Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Ni sababu ipi muhimu sisi wazazi tunakuwa na mtoto zaidi ya mmoja?

Weee komaaaa, huyo mgumba anazo mbegu za kuzalisha kwanza, nyie wote wagumba mmejaribu wee imeshindikana ndio mnakuja kujishaua hapa ooh mtoto mmoja inatosha badala muombe tiba ya ugumba wenu mnataka kujifariji washamba wakubwa,

Ikikuuma chomoa
Dream Queen, I used to think we share similar perspectives. Here we differ.
 
Kwanza kabisa narudia tena kuzaa vyovyote au kutozaa kabisa ni haki ya kikatiba na kiutu, hakuna jinsi ya kuiingilia haki hii bila kuvunja haki za kikatiba na za kiutu.

Kwa hivyo, hapa naandika majadiliano ya kifalsafa na kidhahania, simshawishi mtu azae au asizae, simlaumu mtu kwa kuzaa au kutozaa.

Having said that:-

Watoto wote watakufa, sasa unaposema ni risk sana kuwa na mtoto mmoja una maana gani?

Ukiwa na watoto wengi hawafi?

Mtu mwingine anaweza kukuambia kuwa ni maadili mabaya kumzaa mtoto katika dunia ambayo unajua ina risk kubwa na matatizo mengi.

Yani hiyo high risk ya mtu kuweza kufa Bongo ni sababu ya kutozaa watoto wengi, si sababu ya kuzaa watoto wengi.

Kwa sababu ukizaa watoto wengi katika nchi yenye risk kubwa ya watoto kufa, maana yake umewafanya watoto kuwa expendable, maisha yao hayana thamani, unawazaa kwa mchezo wa kamali ya pata potea.
Huwa ninaumia sana nikiona watoto wanapata tabu, sipendi kabisa kuleta viumbe waje kuteseka.
 
Huwa ninaumia sana nikiona watoto wanapata tabu, sipendi kabisa kuleta viumbe waje kuteseka.

Kwanza kabisa kuzaa au kutozaa vyovyote ni haki ya kikatiba na kibinadamu... aah, you already know the speech.

Having said that.

Jamii zetu nyingi hazina utamaduni wa deep empathy, deep introspection.

Yani tupo katika struggle ya kutafuta hela ya kula hatuna muda wa kufikirifikiri sana, hiyo ni luxury kwetu.

Tunakwenda kwa formula tulizokariri tu. Zaa wengi, nchi kubwa, kila mtoto anakuja na riziki yake.
.
 
You are a despicable miscreant spewing pure excrement out of all your orifices.

Wewe huna unachoweza kujibizana na mimi zaidi ya logical fallacies kama hizi za ad hominem attack.

Ni wazi hujasoma, huelewi uhuru wa mtu binafsi ni nini, huelewi haki za kikatiba ni nini, huelewi haki za binadamu ni nini, huna ustaarabu hata chembe, huelewi ugumba ni nini, huelewi kuwa kuna watu ni wagumba kweli hawana watoto kabisa na wanatamani kuwa na watoto na kuwanyanyapaa kama unavyofanya kwa ugumba wao ni kitu kibaya.

Wewe ni kama guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo, unabiringita kwa reflex action tu.

Mimi sina muda wa kujibizana na wewe.

You are not on my level.

Nakuongeza kwenye list yangu ya watu wajingawajinga nisiotaka kujibizana nao.

Nakupeleka ignore list, unakuwa mtu wa 164 kupoteza privilege ya kujibizana nami moja kwa moja.

Kuanzia hapa sitaona chochote utakachopost.
Mkuu, be lenient on her, she is just a woman and they like to bear children, please!

Otherwise she is just an intelligent woman, I know her through her comments.
 
Kila mtoto ana riziki yake. Pia Africa life expectancy ni ndogo sana. Miumdo mbinu mingi imekaa vibaya kupoteza mtoto na kifo ni rahisi sana.

Kama huamini panda majinjah ya dar, mbeya utaelewa nini maana kifo.
 
