Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Watu wawili muungane halafu mzae mtoto mmoja basi binadamu wataisha.

Kule Tailand kuna kisiwa watu hawataki kuzaa ila tambua hilo kundi lenye imani hiyo lishaanza kutokoweka maana wanakufa bila ya kuzaliana...Dunia haiwezi kuvumilia mitazamo ya kipumbavu la sivyo mtapotea wote.
kwani tukizaana wengi kuna faida gani kwa dunia ya sasa?
 
Weee komaaaa, huyo mgumba anazo mbegu za kuzalisha kwanza, nyie wote wagumba mmejaribu wee imeshindikana ndio mnakuja kujishaua hapa ooh mtoto mmoja inatosha badala muombe tiba ya ugumba wenu mnataka kujifariji washamba wakubwa,

Ikikuuma chomoa
You are a despicable miscreant spewing pure excrement out of all your orifices.

Wewe huna unachoweza kujibizana na mimi zaidi ya logical fallacies kama hizi za ad hominem attack.

Ni wazi hujasoma, huelewi uhuru wa mtu binafsi ni nini, huelewi haki za kikatiba ni nini, huelewi haki za binadamu ni nini, huna ustaarabu hata chembe, huelewi ugumba ni nini, huelewi kuwa kuna watu ni wagumba kweli hawana watoto kabisa na wanatamani kuwa na watoto na kuwanyanyapaa kama unavyofanya kwa ugumba wao ni kitu kibaya.

Wewe ni kama guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo, unabiringita kwa reflex action tu.

Mimi sina muda wa kujibizana na wewe.

You are not on my level.

Nakuongeza kwenye list yangu ya watu wajingawajinga nisiotaka kujibizana nao.

Nakupeleka ignore list, unakuwa mtu wa 164 kupoteza privilege ya kujibizana nami moja kwa moja.

Kuanzia hapa sitaona chochote utakachopost.
 
kuzaa watoto wengi kwa zama hizi ni kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe; malezi yatakuchosha na muda wa kujipambania mwenyewe hutakuwa nao, mwisho utakuja kulazimisha watoto wakulee ili ku-replace muda uliotumia kwa ajili yao, hapo ndipo upumbavu wako utaanza kuonekana wazi..

kumlea mtoto mmoja inachukua miaka 18 mpaka 25, sasa chukulia una watoto 4 itakupasa wewe mzazi utumie miaka 50 na zaidi kuwalea hao watoto jambo ambalo si salama kwa afya yako, uchumi wako na malengo yako binafsi..

ulishajiuliza kwanini wazazi wengi wanakufa mapema hasa kiafrica? sababu moja wapo ni parenting to many kids jambo linalowaletea sonona na mifadhaiko, so kwa ushauri wangu ni vyema kuwa na watoto wachache sana mmoja au wawili its enough nje ya hapo mzazi ajiandae kuwa confused kadri umri wake unavyosogea.
 
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.

Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.

(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.

Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?

Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Watoto ni nguvu kazi kwa familia, huyo.mwanao ukubwani atateseka sana kama atabaki peke yake
 
Wkt naanza maisha ya kujitegemea nilikutana na mzungu wa kike, ktk story ikaja issue ya idadi ya watoto wangapi ni nzuri kua nayo. Kwa haraka sana alipinga kua na mtoto mmoja na akatolea maelezo.
Kwao kazaliwa peke yake na wazazi wake ni wazee. Kuna siku baba yake aliugua sana na kulazwa hospital, mama kwa uzee wake hakuweza kumuhudumia baba kwahiyo yy akabeba jukumu lote na kwa siku zote mpaka alipotoka.
Anasema alitaabika sana sbb by that time alikua na mtoto mchanga akawa anawaza wangekua wawili angalau mzigo ungepungua kwake.
Anadai hata wazazi wake pia waliona mapungufu kuwa na mtoto mmoja kipindi mzee anaugua lkn ndo umri umemtupa.
Kwangu binafsi: Mimi naishi Arusha, mzee wangu yupo Dar aliugua mbaya najiuliza vp ningekua ndo mtoto pekee? Japo wanaume tupo wawili na madada 3 jumla 5 mzigo tumeudistribute vzr kwa wote kupunguza maumivu.
Kuna ndugu zangu kwao wako 11, ikitokea shida hata iwe kubwa kiasi gani jinsi inavyotatuliwa kirahisi mpaka raha.
All ni all kama upend watoto wengiiiiii basi angalau wawe wawili, peleka shule, lea vzr the rest muachie Mungu.
Well said .uzi ufungwe
 
Hapa,yaan hapa😔
Hahaa,

Kuna mtoto India kawashitaki wazazi wake kwa kumzaa bila ruhusa yake wakijua wanamleta kwenye dunia yenye matatizo mengi sana.

Indian man to sue parents for giving birth to him
7 February 2019

A 27-year-old Indian man plans to sue his parents for giving birth to him without his consent.

