antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
πππ...Kua na mda na mkeo halafu mkanye mkeo kua na bodaboda wake, ikibidi mnunulie gari walau basi awe analiwa na mafundi garage ππ.
Wadada wooote wanapenda buree, kama ana boda boda wake ujue hamlipi kwa pesa, atalipwa kwa pochi nyoyaa. Kaa kwa pattern mkuu.kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda
kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Red card hutolewa baada ya tukio kutokea! Na siyo kabla. [emoji20]
Hapa ndo bodaboda wanapopenyea ..... Unabaki unajiuliza bodaboda amefuzu vipi kwenye playoff ya Ndoa yako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanamke ni mtu wa kupenda kulipa kwa kila unachomtendea.
Me nnavojua redcard inatokea baada ya tukio .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kabla ya Nini?
Mwanamke ni mtu wa kulipa fadhila. Ukiona hata mkeo anapanda panda lift ya mjuba jua the clock is tickingHapa ndo bodaboda wanapopenyea ..... Unabaki unajiuliza bodaboda amefuzu vipi kwenye playoff ya Ndoa yako [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtoto mzuri njoo Pm ubadili wazo la kua single tuwe Multiple in a single R/shiphiki ndo chanzo cha mimi kuwa single mpaka hivi leo kitu DHARAU Mungu wangu!!!!![emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa uzoefu huwa unapewa redcard baada ya tukio,, hiyo Ni kwako wengine Ni kabla ya matukio,, halafu unanichefua we utakavyo fikiria Ni hivyo usinichoshe aiseeMe nnavojua redcard inatokea baada ya tukio .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakika,Ni kutojiwekea mipaka tu, kuna mmoja aliwahi kuleta mazoea hayo nilimpa kadi nyekundu na nilimwambia direct uteja ufe sababu ya mazoea ya kishenzi uliyoanzisha siwezani na kuendana nayo,
Tunajua kuhonga pia sio mabahili, ila tukiipata hatuwezi kutunza ni ya kuchakatia wanawake walafi, pia tupo muda wote pale watakapo tuitaji iwe kwa usafiri au kutoka nao out,pia tunawaliwaza wake zenu mnapokuwa makazini.πππkwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda
kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
..... chemistry [emoji4][emoji109]Kuna wanaume huwa wanasex na house girls, Barmaids n.k
Sababu ni zilezile tuu.
Hizo ni za kwenye futiboliRed card hutolewa baada ya tukio kutokea! Na siyo kabla. π
Asante kaka kwa kuongeza neno lakoHakika,
maZoea bila mipaka Ni majanga
Labda hawataki kulipia usafirikwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda
kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua
Kabisaa kabisaa!wewe ni Mimi boda boda ibaki kati ya mteja na bosi wako not otherwiseNi kutojiwekea mipaka tu, kuna mmoja aliwahi kuleta mazoea hayo nilimpa kadi nyekundu na nilimwambia direct uteja ufe sababu ya mazoea ya kishenzi uliyoanzisha siwezani na kuendana nayo,
Mtazamo wa wengi kuwa bodaboda ni mtu duni au?[emoji28]Kabisaa kabisaa!wewe ni Mimi boda boda ibaki kati ya mteja na bosi wako not otherwise
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app