Mkuu, be lenient on her, she is just a woman and they like to bear children, please!

Otherwise she is just an intelligent woman, I know her through her comments.
Intelligent women do not pick a needlessly rancorous and vitriolic spat with men on a thread they purport to not like.

I mean, if she doesn't like the topic, why bother comment?

Does she want to force men to have children with her?

Is she that desperate?
 
Intelligent women do not pick a needlessly rancorous and vitriolic spat with men on a thread they purport to not like.

I mean, if she doesn't like the topic, why bother comment?

Does she want to force men to have children with her?

Is she that desperate?
No, she is not desperate.

It is because the thread is discouraging the thing she value, to bear children, we must show understanding to other people s values, especialy women.
 
Suala la kuzaa watoto wangapi, au kutozaa kabisa, ni la utashi wa mtu binafsi. Ni haki ya mtu binafsi. Hapo hakuna mwanya wa haki hiyo kuingiliwa bila kuvunja haki za kikatiba na za kibinadamu za huyo mtu.

Ila.

Kuzaa kwa hesabu zozote za watoto kuja kukusaidia kwa namna yoyote baadaye ni aina fulani ya biashara, tena biashara ya utumwa.

Watu wanatakiwa wazae bila mategemeo yoyote ya kulipwa fadhila yoyote na watoto, hata ya kutunzwa uzeeni. Wajiwekee mipango yao wenyewe.

Kwa sababu.

Kwanza mtu hawezi kujua kwamba mtoto wake ataishi maisha marefu kumpita yeye. Inawezekana mtoto akafariki awali.

Pili, si maadili mema kuzaa kwa lengo la kibiashara. Kwamba mimi namzaa mtoto namtunza ili naye aje anitunze. Hiyo si familia, hiyo ni biashara ya kutunzana.

Vipi kama mtoto hana interest yoyote ya kutunza wazazi, yeye anataka kuishi kwa uhuru wake akae mbali akiendesha maisha yake? Hiyo ni haki yake. Utataka aache maisha yake amtunze mzazi?

Hiyo ni sababu moja ya kibinafsi kabisa ya kuzaa watoto.

Sisemi kwamba kumtunza mzazi ni kitu kibaya, nasema kwamba, mzazi kuweka mahesabu kwamba nazaa watoto wengi waje kunitunza vizuri baadaye ni kama kuwafanya wale watoto ni watumwa wake, kazaa watumwa wengi waje kumtumikia, kawekeza kibiashara, hajazaa kifamilia.

Binafsi sina watoto na sitaki.
 
No, she is not desperate.

It is because the thread is discouraging the thing she value, to bear children, we must show understanding to other people s values, especialy women.
Then she should come here and argue her points logically.

Not throw tantrums like a leaking hormonal keg rolling downhill.

Being a woman does not give her license to being illogical, arrogant and abrasive.
 
Binafsi sina watoto na sitaki.
Mkuu,

Miaka michache iliyopita, nilikutana na jamaa mmoja Mzanzibari alikuwa anasoma Uganda.

Naye alikuwa na msimamo kama wako.

Alisema yeye hataki kabisa kuleta mtoto dunia hii. Yuko radhi hata kuoa mwanamke mwenye mtoto, atamlea, lakini yeye hataki kuzalisha mtoto.

Nilikuwa nawasoma tu hawa watu, wanaitwa anti-natal.

Lakini nilikuwa sijakutana na Mtanzania mwenye msimamo huo.

 
kuzaa watoto wengi kwa zama hizi ni kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe; malezi yatakuchosha na muda wa kujipambania mwenyewe hutakuwa nao, mwisho utakuja kulazimisha watoto wakulee ili ku-replace muda uliotumia kwa ajili yao, hapo ndipo upumbavu wako utaanza kuonekana wazi..

kumlea mtoto mmoja inachukua miaka 18 mpaka 25, sasa chukulia una watoto 4 itakupasa wewe mzazi utumie miaka 50 na zaidi kuwalea hao watoto jambo ambalo si salama kwa afya yako, uchumi wako na malengo yako binafsi..

ulishajiuliza kwanini wazazi wengi wanakufa mapema hasa kiafrica? sababu moja wapo ni parenting to many kids jambo linalowaletea sonona na mifadhaiko, so kwa ushauri wangu ni vyema kuwa na watoto wachache sana mmoja au wawili its enough nje ya hapo mzazi ajiandae kuwa confused kadri umri wake unavyosogea.
Thank you. Itoshe tu kusema Asante. Hii komenti ina manufaa.
 
