Katika ukeketaji wa wanawake hamna kitu kama hicho kwenye Uislam,katika tafiti zangu nimegundua kuwa ukeketaji wa wanawake uko katika bara la Africa,Asia na Mashariki ya kati..,Nchi kama Egypt,Indonesia kuna baadhi ya makabila yanawakeketa wanawake zao..
Africa utakuta makabila mengi yanayofuga "Nilotic" ndio wanayokeketa wanawake zao,sio lazima haya makabila yawe na Imani ya kiislam mengine hata Uislam hauujui mfano Wamasai,Wagogo,Wangoni nk,kwa hapa kwetu Tanzania
Katika upande wa Afrika Magharibi nchi kama za Mali, Guinea and Sierra Leone,Nigeria utakuta ndio vile vile yale makabila yenye tamaduni za ufugaji ndio yanayofanya hichi kitendo kwa watoto wao wa kike..
Ulaya habari za ukeketeaji wa watoto wa kike zimeanza kujulikana na kuzagaa baada ya wahamiaji wengi wa Kisomali kuhamia Ulaya na Marekani,..
kwasababu wasomali ni waislam,hapo hapo zikaanza propaganda kuwa waislam wanawakeketa wanawake wao ...Kumbuka wasomali nao ni miongoni mwa makabila ya wafugaji hawana tafauti na wamasai (Nilotic)
Mkuu kwa ufupi uislam hauna uhusiano na Ukeketeji wa wanawake,Kuran hakueleza hivyo,Hadith za Mitume hazikueleza hivyo,warabu wengi wenye Imani za kiislam hawafanyi hivyo,..
Muhamad hakubariki mila potovu,kumbuka mkuu wazungu nao walikuwa na mila zao potovu na nyengine wanazifanya mpaka hii leo,mfano baba kuingiliana na mtoto wake,mama kuingiliana na mtoto wake,kaka na dada kuingilia,nk,kama unakaa ulaya au Marekani hizi stori lazima uisikie kila siku kwenye magazeti na TV..,kumsitiri mtoto wa kike sio potovu ukilinganisha na uovu huuu
Ukweli Uislam ndio umewaletea warabu ustaarabu,Warabu walikuwa majahili sana,Mila na tamaduni nyingi potovu za kiarabu ziliondoka baada ya kuja uislam...
Mkuu,Lete swali jingeni,napenda tuelimishana kuliko kubishana..,kaka nakuomba usiamini unachokisoma hasa kile kilichoandikwa na mzungu,fanya utafiti kwanza, usiamini moja kwa moja,si unajuwa wazungu wanaamini waafrika tunakulana(cannibalism)