Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #81
Sukuma gang wameshajitoa kwenye hilo kundi. Na hao wapo Milioni 8Hoja za kujifariji hizi. CCM nchi nzima ina wanachama milioni 12.5 bado wale wapiga kura wapya inaowapata siku za kuelekea uchaguzi mkuu.
Lissu akijitahidi sana atapata asilimia saba au nane ya kura zote zitakazohesabiwa.Sukuma gang wameshajitoa kwenye hilo kundi. Na hao wapo Milioni 8
Hatujaweza waliochukizwa na utaratibu wa kuteua wagombea Dodoma.
Ili tukagoogle au sioThis is serendipity.
Unatakiwa kujua bila ku Google.Ili tukagoogle au sio
Wapi nimekwambia hilo ni tatizo lako ?Unatakiwa kujua bila ku Google.
Ukiwa hujui uka Google pia utakuwa umeongeza msamiati.
Tatizo si mimi, hicho ni Kiingereza cha kawaida tu.
Tatizo ni wewe, hujui hata Kiingereza cha kawaida tu.
Nimewaona akina Laki Si Pesa waliokimbia enzi za Magu, nikashangaa sana.Kuanza kurudi kwa ma propagandists wa siku nyingi humu jamvini kama makada @Ritz @Laki Si Pesa ni ushahidi tosha kuwa Chama cha Mapinduzi kina hali mbaya sasa. Hii inaonesha tu, hadi mitandaoni wameona watu wao kina @Lucas Mwashamba @ChoiceVariable @Tlaatha na wengineo wameshindwa kazi.
Inaonekana una maumivu makali sanaKwa kuwa mumemchagua kibaraka Lisu kutoka Jupiter au? 😆😆
Sijasema umeniambia hili ni tatizo langu.Wapi nimekwambia hilo ni tatizo lako ?
Hicho kingereza cha kawaida ndio kingereza gani ?
Kwa nini?Inaonekana una maumivu makali sana
Tangu Lissu aje Madarakani una hasira muda wote😃😃Kwa nini?
Hasira za nini? Makamu Mwenyekiti sio madaraka?Tangu Lissu aje Madarakani una hasira muda wote😃😃
Mama alimuona Simba zoo, akajikuta anamuita simba huyo TAL. Waza mama Kizimkazi aliwaza nini utaelewa.Mtu aliyeitetemesha CCM ni Mbowe, na tumefanikiwa kumuondoa kupitia Lissu. Sasa hivi ni iyena iyena tu.
Iwapo wamekomaa wanawezaje kupeleka ugomvi kwa jirani mpole na mtulivu wenye nia njema na wote .chadema ndio wanatutafuta uchokozi uzuri chama cha mapinduzi ni kikomavu kisiasa huko tumeshapita ndugu
Ila ni nini?Hasira za nini? Makamu Mwenyekiti sio madaraka?
Wapewa 5000 per dayAlafu naskia wanavuta parefu kichizi yaaani kwa kuletaga uharo wao humu jamvini
Soma.mtiririko wa mjadalaIla ni nini?
Wang'atane hata masikio yao poa tu.Hapa Lumumba hali ni tete
Nitamuuliza Tlatlaah au Luca watanifafanuniliaSoma.mtiririko wa mjadala