Habari za muda huu ndugu zangu. Nimekaa, nikafikiria, Mimi ni mzazi wa mtoto mmoja wa kike.

Sasa issue kubwa nataka kufahamu nimeona kama nimeridhika au sina sababu maalumu ya kuongeza mtoto. Najiweza sana kiuchumi, mimi kijana mdogo ila mwanangu yupo anaishi na mama yake Uingereza (Mama mtanzania age 27) nilimpeleka mwenyewe. Anajiweza. Na pia sipo nae kimahusiano kwa sasa ila nina mtunza huyu binti.

(Nia nikutoa point za uchumi na uhusiano). Sasa sina Wazo lolote la kuongeza mtoto, yaani nina mapenzi yaliyopitiliza kwa huyu niliye nae.

Wazee sababu ipi inafanya mtu awe na watoto zaidi ya mmoja au wengine kupitiliza hadi watano. Nini sababu?

Au huwaga ni bahati mbaya tu, mimba hiyo?
Kuna sababu kubwa mbili:
1.
Mtoto wa pili na wanaofuatia ni spare, kwamba huyo mmoja akifariki bado hubaki mnyonge unabaki na watoto wengine.

2. Mtoto wa kiume ataendeleza uzao na ukoo wako, huyo mtoto wa kike ataolewa kwingine na hawezi akaendeleza uzao wako.
 
Then she should come here and argue her points logically.

Not throw tantrums like a leaking hormonal keg rolling downhill.

Being a woman does not give her license to being illogical, arrogant and abrasive.
,Ok, but I ask you not to ignore her.

I like her na nisingependa apoteze madini kutoka kwako.
 
,Ok, but I ask you not to ignore her.

I like her na siningependa apoteze madini kutoka kwako.
Wewe una ubia hapo nini?

Mimi niki mu ignore yeye ataendelea kuona ninachoandika, mimi ndiye sitaona anachoandika.

Sipendi na wala sitaki ugomvi na mtu ambaye anatumia emotion badala ya logic.

Much less mwanamke anayetumia emotion badala ya logic.
 
Then she should come here and argue her points logically.

Not throw tantrums like a leaking hormonal keg rolling downhill.

Being a woman does not give her license to being illogical, arrogant and abrasive
Wewe una ubia hapo nini?

Mimi niki mu ignore yeye ataendelea kuona ninachoandika, mimi ndiye sitaona anachoandika.

Sipendi na wala sitaki ugomvi na mtu ambaye anatumia emotion badala ya logic.

Much less mwanamke anayetumia emotion badala ya logic.

Wewe una ubia hapo nini?

Mimi niki mu ignore yeye ataendelea kuona ninachoandika, mimi ndiye sitaona anachoandika.

Sipendi na wala sitaki ugomvi na mtu ambaye anatumia emotion badala ya logic.

Much less mwanamke anayetumia emotion badala ya logic.
Sina ubia wowote na wala sijawahi ku PM chat nae.

It just happened that i liked most of her posts, so i ask you not to ignore her.
 
Nyenye nyenye nyenye mshamba mkubwa weeee, mnajikuta wazungu kisa ni wakoloni wao, nyie ni nyani tu mbele ya macho yao, kenge kama wewe ulokosa nguvu za kiume unataka kuwaaminisha ujinga wako mazumbukuku wenzio eti mtoto mmoja fyoko fyoko,

Pathetic.
Acha hizo basi..
 
Back
Top Bottom