Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Mtu anekuambia ukweli utasema ana chuki nawewe,huyo anakupenda,mimi ninawapenda waislam ndio maana nawaambia ukweli,sitaki wapotee Jehanum,nina uchungu na maisha yao
Sawa mkuu ila upendo uliyonao ni kwa waislamu tu na huna upendo na wengine waliyomo humu kama wakristo?

Mfano umewaambia waislamu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ila hujawagusia wakristo wenye kufungisha ndoa za mapenzi ya jinsia moja,unachokifanya si upendo ni upendeleo.

Hujagusia wale wenye kujiita manabii kwenda kufanya miujiza kwa nguvu za uchawi wa kinaigeria na kusema ni jina la Yesu,hivyo hutapeli waumini wa kikristo maana wengi imani zao zimebebwa na miuijiza ya jina la Yesu.

Hujawagusia wale wenye kuamini mungu aliwahi kufa.

Unaonaje ukaonesha upendo na huko?
 
Mkuu huwezi ukamdhuru mtu tu kwa sababu unamchukia halafu ukaeleza hivyo uelezavyo na ukategemea kueleweka,sasa unachokifanya hapa ni mashambulizi tu kwa dini kwa sababu ya msukumo wa chuki.

Na ndiyo maana nakwambia kama unataka tujadiliane kwa vizuri basi weka chuki pembeni.

Naichukia dini sikuchukii wewe mkuu!
You are an incredible person,I have no anything against you sir...Kwanini ni mpaka niache hasira ndio uone tutaelewana?Nikikuambia nimeacha hasira,you will never prove this coz haupo na mimi hapa walao kujua kama ni kweli...

Kama kuna kitu u want to teach just say it,nikuelewe mkuu..Usiache coz unahisi nina hasira!
 
Hakuna nilipokwambia unanichukia ila chuki yako juu ya dini inakufanya ushindwe kujenga hoja na kuishia kuonesha jazba.
 
Shoga usibadiri Dini.mwanamke kweli hana Dini lakin ana imani...watamka ndoa ni rahis kwao na talaka ni raisi kwao kutamkwa.
Shida yenuu mnawwza kuachwa kwa uisilamu

Wakristo pia wannaachana sana
 
Hiyo ndiyo asili mkuu nishaeleza kwamba tunaishi kwa sheria na taratibu,kama wewe unamjua mtu anayeishi huru kabisa ungeeleza tu.

Wewe ndio umetoa generalized sentence kua watu wote duniani sio huru..how can you generalize that way?
It is an outlandish claim bro.
 
Sawa mkuu ila upendo uliyonao ni kwa waislamu tu na huna upendo na wengine waliyomo humu kama wakristo?

Mfano umewaambia waislamu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ila hujawagusia wakristo wenye kufungisha ndoa za mapenzi ya jinsia moja,unachokifanya si upendo ni upendeleo.

Hujagusia wale wenye kujiita manabii kwenda kufanya miujiza kwa nguvu za uchawi wa kinaigeria na kusema ni jina la Yesu,hivyo hutapeli waumini wa kikristo maana wengi imani zao zimebebwa na miuijiza ya jina la Yesu.

Hujawagusia wale wenye kuamini mungu aliwahi kufa.

Unaonaje ukaonesha upendo na huko?

WEWE POKEA DOZI YAKO ACHANA NA MARADHI YA WATU,hapa ni kama duka la dawa,huwezi kwenda kwenye duka la dawa ,ukapewa dawa yako kisha unaanza kusema mbona hujampa na huyu na yule,yule ana kikohozi,yule ana malengelenge sehemu za siri,yule anaumwa ngiri,HAYO HAYAKUHUSU!WEWE POKEA DOZI YAKO UPONE ACHANA NA WENGINE.

Mengine ya watu unaweza kuona kama maradhi kumbe siyo maradhi.
 
