Ni sahihi kumuacha Mkeo aparangane na biashara za masafa ya Mbali?

Binafsi sioni shida Kwa mwanamke kwenda kuchakarika ili kukuza uchumi wa familia.Nchi yoyote ile aende lengo ni biashara sioni shida hata kidogo.Maisha haya sio yale ya mwanamke kukaa ndani kujiremba remba asubiri kumtengea bwana chakula na *chakula*.
 
Maana yake umecremisha Mambo ya kale ambayo sio applicable kwa dunia ya leo, mfano utembee kwa miguu instead of using car, au ndege.
Kuwepo kwa gari leo hii si katika jambo la kimaumbile bibie, unatakiwa uelewe haya mambo na kuyatofautisha.

Swali langu naona hutaki kulijibu nimekuuliza au kukuomba hivi, mada iko mezani na umeshanipa maana ya kufikiri nje ya box, naomba ufikiri nje ya box juu ya mada hii.
 
Serikali inatambua haki ya kila Raia regardless ya jinsia hamna aliyebora kuliko mwingine ndio maana serikali ime sign convention mbalimbali za kukinga ukatili wa kijinsia na haki za watoto, adult's at risk, na Makundi Kama ya walemavu yote hyo kulinda Watanzania wote.
 
Kurudi kwenye asili ni jambo sahali sana, ushawahi kuona ni athari zipi zinazotokana na mwanamke kuingia mtaani na kuanza kuchangamana na sisi katika utafutaji wa hela ?

Sasa ukiwa unafikiria jambo kwa mtu timamu lazima afikirie na uhalisia wa athari zinazotokana na jambo husika. Ukiacha kushughulika na athari ni kuikataa akili.
 
Sana.
Ukiwa na vichenjivyako huwezi kuwa na stress ndogo ndogo.

Kuna watu ni wakandamizaji by nature.
Atakunyanyasa kihisia na kimwili.

Walau ukiwa unajiweza unajisimamia.
 
Unaweza kunipa usahihi wa msingi huu wa serikali katika kutambua hizo haki ? Au ni zipi faida na hasara za msingi huo ?
 
Naona sasa umeamua kuukataa ukweli kwa makusudi.

Ndiyo maaa huwa sishangai kuona haki sawa kuifanya kufanana kwa haki.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia.
 
Huo ulikuwa mfano rahisi tu uelewe logic behind argument yangu huwezi kukumbatia vitu vile vile from ages while kila jambo limechange.
 
Sana.
Ukiwa na vichenjivyako huwezi kuwa na stress ndogo ndogo.

Kuna watu ni wakandamizaji by nature.
Atakunyanyasa kihisia na kimwili.

Walau ukiwa unajiweza unajisimamia.
Very true I wish one day wanawake wote tukomboke kiuchumi, tuweze kujisimamia na uzalilishaji wa kimwili na kihisia ukome kabisa
 
Reactions: amu
Very Good
 
mkuu iyo asili unayoizungumzia imetokana na watu wenye fikra kama wewe...watu wenye fikra za wazee wa zamani ambazo hazina maana yoyote zaidi ya kulenga kuwakandamiza wanawake..lazima tuishi kutokana na dunia tuliyonayo sahivi...sisi wengine ni wanaume lakini tumesomeshwa na mama zetu...tumekua tunaona mama zetu wanadandia mafuso kwenda minadani kutafuta hela watulee na kutusomesha alafu leo unataka uniletee habari za sijui kiasili...mambo unayoongea ni unrealistic kwa maisha ya skuhz ambayo wanawake ni wapambanaji na hata ukiangalia watoto asilimia kubwa sikuhizi wanalelewa na kusomeshwa na mama zao huku wababa wako tu....hayo yatawezekana vipi bila mwanamke kuchakarika
 
Hakunaga wakala mwaminifu kwenye biashara ya mazao.
Kuanzia shamba mpaka sokoni ni kupigwa tu.
Biashara anayofanya mke wangu ni ya kuuza nafaka kwenye Duka karibu na Home,Mazao namletea mwenyewe na pia anafuga kuku wa nyama na mayai nje ya mji huwa tunaenda nae Jmosi kucheck maendeleo ya mifugo,Biashara ya kusafiri mkoa kwenda kukaa huko wiki au kwenda china hatokuja kuifanya!! Baadhi ya wanawake wakiwa free kama hivyo ni rahisi sana kugawa papuchi lakini akiwa mazingira ya kihome home ni ngumu ila akiwa mbali akitokea MJUBA akampigisha sound anakubali kuliwa easily.
 
Liked
 
Naona sasa umeamua kuukataa ukweli kwa makusudi.

Ndiyo maaa huwa sishangai kuona haki sawa kuifanya kufanana kwa haki.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia.
Haki sawa haizungumzii kubadilisha jinsia huzungimzia social development za jinsia zote huko nyie ndo hukimbilia ati mumepokwa madaraka yenu
 
Thanks for clarification be blessed
 
anakuwaje free wakati yupo busy na biashara?
Free namaanisha hakuna string attached hakuna unayemuogopa kufanya jambo maana unakuwa mbali na watu wanaokujua so unajiachia coz hakuna wa kupeleka umbea!!
 
mkuu mwanamke hata akiwa karibu vipi akiamua kuchepuka atachepuka tu...mtu anachepuka sababu ya tabia na maamuzi yake binafsi...mtu hachepuki sababu yupo free...mwanamke hata umuwekee ulinzi kiasi gani akiamua kukusaliti anakusaliti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…