Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

Mwanamke anaerudi kwao mnapogombana hafai kuwa mke!!Bado ana deka hajajiandaa kupambania nyumba yake!!

Watoto SI sababu ya wewe kuishi Kwa mateso coz Mungu alishaiandaa future Yao kabla hawajazaliwa!!

Wanawake wakishajua watoto ndio udhaifu wako watatumia huo udhaifu ili wakutawale!!

Kwangu Mimi hats nikizaa name hata watoto kumi haiwezi kuwa sababu ya ye kuwa kama ngozi isiyobanduka kwangu Lisa watotoe hata kama ananizingua!!

Usinyanyasike Lisa watoto coz after all wakiwa wakubwa watasema hakuna kama Mama hasta kama wewe ndio umepigika kuwatengenezea maisha!!

Tafuta Pini oa weka ndani maisha yasonge,akisikia mwenyewe atarudisha watoto ili kukukera,asiporidisha zaa wengine coz DUNIA BADO HAIJAJAA VIUMBE HADI TUOGOPE KUZAA WENGINE NA MAISHA NI NENO PANA SIO KILA MTOTO LAZIMA AFIKE CHUO KIKUU NDIO APATE UHAKIKA WA NADHARIA YA MAISHA MAZURI!!!

INGIA MZIGONI MMEKUTANA UKUBWANI !!
 
Noted mkuu
 
Punguza hasira kwanza, au unataka kutupiga na sisi?

Anyway, nje ni kugumu sana, mtafute mkeo myasolve. Walevi mnapataga wanawake waelewa na wapole sana
 
Mwanamke habembelezwi,ukijichanganya ukaanza kumbembeleza imekula kwako.

Wewe endelea na maisha yako tafuta mwanamke mwingine uanze upya.Duniani tumekuja kujazana.Hao watoto unaosema ni wako unaushahidhi???!!!

Tulia tuli dawa ya wanawake ni kuwapotezea wakianza DRAMA ZAO.Baada ya siku 60 kama hajarudi nyumbani na kuomba msamaha.Usije ukajaribu kumkubalia tena arudi kwako.Sitisha hayo mahusiano.Kama huamini jitoe akili fanya ujinga wa kutokuwa na misimamo.

๐Ÿ“ŒNo reform no marriage!!!
 
Wengi wamekushauri ujinga .. kama Unatafuta uhalali wa kuachana na huyo mwanamke kwa uliyosimulia haupo.
Bahari tulivu haimpimi nahodha wa Meli.
 
Kwanini unampiga mwanamke?? Tuanzie hapa...

Do you have anger issues? Are you mentally distorted?
 
Dada Carol mwanamke hawez kuondoka kwako bila plan b

I mean lazima kuna muhuni uko ktaan amemchanganya

Sasa ni bora mwanamke awe na tabia zingine ila sio kutmbewa ๐Ÿ˜Ž
Mwanamke akichoka anaondoka kwako with or without any plans,

kashasema hana tabia zozote za kutia mashaka, punguza this negativity mkuu..!!
 
Babu Shikilia hii kitu Hakuna rangi hutaacha kuiona akirudi hapo fanya issue nyingine cha umuhimu zingatia kuhudumia watoto na kuanzia sasa ivi achana na wanawake usioe tena labda kama ni demu tu ila usijaribu kuishi nae pambania maisha yako tu. Yakimpiga atakuja na magoti juu Mark my words
 
Kama hujatoa mahari ndugu zake hawawezi wakawa na mzigo wa kukuuliza pia kama unahaja na make wako we we ndiye uliyetakiwa kumfuata yeye pamoja na damu yako.

Na kwa umri muliokaa naye kwenye ndoa yenu siyo sahihi kuwaza kumuacha mke wako ambaye tayari una watoto naye na hata ukioa mwanamke mwingine hataweza kuwalea watoto wasiyo kuwa wake kwa kiwango kinachotakiwa.

Pia unatakiwa ujichunguze kwanza mwenyewe huwenda suluba zako ndizo zinazo mkera mke wako kwa kuwa wanaume mara nyingi wanayajua makosa ya wake zao wakati nao ni wakosaji wakubwa pia.
 
Kabla sijatoa ushauri wangu naomba kwanza kujua huyo mwanamke aliyekuvumilia miaka 8 ,ana makalio makubwa?
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nimefurahi sana unavyoteseka, ulijua atakubembeleza??

Hapo moja kwa moja wewe ni furushi na ulivumiliwa na mitabia yako mibovu, wewe jeuri ya kuoa huna usituchoshe hapa..!!

Umenyooshwa ushaona umuhimu wa mke, si mnasemaga hatuna cha kuwaofa sasa unataka ushauri wa kumrudisha wa nini na km mbususu utapata kwa wengine.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kua
Kuachanana kupo paleple hata kama watoto wako 5
 
We mjinga kenge mwenyewe, halafu hata huyo mkewe hana muda wa kurudi ndiomana mwanaume mwenzenu anateseka kumrudisha..!!

Wewe na kibamia chako ndo usithubutu kumvimbia mkeo utateseka mpk unaingia kaburini..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