Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Alichoeleza kinaeleweka ila Hujaelewa KirangaHizi sasa fix mkuu. Huwezi sema watakuwa nusu maana ukumbuke pia tutakuwa na huduma bora hivyo watu wataishi longaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichoeleza kinaeleweka ila Hujaelewa KirangaHizi sasa fix mkuu. Huwezi sema watakuwa nusu maana ukumbuke pia tutakuwa na huduma bora hivyo watu wataishi longaaaa
Kwanza kabisa, sijaandika watakuwa nusu, nimeandika kizazi kitakuwa nusu.Hizi sasa fix mkuu. Huwezi sema watakuwa nusu maana ukumbuke pia tutakuwa na huduma bora hivyo watu wataishi longaaaa
Suala la kuzaa watoto wangapi, au kutozaa kabisa, ni la utashi wa mtu binafsi. Ni haki ya mtu binafsi. Hapo hakuna mwanya wa haki hiyo kuingiliwa bila kuvunja haki za kikatiba na za kibinadamu za huyo mtu.Wkt naanza maisha ya kujitegemea nilikutana na mzungu wa kike, ktk story ikaja issue ya idadi ya watoto wangapi ni nzuri kua nayo. Kwa haraka sana alipinga kua na mtoto mmoja na akatolea maelezo.
Kwao kazaliwa peke yake na wazazi wake ni wazee. Kuna siku baba yake aliugua sana na kulazwa hospital, mama kwa uzee wake hakuweza kumuhudumia baba kwahiyo yy akabeba jukumu lote na kwa siku zote mpaka alipotoka.
Anasema alitaabika sana sbb by that time alikua na mtoto mchanga akawa anawaza wangekua wawili angalau mzigo ungepungua kwake.
Anadai hata wazazi wake pia waliona mapungufu kuwa na mtoto mmoja kipindi mzee anaugua lkn ndo umri umemtupa.
Kwangu binafsi: Mimi naishi Arusha, mzee wangu yupo Dar aliugua mbaya najiuliza vp ningekua ndo mtoto pekee? Japo wanaume tupo wawili na madada 3 jumla 5 mzigo tumeudistribute vzr kwa wote kupunguza maumivu.
Kuna ndugu zangu kwao wako 11, ikitokea shida hata iwe kubwa kiasi gani jinsi inavyotatuliwa kirahisi mpaka raha.
All ni all kama upend watoto wengiiiiii basi angalau wawe wawili, peleka shule, lea vzr the rest muachie Mungu.
Punguza papara na stress zako, acha kupaniki.Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike,
Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mm kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Ana jiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.
(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano).
Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.
Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?
Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Mkuu Kiranga umefika mbali sana huko but I salute ur comment though!!!!.Suala la kuzaa watoto wangapi, au kutozaa kabisa, ni la utashi wa mtu binafsi. Ni haki ya mtu binafsi. Hapo hakuna mwanya wa haki hiyo kuingiliwa bila kuvunja haki za kikatiba na za kibinadamu za huyo mtu.
Ila.
Kuzaa kwa hesabu zozote za watoto kuja kukusaidia kwa namna yoyote baadaye ni aina fulani ya biashara, tena biashara ya utumwa.
Watu wanatakiwa wazae bila mategemeo yoyote ya kulipwa fadhila yoyote na watoto, hata ya kutunzwa uzeeni. Wajiwekee mipango yao wenyewe.
Kwa sababu.
Kwanza mtu hawezi kujua kwamba mtoto wake ataishi maisha marefu kumpita yeye. Inawezekana mtoto akafariki awali.
Pili, si maadili mema kuzaa kwa lengo la kibiashara. Kwamba mimi namzaa mtoto namtunza ili naye aje anitunze. Hiyo si familia, hiyo ni biashara ya kutunzana.
Vipi kama mtoto hana interest yoyote ya kutunza wazazi, yeye anataka kuishi kwa uhuru wake akae mbali akiendesha maisha yake? Hiyo ni haki yake. Utataka aache maisha yake amtunze mzazi?
Hiyo ni sababu moja ya kibinafsi kabisa ya kuzaa watoto.
Sisemi kwamba kumtunza mzazi ni kitu kibaya, nasema kwamba, mzazi kuweka mahesabu kwamba nazaa watoto wengi waje kunitunza vizuri baadaye ni kama kuwafanya wale watoto ni watumwa wake, kazaa watumwa wengi waje kumtumikia, kawekeza kibiashara, hajazaa kifamilia.
Umeandika nini sasa hapaPunguza papara na stress zako, acha kupaniki.
Kama shida ni mzazi mwenzio kuwa mbali na Sasa unahisi unahitaji mtoto mwingine, usiulize watu humu maswali ya kutoto..!
Tafuta mwanamke mwingine weka Mimba.
Huyo mtoto wa Uingereza sio wako tena, tafuta mwingine.
