Ni sahihi kwa Mwanaume aliyeoa kupika?

Lack of exposure, ungekuwa umetoka kidogo na kuiona dunia nje ya mipaka ya Tanzania hili jambo lisingekusumbuwa akili.

Kwanza nakupa challenge ni hotel gani unayoijuwa wewe Chef ni mwanamke?
Hao ndio vijana wetu hao

Maarifa zero

Wao ni kubeti, papuchi na kujazana ujinga

The lost generation
 
Kimsingi hakuna mahali popote iwe kwenye katiba au vitabu vitakatifu kwamb mwaume asipike asipige deki wala asifue ila ni utamaduni wanaoujenga wao mume na mke na kila mtu ana namna ya kuendesha maisha yk unavoishi wewe na mke wako sio ninavyoushi mimi na mke wangu
Sisi tumeadhiriwa na mfumo dume kwamb na tumeaminishwa na kukaririshwa kwamb izo ni kazi za wanawakeeee,,,,,, mwanaume kabla hajaona mbn izo kazi anazifanya vzr tuuu
 
nilikuwa sijapika mda mrefu sana, nilivyopika
tu ugali ulijaa miunga nkaamua kuumwaga, nkajarib tena wali ulijaa chumvi nkaona...ok hapa sio kwangu nkae pemben
 
mfumo dume hapo uko wapi? anyway mfumi dume uko mbinguni, kwa shetani, ulaya na dunia nzima.
 
nilikuwa sijapika mda mrefu sana, nilivyopika
tu ugali ulijaa miunga nkaamua kuumwaga, nkajarib tena wali ulijaa chumvi nkaona...ok hapa sio kwangu nkae pemben
Usipende kufanya kazi zisizo zako utaingia loss tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…