Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Dada angu naamini Kuna boda wengi tu wanakuchapa kiuwezo
Unatako kuwa boda boda?kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda
kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Mie niwe tukutukuUnatako kuwa boda boda?
Shida ni wake zenu sio bodaboda.Hiki ni kilio Cha wengi sio yeye peke yake
tajiri mi mbona nshakuelewaYaani bado mnavichwa vigumu kuelewa ...yaani mtu anatafuta mtaji ananunua boda moja kwa uadilifu na heshima ya pesa ananunua nyingine na zinaendelea kuzaliana na kwa boda ukisha kuwa nazo 10 tu ni rahisi mno kila mwezi ikawa unanunua boda moja Ila Hawa jamaa wamewekeza Hadi kwenye bajaji.
Hivyo pamoja na pesa zote hizo bado ni bodaboda bukubuku zenu wanachukua ...Ila siku za weekend ndio utawaona na ndinga zao.
Mkuu wewe ni boda boda?[emoji38][emoji38] tatizo kuna watu mmejipa standard Sana na moja ya sababu zinazo wafanya mmegewe wake zenu na boda ni hizo dharau zenu.
Bro wanawake hawapendi wanaume wenye dharau hata kidogo.
Mwanamke anaweza akakusamehe zambi ya uchepukaji Ila habari za zarau hakusamehi kamwe na ni ngumu.
So dharau zenu ndio zinawaponza alafu mzee boda boda ni wanaume Kama wewe kwenye mapenzi so punguza dharau
Tatizo watu mna underestimate watu [emoji1][emoji1][emoji1] huyo mwenzenu anawazarau bodaboda matokeo yake wamemdinuia mkewe saizi anakuja kulia Lia humu [emoji38][emoji38][emoji38]usikute na makondakta ni hivo hivo [emoji849] mchana ananing'inia mlangoni usiku unadumbukia kwenye harrier yake....
Sasa Kama watu wanawapa hela wakina Dada kwa Nini wasiwanyandueWee umekaa kimaslahi zaidi! Yaani mtu akikuzidi kipato ndio ulale naye wakati wee ni mchumba/mke wa mtu?
Haya bwanaSi hao maboya unao shinda nao Sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu nakubaliana na wewe, kuna ndugu yangu mmoja baada ya kumaliza form 6 miaka mi3 iliyopita aligoma kabisa kuendelea na chuo, badala yake alinunua pikipik mpya na kuanza u-bodaboda ilikuwa ngumu mwanzoni maana wazee walimkalia sana vikao wakidai anadhalilisha familia (kutokana na asili ya kiarabu tuliyonayo)Yaani bado mnavichwa vigumu kuelewa ...yaani mtu anatafuta mtaji ananunua boda moja kwa uadilifu na heshima ya pesa ananunua nyingine na zinaendelea kuzaliana na kwa boda ukisha kuwa nazo 10 tu ni rahisi mno kila mwezi ikawa unanunua boda moja Ila Hawa jamaa wamewekeza Hadi kwenye bajaji.
Hivyo pamoja na pesa zote hizo bado ni bodaboda bukubuku zenu wanachukua ...Ila siku za weekend ndio utawaona na ndinga zao.
Umeandika kwa hisia sanaa mkuu...ukichanganya na ile 100 mama aliyoirudisha kwenye tozo ya mafuta basi ni kisirani tupu[emoji38][emoji38] tatizo kuna watu mmejipa standard Sana na moja ya sababu zinazo wafanya mmegewe wake zenu na boda ni hizo dharau zenu.
Bro wanawake hawapendi wanaume wenye dharau hata kidogo.
Mwanamke anaweza akakusamehe zambi ya uchepukaji Ila habari za zarau hakusamehi kamwe na ni ngumu.
So dharau zenu ndio zinawaponza alafu mzee boda boda ni wanaume Kama wewe kwenye mapenzi so punguza dharau
Jombaa sio mm nilie dinyiwa [emoji1]Shida ni wake zenu sio bodaboda.
Mm sio tajiri bana hao boda ndio tajiritajiri mi mbona nshakuelewa
Hapana Ila ninawafaham baadhiMkuu wewe ni boda boda?
hiki ndo chanzo cha mimi kuwa single mpaka hivi leo kitu DHARAU Mungu wangu!!!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji38][emoji38] tatizo kuna watu mmejipa standard Sana na moja ya sababu zinazo wafanya mmegewe wake zenu na boda ni hizo dharau zenu.
Bro wanawake hawapendi wanaume wenye dharau hata kidogo.
Mwanamke anaweza akakusamehe zambi ya uchepukaji Ila habari za zarau hakusamehi kamwe na ni ngumu.
So dharau zenu ndio zinawaponza alafu mzee boda boda ni wanaume Kama wewe kwenye mapenzi so punguza dharau
Tatizo humu watu ni wabishi Sana na wanadharau sana.Mkuu nakubaliana na wewe, kuna ndugu yangu mmoja baada ya kumaliza form 6 miaka mi3 iliyopita aligoma kabisa kuendelea na chuo, badala yake alinunua pikipik mpya na kuanza u-bodaboda ilikuwa ngumu mwanzoni maana wazee walimkalia sana vikao wakidai anadhalilisha familia (kutokana na asili ya kiarabu tuliyonayo)
Lakini jamaa aligoma kabisa kuwasikiliza na wazee wakafanya kama kumsusa maana alionekana hana adabu. Lakini hivi sasa ninavyokuambia ana bodaboda jumla 32 na yeye bado anapiga kazi, na ana mjengo wa maana na gari ya kutembelea kaiweka uani kwake. Ila still bado ni bodaboda.
Watu hawaelewi ...mwanamke atakusamehe yote Ila dharau hata aje papa akuombee msamaha yaani hauta fanya kitu ....na hasahau kamwehiki ndo chanzo cha mimi kuwa single mpaka hivi leo kitu DHARAU Mungu wangu!!!!![emoji24][emoji24][emoji24]
ππππ Sawa mkuu. Nikajua na wewe umedinyiwaJombaa sio mm nilie dinyiwa [emoji1]
ππUtakuwa bodaboda wewe... Hahahaaa...