Wewe ndio umetoa generalized sentence kua watu wote duniani sio huru..how can you generalize that way?
It is an outlandish claim bro.
Kama wewe unavyotumia mambo ya imani moja kuelezea kana kwamba imani zote ziko hivyo.
 
WEWE POKEA DOZI YAKO ACHANA NA MARADHI YA WATU,hapa ni kama duka la dawa,huwezi kwenda kwenye duka la dawa ,ukapewa dawa yako kisha unaanza kusema mbona hujampa na huyu na yule,yule ana kikohozi,yule ana malengelenge sehemu za siri,yule anaumwa ngiri,HAYO HAYAKUHUSU!WEWE POKEA DOZI YAKO UPONE ACHANA NA WENGINE.

Mengine ya watu unaweza kuona kama maradhi kumbe siyo maradhi.
Hakuna sehemu niliyosema mie naumwa ugonjwa wowote wala nahitaji dawa hapa.

Kwahiyo bora hiyo dawa uwape wale wenye kuhitaji.

Ukisema mengine mie ndiyo uona ni maradhi lakini isiwe hivyo, unakuwa unarudia yaleyale niliyoyasema,hata hayo uliyoita wewe maradhi pia yanaweza yasiwe maradhi.

Umesema hufuati dini nikajua unaweza kutaja maradhi ya dini kumbe huna ujasiri.
 
Sikiliza moyo wako, usisikie ya mtu, wazazi wako yao yamepita
Naombeni ushauri,

Mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.

Nanataka nibadilishe dini kwetu wana imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo nimechoka kabisa.

Naombeni ushauri maana wakristo hawatamki ndoa ila nikipata waislamu wanadai ndoa fasta
hata miezi sita hafikii so niko njia panda hadi now.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wakristo hawatamki ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hujui kuwa mkristo akioa ndo once in a lifetime bt wenzetu waislamu hata watano anabeba tu ,ushauri na fata kile unachoona roho inataka na uko sure nacho ili kuepuka regrets badae
 
Katika ukeketaji wa wanawake hamna kitu kama hicho kwenye Uislam,katika tafiti zangu nimegundua kuwa ukeketaji wa wanawake uko katika bara la Africa,Asia na Mashariki ya kati..,Nchi kama Egypt,Indonesia kuna baadhi ya makabila yanawakeketa wanawake zao..

Africa utakuta makabila mengi yanayofuga "Nilotic" ndio wanayokeketa wanawake zao,sio lazima haya makabila yawe na Imani ya kiislam mengine hata Uislam hauujui mfano Wamasai,Wagogo,Wangoni nk,kwa hapa kwetu Tanzania

Katika upande wa Afrika Magharibi nchi kama za Mali, Guinea and Sierra Leone,Nigeria utakuta ndio vile vile yale makabila yenye tamaduni za ufugaji ndio yanayofanya hichi kitendo kwa watoto wao wa kike..

Ulaya habari za ukeketeaji wa watoto wa kike zimeanza kujulikana na kuzagaa baada ya wahamiaji wengi wa Kisomali kuhamia Ulaya na Marekani,..

kwasababu wasomali ni waislam,hapo hapo zikaanza propaganda kuwa waislam wanawakeketa wanawake wao ...Kumbuka wasomali nao ni miongoni mwa makabila ya wafugaji hawana tafauti na wamasai (Nilotic)

Mkuu kwa ufupi uislam hauna uhusiano na Ukeketeji wa wanawake,Kuran hakueleza hivyo,Hadith za Mitume hazikueleza hivyo,warabu wengi wenye Imani za kiislam hawafanyi hivyo,..

