Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Weee komaaaa, huyo mgumba anazo mbegu za kuzalisha kwanza, nyie wote wagumba mmejaribu wee imeshindikana ndio mnakuja kujishaua hapa ooh mtoto mmoja inatosha badala muombe tiba ya ugumba wenu mnataka kujifariji washamba wakubwa,

Ikikuuma chomoa
Dream Queen, I used to think we share similar perspectives. Here we differ.
 
Huwa ninaumia sana nikiona watoto wanapata tabu, sipendi kabisa kuleta viumbe waje kuteseka.
 
Huwa ninaumia sana nikiona watoto wanapata tabu, sipendi kabisa kuleta viumbe waje kuteseka.

Kwanza kabisa kuzaa au kutozaa vyovyote ni haki ya kikatiba na kibinadamu... aah, you already know the speech.

Having said that.

Jamii zetu nyingi hazina utamaduni wa deep empathy, deep introspection.

Yani tupo katika struggle ya kutafuta hela ya kula hatuna muda wa kufikirifikiri sana, hiyo ni luxury kwetu.

Tunakwenda kwa formula tulizokariri tu. Zaa wengi, nchi kubwa, kila mtoto anakuja na riziki yake.
.
 
Mkuu, be lenient on her, she is just a woman and they like to bear children, please!

Otherwise she is just an intelligent woman, I know her through her comments.
 
Kila mtoto ana riziki yake. Pia Africa life expectancy ni ndogo sana. Miumdo mbinu mingi imekaa vibaya kupoteza mtoto na kifo ni rahisi sana.

Kama huamini panda majinjah ya dar, mbeya utaelewa nini maana kifo.
 
Mkuu, be lenient on her, she is just a woman and they like to bear children, please!

Otherwise she is just an intelligent woman, I know her through her comments.
Intelligent women do not pick a needlessly rancorous and vitriolic spat with men on a thread they purport to not like.

I mean, if she doesn't like the topic, why bother comment?

Does she want to force men to have children with her?

Is she that desperate?
 
No, she is not desperate.

It is because the thread is discouraging the thing she value, to bear children, we must show understanding to other people s values, especialy women.
 
Binafsi sina watoto na sitaki.
 
No, she is not desperate.

It is because the thread is discouraging the thing she value, to bear children, we must show understanding to other people s values, especialy women.
Then she should come here and argue her points logically.

Not throw tantrums like a leaking hormonal keg rolling downhill.

Being a woman does not give her license to being illogical, arrogant and abrasive.
 
Binafsi sina watoto na sitaki.
Mkuu,

Miaka michache iliyopita, nilikutana na jamaa mmoja Mzanzibari alikuwa anasoma Uganda.

Naye alikuwa na msimamo kama wako.

Alisema yeye hataki kabisa kuleta mtoto dunia hii. Yuko radhi hata kuoa mwanamke mwenye mtoto, atamlea, lakini yeye hataki kuzalisha mtoto.

Nilikuwa nawasoma tu hawa watu, wanaitwa anti-natal.

Lakini nilikuwa sijakutana na Mtanzania mwenye msimamo huo.

Thank you. Itoshe tu kusema Asante. Hii komenti ina manufaa.
 
Kuna sababu kubwa mbili:
1.
Mtoto wa pili na wanaofuatia ni spare, kwamba huyo mmoja akifariki bado hubaki mnyonge unabaki na watoto wengine.

2. Mtoto wa kiume ataendeleza uzao na ukoo wako, huyo mtoto wa kike ataolewa kwingine na hawezi akaendeleza uzao wako.
 
Then she should come here and argue her points logically.

Not throw tantrums like a leaking hormonal keg rolling downhill.

Being a woman does not give her license to being illogical, arrogant and abrasive.
,Ok, but I ask you not to ignore her.

I like her na nisingependa apoteze madini kutoka kwako.
 
,Ok, but I ask you not to ignore her.

I like her na siningependa apoteze madini kutoka kwako.
Wewe una ubia hapo nini?

Mimi niki mu ignore yeye ataendelea kuona ninachoandika, mimi ndiye sitaona anachoandika.

Sipendi na wala sitaki ugomvi na mtu ambaye anatumia emotion badala ya logic.

Much less mwanamke anayetumia emotion badala ya logic.
 
Sina ubia wowote na wala sijawahi ku PM chat nae.

It just happened that i liked most of her posts, so i ask you not to ignore her.
 
Nyenye nyenye nyenye mshamba mkubwa weeee, mnajikuta wazungu kisa ni wakoloni wao, nyie ni nyani tu mbele ya macho yao, kenge kama wewe ulokosa nguvu za kiume unataka kuwaaminisha ujinga wako mazumbukuku wenzio eti mtoto mmoja fyoko fyoko,

Pathetic.
Acha hizo basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…