Lazma ushtuke maana mtoto wa kwanza nafanana nae iweje huyu hata mama ake hamfanani,pili nilimnunua smartphone nikamuweke callrecoder faili nikalificha,baada ya week mbili nikajua mpaka jamaa anaongea na kuhusu mtoto wake na mpaka mama mkwe alishaambiwa.Wewe uligunduaje Mkuu?,sipati pivha maumivu yake
Ni mshenz huyoKinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
😳Una ID mbili?Lazma ushtuke maana mtoto wa kwanza nafanana nae iweje huyu hata mama ake hamfanani,pili nilimnunua smartphone nikamuweke callrecoder faili nikalificha,baada ya week mbili nikajua mpaka jamaa anaongea na kuhusu mtoto wake na mpaka mama mkwe alishaambiwa.
Hapana,kwann unauliza hvo.😳Una ID mbili?
Huna uhakika hizo ni dhana tu, kama hakufanana na nyinyi wote basi nenda ukapime DNA inawezekana mumepewa mtoto siyo wenu huko hospitali.Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake
Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika
Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Kisheria atambulika baba mzazi na sio mlezi.Hivi kisheria huyo aliyezalisha kwenye ndoa ya mwenzie atakua na haki kudai mwanae.... sijui kisheria inakaaje.... lkn kiasili mtoto mwenyewe atatamani aje kumuona baba ake akishakua
Nimegundua wife alichepuka akabeba mimba na kujifungua mtoto hafanani na mm baba yake wala mama yake
Hapa nimekaa na mtoto hadi miaka miwili imefika
Nipo njia panda nimuache wife na mtoto au niendelee kuishi nao!?
Kinachonipa changamoto ya kuwaza sana n kuwa wife licha ya kupata ushahidi wote hadi wa maabara bado anakataa
AiseeWe lea mtoto huna uwezo wa kumuacha huyo mwanamke kama ulijua siku zote ulikuwa unafanya nini
Mtoto ananiwazisha sanaKuna Makosa Kwa mwanaume hayasameheki,
Mojawapo ni MKE ku-cheat,
Sasa kama alibeba mpaka mimba akakubambikia😀😀 hiyo ni zaidi ya dharau.
Hapo unafukuza wote.
Sijui Kwa nini Vijana WA siku hizi hawajiamini