Muhamad hakubariki mila potovu,kumbuka mkuu wazungu nao walikuwa na mila zao potovu na nyengine wanazifanya mpaka hii leo,mfano baba kuingiliana na mtoto wake,mama kuingiliana na mtoto wake,kaka na dada kuingilia,nk,kama unakaa ulaya au Marekani hizi stori lazima uisikie kila siku kwenye magazeti na TV..,kumsitiri mtoto wa kike sio potovu ukilinganisha na uovu huuu

Ukweli Uislam ndio umewaletea warabu ustaarabu,Warabu walikuwa majahili sana,Mila na tamaduni nyingi potovu za kiarabu ziliondoka baada ya kuja uislam...

Mkuu,Lete swali jingeni,napenda tuelimishana kuliko kubishana..,kaka nakuomba usiamini unachokisoma hasa kile kilichoandikwa na mzungu,fanya utafiti kwanza, usiamini moja kwa moja,si unajuwa wazungu wanaamini waafrika tunakulana(cannibalism)
Sasa Mkuu, kama ni hivyo ulivyofafanua hapa, huoni kua The whole thing about circumcision in general is traditional based and not religion?.
 
Sasa Mkuu, kama ni hivyo ulivyofafanua hapa, huoni kua The whole thing about circumcision in general is traditional based and not religion?.
Mkuu hapa tumezungumzia kukeketwa ("woman mutilation")unajua dini wa uislam na ukristo imepishana sehemu ndogo sana,hizi dini zimepishana kweye "Trinity",Pale wakristo walipo mfananisha Yesu na Mungu ndio hapo hizi dini zilipotafautishana,.

Yesu kafanyiwa jando(circumcision) biblia inasema hivyo,waislam wanafanyiwa jando(circumcision),uislam unasema hivyo,kuhusu wanawake kuketwa(woman mutilation) sio kitabu cha Yesu wala Muhamad kilichoruhusu hicho kitu

Turudi kwenye hoja,kama nilivoandika hapo mwanzo kuwa makabila jamii ya wafugaji ndio wanafanya hichi kitendo cha kukeketa kwa wanawake zao,lakini katika tafiti zangu nimeona kuwa kuna kabila moja jamii ya wafugaji(Nilotic) wao badala ya kuvikeketa vin*mbe wao wanavivuta viwe virefu,hawa ni lile kabila na Kitutsi la Burundi na Rwanda..

Katika kutafuta sababu kwanini haya makabila yanafanya hivyo kwa wanawake zao,yamenijia mawazo kuwa makabila ya wafugaji wanaume wanaweza kutoka wakenda kufuga kwa muda mrefu sana,sasa kuzuia wanawake wasiwe na hamu ya tendo la ndoa,wameamua kuwafanyia hivyo wanawake zao...haya ni mawazo

Dini ya kiislam haina madundisho ya wanawake kukeketwa,dini ya kiislam kuna mafundisho vipi mwanamme anatakiwa amuingilie mwanamke(mke) na vipi mwanamke amfururahishe mumewe kwenye tendo la ndo
 
waislam kwa ugaidi,mauaji,ufiraji na utukutu hawajambo..bad enough hata wale waliokolea dini hata usoni tuu unaona walivyo cruel..i hate them
hivyo vyote ulivyotaja vimeharamishwa kwenye uislamu. maana yake muislamu akifanya anapata dhambi. unapo upiga mawe uislamu basi hakikisha una hoja za msingi, sio tu eti umeona mtu anaitwa jina la kiislamu akafanya hayo na ww ukasema huo ndio uislamu.

kila dini wapo watenda maovu. na ndio maana peponi hawataingia waislamu wote, wapo wale waliokuwa waislamu lakini hawamuabudu Allah, na pia wanatenda aliyokataza Allah.

Almighty kaweka muongozo kwa wanaadamu waufate katika maisha yao ya kila siku, na huo ndio uislamu.
 
Kwa kuna jamaa kazi yao ni kukufaidi halafu kukutupa.. Kuwa Muslim haraka sana kabla hujazeeka
 
Badili dini yaishe na upate furaha ndani ya moyo wako. Umepata umpendae tulizo la moyo wako. no time to west GO FOR IT DEAR.
 
Back
Top Bottom