Siye tumezaliwa wawili nami nimezaa wawili.....mdogo wangu yupo mbali kidogo na home Mimi niliyekaribu na home ndo nimejua umuhimu wa watoto...mama kalazwa majuzi nilivyotingwa ni tofauti na tungekuwa wengi...mdogo wangu anafika mi nipo hoi.....lazima niongeze mtoto au watoto wawiliHabari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.
Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.
(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.
Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?
Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Sahihi KabisaWkt naanza maisha ya kujitegemea nilikutana na mzungu wa kike, ktk story ikaja issue ya idadi ya watoto wangapi ni nzuri kua nayo. Kwa haraka sana alipinga kua na mtoto mmoja na akatolea maelezo.
Kwao kazaliwa peke yake na wazazi wake ni wazee. Kuna siku baba yake aliugua sana na kulazwa hospital, mama kwa uzee wake hakuweza kumuhudumia baba kwahiyo yy akabeba jukumu lote na kwa siku zote mpaka alipotoka.
Anasema alitaabika sana sbb by that time alikua na mtoto mchanga akawa anawaza wangekua wawili angalau mzigo ungepungua kwake.
Anadai hata wazazi wake pia waliona mapungufu kuwa na mtoto mmoja kipindi mzee anaugua lkn ndo umri umemtupa.
Kwangu binafsi: Mimi naishi Arusha, mzee wangu yupo Dar aliugua mbaya najiuliza vp ningekua ndo mtoto pekee? Japo wanaume tupo wawili na madada 3 jumla 5 mzigo tumeudistribute vzr kwa wote kupunguza maumivu.
Kuna ndugu zangu kwao wako 11, ikitokea shida hata iwe kubwa kiasi gani jinsi inavyotatuliwa kirahisi mpaka raha.
All ni all kama upend watoto wengiiiiii basi angalau wawe wawili, peleka shule, lea vzr the rest muachie Mungu.
AiseeMkuu,
Mimi ni kama wewe, nilipata mmoja tu nikaridhika.
Kama unapenda dunia iendelee kuwa na watu, unatakiwa angalau kuwa na watoto wawili.
Actually kimahesabu ya takwimu tunatakiwa kuwa na average ya watoto 2.1, hii ndiyo replacement rate.
Ukiwa na mtoto mmoja wewe, na dunia nzima ikiwa na mtoto mmoja average, maana yake kizazi kinachofuata kitakuwa nusu ya kizazi hiki, na kinachokifuatia kitakuwa nusu ya hiki, mpaka kizazi kitaisha.
Do you even understand what a server is??Swali hilo ulipaswa kuwauliza wazee wako, mnatujazia server tu humu.
Mkuu wewe humu ni kama Senior sikutegemea kama ungemjibu maneno haya Tena mtoto wa kike.Kibaya zaidi una heshima kubwa humu mwenye thread kapotezea wewe ukaamua kununua kesi.Naamini sio Kiranga yule tunayemjua kama atakuwa ni yeye basi account Kuna wahuni wamehack.Aah, wewe unaweza kuona ukweli kumbe unatuletea shombo tu.
Mtu kauliza swali, hajakuuliza wewe.
Anapata michango ya watu wengine kumjibu.
Wewe kinachokuuma nini?
Kama hupendi hiyo mada kwa nini usiiruke tu uende kwenye mada unazopenda?
Ulitaka kumzalia mtoa mada mtoto wa pili akakukatalia, ndiyo maana unatuletea kisirani chako hapa?
Au uko mwezini unasumbuliwa na hormones?
Kuna mwingine dereva wa superfeo au newforce wakati anazikwa alikuwa 30 ana watoto 13 au 19.. Hadi mc akasema makofi kwake..Mkuu tumepigwa bao 41-1 na mpiga bass wa "Bob Marley and the Wailers" Aston "Family Man" Barret aliyefariki February 3 2024 akiwa na miaka 77.
Jamaa alipata watoto 41 katika maisha yake.
Huyu legend hakutegeategea kazi.
![]()
Aston ‘Family Man’ Barrett, bassist with Bob Marley and the Wailers, dies aged 77
Influential musician also co-produced group’s albums and mentored many Jamaican artistswww.theguardian.com
Italy wamepunguza population tena wana mpango wa kupungua zaidi.Inaweza kufikia mpaka nchi kuishiwa na watu kabisa.
Hili tatizo linaonekana kama utani, ila South Korea wanalipitia sasa hivi.
Kuna kampuni ya ujenzi ya South Korea inatoa fedha kiasi cha US dollar 75,000 kwa kila mfanyakazi ambaye amepata mtoto ndani ya miaka miwili iliyopita, au atakayepata mtoto.
Hii ni kupambana na "population decline" huko South Korea.
Watu wamegoma kuzaana.
Mtihani ni kwamba, inaonekana kuwa kadiri nchi zinavyopata maendeleo ya kiuchumi na watu kuelimika, na maisha kupanda gharama, watu wanaamua kuzaa watoto wachache zaidi.
![]()
A South Korean firm is offering to pay its workers $75,000 each time they have a baby
Seoul (CNN) — A South Korean company is ready to pay million of dollars to help fix the country’s abysmally low birth rate.auburnpub.com