Mumbai businessman Raphael Samuel told the BBC that it's wrong to bring children into the world because they then have to put up with lifelong suffering.

Mr Samuel, of course, understands that our consent can't be sought before we are born, but insists that "it was not our decision to be born".
So as we didn't ask to be born, we should be paid for the rest of our lives to live, he argues.

A demand like this could cause a rift within any family, but Mr Samuel says he gets along very well with his parents (both of whom are lawyers) and they appear to be dealing with it with a lot of humour.

In a statement, his mother Kavita Karnad Samuel explained her response to "the recent upheaval my son has created".

"I must admire my son's temerity to want to take his parents to court knowing both of us are lawyers. And if Raphael could come up with a rational explanation as to how we could have sought his consent to be born, I will accept my fault," she said.

Mr Samuel's belief is rooted in what's called anti-natalism - a philosophy that argues that life is so full of misery that people should stop procreating immediately.
This, he says, would gradually phase out humanity from the Earth and that would also be so much better for the planet.

"There's no point to humanity. So many people are suffering. If humanity is extinct, Earth and animals would be happier. They'll certainly be better off. Also no human will then suffer. Human existence is totally pointless."

A year ago, he created a Facebook page, Nihilanand, which features posters that show his images with a huge fake beard, an eye-mask and anti-natalist messages like "Isn't forcing a child into this world and forcing it to have a career, kidnapping, and slavery?" Or, "Your parents had you instead of a toy or a dog, you owe them nothing, you are their entertainment."
 
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.

Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.

(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.

Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?

Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Mngekua karibu na mna maelewano ungeweza kupata mtoto mwingine.
 
Hahaa,

Kuna mtoto India kawashitaki wazazi wake kwa kumzaa bila ruhusa yake wakijua wanamleta kwenye dunia yenye matatizo mengi sana.

Indian man to sue parents for giving birth to him
7 February 2019

A 27-year-old Indian man plans to sue his parents for giving birth to him without his consent.

Mumbai businessman Raphael Samuel told the BBC that it's wrong to bring children into the world because they then have to put up with lifelong suffering.

Mr Samuel, of course, understands that our consent can't be sought before we are born, but insists that "it was not our decision to be born".
So as we didn't ask to be born, we should be paid for the rest of our lives to live, he argues.

A demand like this could cause a rift within any family, but Mr Samuel says he gets along very well with his parents (both of whom are lawyers) and they appear to be dealing with it with a lot of humour.

In a statement, his mother Kavita Karnad Samuel explained her response to "the recent upheaval my son has created".

"I must admire my son's temerity to want to take his parents to court knowing both of us are lawyers. And if Raphael could come up with a rational explanation as to how we could have sought his consent to be born, I will accept my fault," she said.

Mr Samuel's belief is rooted in what's called anti-natalism - a philosophy that argues that life is so full of misery that people should stop procreating immediately.
This, he says, would gradually phase out humanity from the Earth and that would also be so much better for the planet.

"There's no point to humanity. So many people are suffering. If humanity is extinct, Earth and animals would be happier. They'll certainly be better off. Also no human will then suffer. Human existence is totally pointless."

A year ago, he created a Facebook page, Nihilanand, which features posters that show his images with a huge fake beard, an eye-mask and anti-natalist messages like "Isn't forcing a child into this world and forcing it to have a career, kidnapping, and slavery?" Or, "Your parents had you instead of a toy or a dog, you owe them nothing, you are their entertainment."
Kwa hii dunia ilivyo na changamoto hakika waweza shtaki mzazi😔
 
Kwahiyo mi wawili hawa wanatosha nikafunge tu uzazi,nisijeongeza nikapata tabu zaidi na wanangu
Wewe tabu tayari ushapata, hao wawili dakika yoyote wanakushitaki.

Kwa hiyo fanya unachojisikia tu. Kama mashitaka unayo tayari.

Ukijisikia kufyatua ushindane na Aston "Family Man" Barret, fyatua tu.

Ukijisikia kuishia na hao wawili, ishia hapo hapo.

Ni haki yako ya kikatiba na kiutu mkuu.
 
Server haijawahi kujaa, mbona uzi wake una mashiko hi ni maswala ya family plann, uishi na familia utakayoweza kumudu ni swala la msingi sana
Hawa watu wengine wana visirani vyao visivyo kichwa wala mguu.

Unaweza kukuta nwanamke anatafuta mtoto ana hasira zake wanaume hawamtaki, anataka kuja kumalizia hasira zake hapa kwa wanaume wasio na habari naye.

Au mtu yupo kwenye siku zake za mwezi hormones zimempanda, anataka kuja kutukasirikia sisi bila sababu mpaka tunamshangaa.

I mean, how else do you explain that absolutely needless vitriolic shit?

Kama hupendi topic si unairuka tu, kwani lazima kuchangia?
 
Back
Top Bottom