hao waisraeli wanaoongoza Kwa IQ, waliosaidia Dunia kufanya hayo yote,Ndivyo Dini na imani ilivyo kupumbaza?
Waafrika wangapi wana mcha Mungu na na bado Hawana maarifa yeyote!
Mwafrika hata kutengeneza Simu hawezi ni maarifa gani hayo aliyonayo?
Wazungu wapo level za Artificial intelligence, space exploration na Teknolojia nyingine za hali ya juu wewe umebaki kusema kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa!!!
Naku uliza hivi [emoji116]
Una maarifa gani kumzidi mzungu na mwarabu?
Waafrika wanao mcha Mungu wana maarifa gani kumzidi mzungu na mwarabu?
Naku uliza hivi,Kama Bado unaamini wewe ni mwafrika uliyelaaniwa,
Sina ninaloweza jadiliana nawe sababu Mimi Ni MWAFRIKA NILIYEBARIKIWA sana.
Unakiri kuwa Bara la Africa lina Kila aina ya utajiri na LIMEBARIKIWA?Naku uliza hivi,
Ukiacha Rasilimali ambazo hata wazungu na waarabu walikuwa nazo na wanazo,
Kiakili na kifikra mwafrika amebarikiwa nini?
Madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania pekee lakini anaye ongoza kwa kuuza Tanzanite Worldwide ni India..!!!
Tanzania yenye kila rasilimali lakini Raia wake wengi ni Maskini na serikali yake kila mara ni kuomba mikopo na misaada..!!!
Tanzania yenye vyanzo vingi vya maji kwanzia mito, mabwawa, maziwa makuu, Bahari, chemichemi n.k Lakini watanzania wengi hawana maji safi na salama ya uhakika shauri ya uzembe wa mamlaka na ujinga unao pelekea, Maji ya mgao...!!!
Umeme wa mgao, Huduma za afya duni, miundombinu ya ku unga unga..!!!
Kama hii si Laana,
Sasa niambie hii ni Akili gani au baraka gani aliyo nayo mwafrika????
Si waisraeli pekee wanao ongoza kwa IQ,Hao waisraeli wanaoongoza Kwa IQ, waliosaidia Dunia kufanya hayo yote,
Hujui chanzo Cha Akili na Maarifa Yao?
Huo utajiri hata ulaya upo, waarabu wana mafuta wamebarikiwa na wame yatumia mafuta haya kuwa letea maendeleo.Unakiri kuwa Bara la Africa lina Kila aina ya utajiri na LIMEBARIKIWA?
Sasa aliyelaaniwa amebarikiwaje Kila kitu?
Ni dhahiri, Anayekuaminisha umelaaniwa ni mgeni Ili uendelee kutojitambua.
Mimi si mmoja wao.KUZALIWA AFRIKA NA KUWA MWAFRIKA NI LAANA KUBWA SANA
Ni akili za kitumwa kudhani kuwa kuna mtu katika karne hii atakufunga minyororo shingoni na kukurudisha utumwani, dunia imeshatoka huko.Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara.
Huwa naumia sana nikiona na kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni.
Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina onekana wazi wazi.
Kwa hiyo tumeamua kuipuuza historia ya utumwa na ukoloni ya kale na sisi tunataka kutengeneza ya kwetu mpya ?
Katika jambo linalo niumiza na kuwa kama laana kwangu basi mimi kuzaliwa mwafrika hii ni laana kubwa sana kwangu mpaka sasa.
Nimezaliwa katika bara la ajabu ambalo halijali kuhusu future ya vizazi vyake bali matumbo yenye njaa.
Hata kama mimi nimekataa kupata mtoto Afrika lakini naona huruma kwa ndugu zangu kurudishwa utumwani na kwenye ukoloni tena.
Hatujifunzi, kwa nini hatujifunzi ? na kwa nini hatukaki kujifunza ?
Tunaidharirisha ngozi nyeusi duniani kote kuonekana ya kipumbavu na inastahili kubaguliwa kwa kiwango cha juu, kama sio laana Afrika ina nini cha kuifanya isionekane imelaanika.
Afrika ndio bara pekee population kubwa haijitambui kabisa ipo usingizini.
