Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

Ni sahihi kumtaarifu mpenzi wako kuwa una zawadi kutoka kwa ex?

Wadau wa jamii naomba kujua hili,

Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako?

Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
kujimwagia petroli ukiwa wewe ndio mpishi jikoni kwenye jiko linalowaka moto vizuri ni ukatili mkubwa sana dhidi yako mwenyewe
 
1. Jali afya kwanza...lipime
2. Hakikisha liko vizuri.

Ukimaliza uje nikuombee toba😂😂
Namba mbili haina ubishi, namba moja kwenye kupimana ndio mzozo mkuu.🤣🤣
 
kama ni zawadi amezikuta sitoi explanation ya kitu chochote nilicho nacho maana najua na yeye ana boxer alizonunuliwa na x wake na anazivaa
Na hata kama ni mpya umejinunulia. Mbona maisha mepesi tu jamani.
 
Back
Top Bottom