kujimwagia petroli ukiwa wewe ndio mpishi jikoni kwenye jiko linalowaka moto vizuri ni ukatili mkubwa sana dhidi yako mwenyeweWadau wa jamii naomba kujua hili,
Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako?
Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
1. Jali afya kwanza...lipimeEeenh mkuu, tumalizie kula vinono mda hautoshi🤣🤣🤣
NanyamazaInabidi nikila nitangaze🤦🤦🤦?
Sijakuona kweliunaringa siku hizi nakuona unapita nakusalimia unanichunia
Namba mbili haina ubishi, namba moja kwenye kupimana ndio mzozo mkuu.🤣🤣1. Jali afya kwanza...lipime
2. Hakikisha liko vizuri.
Ukimaliza uje nikuombee toba😂😂
kwendraaaSijakuona kweli
Dogo unataka kusemaje?🤣Wazoefu wamewasili😆😆😆
Eti jamani🤣🤣🤣zawadi haitupwi na mpenzi haambiwi, si nasema tu nmejinunulia...kwanza ni zawadi gani usikute gari
Na hata kama ni mpya umejinunulia. Mbona maisha mepesi tu jamani.kama ni zawadi amezikuta sitoi explanation ya kitu chochote nilicho nacho maana najua na yeye ana boxer alizonunuliwa na x wake na anazivaa
Ukitaka usiaminike,jamaa anuse japo harufu ya EX.Soon atalipata analolitafuta asipokua makini 😃
no complication....tatizo kuna watu wakiwa na penzi jipya wanajifanya wife materialNa hata kama ni mpya umejinunulia. Mbona maisha mepesi tu jamani.
🤣🤣🤣🤣Sina Imani na ushauri wakoNdoa ni kaburi sheneji, kataa ndoa...😜
Nilitaka niseme basi nimejizuia😆Dogo unataka kusemaje?🤣
Hakika nakuapiakwendraaa
Ngoja aachwe ndio atajua hajui.no complication....tatizo kuna watu wakiwa na penzi jipya wanajifanya wife material
Mnaogopa kuachwa sana nyieNgoja aachwe ndio atajua hajui.
Issue sio kuachwa, ila unaachwaje? Unless amemchoka anamtafutia sababu.Mnaogopa kuachwa sana nyie
KwakweliUkitaka usiaminike,jamaa anuse japo harufu ya EX.