R.I.P Abushiri
R.I.P Kinjekitile
R.I.P Mkwawa
KUZALIWA AFRIKA NA KUWA MWAFRIKA NI LAANA KUBWA SANA
Laana ili hali wageni wanakuja na bag tupu wanaondoka na mabulungutu.Hakuna baraka bali bara hili limejaa laana
Sidhani kama anaweza kuja na majibu yenye kuingia akilini. Mwarabu anamiliki bandari kule Uingereza ambayo ni nchi iliyotutawala sisi pia.Huo utajiri hata ulaya upo, waarabu wana mafuta wamebarikiwa na wame yatumia mafuta haya kuwa letea maendeleo.
Sasa naku uliza hivi [emoji116]
Waafrika wametumiaje rasilimali zao kuwaletea maendeleo?
True kasoma bila maarifa.Ni akili za kitumwa kudhani kuwa kuna mtu katika karne hii atakufunga minyororo shingoni na kukurudisha utumwani, dunia imeshatoka huko.
Huyu mwarabu aliyewavalisha minyororo mababu zetu na kuwapiga viboko ndio ambaye wajukuu zake wanaendesha DPW, vipi aache kufanya biashara anazofanya dunia nzima kisa historia mbaya ya mababu zake?.
Kibaya zaidi utakuta haya ni mawazo ya mtu mwenye elimu ya juu sana na anao ushawishi na anasikilizwa huko makanisani na kwenye jumuiya mbalimbali tulizonazo!. Mungu alisaidie taifa hili.
Unajikomboa vipi wakati vijana siku hizi wamefungwa minyororo kichwani wanawaza kuzamia UlayaKwani ni lini Afrika ilipata Uhuru! Bado tuko utumwani.
Tuanze harakati za kujikomboa.
Kwa Mikataba hii ya madini na bandari unadhani Sisi ni watu huru? Aibu sana
Najivunia kuzaliwa Afrika Bara lenye kila aina ya neema,utii,nidhamu,chakula na watu wazuri wenye ngozi himilivu.Tatizo ulafi wa viongozi unafanya sisi Waafrika tuonekane kuwa hatuna akili.Lakini turidhike na hali zetu ambazo ndiyo zawadi ya bure tuliyopewa na Mwenyezi Mungu,kuzaliwa Afrika siyo laana bali ni baraka japokuwa tuna matatizo ya kiutawala.Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara.
Huwa naumia sana nikiona na kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni.
Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina onekana wazi wazi.
Kwa hiyo tumeamua kuipuuza historia ya utumwa na ukoloni ya kale na sisi tunataka kutengeneza ya kwetu mpya ?
Katika jambo linalo niumiza na kuwa kama laana kwangu basi mimi kuzaliwa mwafrika hii ni laana kubwa sana kwangu mpaka sasa.
Nimezaliwa katika bara la ajabu ambalo halijali kuhusu future ya vizazi vyake bali matumbo yenye njaa.
Hata kama mimi nimekataa kupata mtoto Afrika lakini naona huruma kwa ndugu zangu kurudishwa utumwani na kwenye ukoloni tena.
Hatujifunzi, kwa nini hatujifunzi ? na kwa nini hatukaki kujifunza ?
Tunaidharirisha ngozi nyeusi duniani kote kuonekana ya kipumbavu na inastahili kubaguliwa kwa kiwango cha juu, kama sio laana Afrika ina nini cha kuifanya isionekane imelaanika.
Afrika ndio bara pekee population kubwa haijitambui kabisa ipo usingizini.
R.I.P Abushiri
R.I.P Kinjekitile
R.I.P Mkwawa
KUZALIWA AFRIKA NA KUWA MWAFRIKA NI LAANA KUBWA SANA
Miaka ya zamani kabla ya uwepo wa mashine za kufanya kazi, Watumwa ndio ilikua njia pekee ya kurahisisha ufanyaji kazi.Of course maendeleo ya USA, Ulaya, Uarabuni yameletwa na ukatili mkubwa na wa ajabu. Red Indians kutokomezwa karibu America nzima. Biashara ya utumwa Watumwa kuwatumikisha mamilioni kwa mamilioni ya kwa zaidi ya miaka 600 wazungu, 1300 waarabu.
Wametuachia souvernir ya dini, udini, ukabila tutsi, hutu tuendelee kutengana na kupigana.